huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
Bora umenipa link hii
Ngoja nimalizie kazi ya mkoloni afu nipitie, najua nitapata kitu
kura za zanzibar waligawana na cuf,idadi ya watu wa mikoa ya mwambao combined ni sawa na idadi ya wakazi wa mwanza.jk ana asili ya wizi kakiri mwenyewe alikuwa anaiba ubwabwa jeshinilaana kutoka kwa nani..?
Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko
Hao wa serikalini ndio wenye jukumu la kutumikia wananchi wao, na inapaswa watu wa aina ya Slaa waheshimu mamlaka ya nchi na waache kabisa kuchochea wananchi na matamko yao kama ili alilotoa juzi kuhusu sakata la gesi Mtawara.
Unajipofusha na kuziba masikio kwa pamba ee??? Kuiba mke wa mtu na kuvunja ndoa, kuasi kanisa na kula pesa za ujio wa papa huku ukijiita padre kwako ni mazuri hayo??
laana kutoka kwa nani..?
Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko
kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.
Kwaani inatawalikaa ile ilikuwa laana kutoka kwa Ndesa Pesa...kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.
hyaya ni mawazo mfu yaliyokosa uhai wa dhati,mbona hujaongelea chama kinachochea vurugu na kupanga mauaji kinauhalali gani wa kuendelea kuwa chama cha siasa.
kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.
na vipi laana ya kulindwa na majini?Huyu mzee kauli zake huwa ni kuongeza tatizo badala ya kutatua, kweli laana ya kuiba wake za watu ni mbaya sana
Naona akili zako hazina tofauti na Wassira zee la kulalala bungeni na kusema uongo. Muwache rais wetu Dr.W.Slaa atulie. Muda wenu ukifika wa kujielezea, mafisadi wote mtaozeana Jela tukianzia na huyu Kikwete na Mkapa.
Subirini Dr.W.Slaa aingie rasmi Magogoni kama hamjaikimbia hii nchi, na tutawafuata popote mlipo na account zenu zote za nje zitafungwa. Hiyo siku inakuja na haipo mbali
Unajichanganya!Kwenye elimu anayosema Dr.Slaa hana maana kuwa Wanamtwara hawajaelimika bali anasema serikali itoe elimu
Katika watu ambao wakisikia jina Slaa nyongo zinawatoka ni pamoja na wewe....Pole
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Rais Jakaya Kikwete anapaswa kuomba hekima kwa Mwenyezi Mungu kutokana na matukio yanayotokea sasa nchini.
Alisema hali inayotokea sasa ni matokeo ya wananchi kupuuzwa na kutokusikilizwa katika suala zima la uwekezaji unaofanyika sehemu mbalimbali za nchi. Dk. Slaa alitoa kauli hiyo jana katika kijiji cha Giroda Babati vijijini, wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika ziara yake ya siku tisa ya ujenzi wa Chama mkoani Manyara.
Kabla ya kutoa kauli hiyo Dk. Slaa aliwaomba wananchi wasimame kwa muda wa dakika moja, kuomboleza vifo vilivyotokea mkoani Mtwara.
Aliongeza kuwa kuendelea kuwapuuza wananchi wa Mtwara ni kuendelea kucheza na jipu linalopaswa kutumbuliwa na kwamba njia sahihi ni kukaa na kuwasililiza wananchi katika uwekezaji na kufikia muafaka pasipo kutumia nguvu. Alisema wanachotaka wananchi wa Mtwara ni kujua namna watakavyonufaika kwa kile alichoeleza kuwa katika uwekezaji wowote wanufaikaji wa kwanza wanapaswa kuwa wananchi.
Alisisitiza kuwa katika hali ya Mtwara kulihitajika busara za kawaida za kutatua msingi wa tatizo badala ya wananchi kupigwa mabomu, risasi na kisha kukamatwa.
Ni jambo la aibu kuwapiga mabomu wananchi wanaodai kunufaika na rasilimali za nchi yao hapa kunahitajika elimu ya kuwafahamisha haki zao ni zipi na siyo mabomu.,alisema Dr Slaa.
Source:Tanzania Daima.
hahahaha mikwara mingii kama walivyo pro cdm wenzako JF they are nothing rather than keyboard warriors mna sound tough behind keybord
laana kutoka kwa nani..?
Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko