Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Ni wepi sasa kati ya viongozi wa serikali na wa vya upinzani walioshiwa? Umetoa mfano wa mmoja wao tu kati ya wengi waliopo bila ulinganifu wowote. Kwa sisi wananchi viongozi wetu wa kwanza (Primary) ni wa serikali. wengine ni nafasi ya pili (Secondary) ambao nafasi yao kijamii ni ndogo sana.
Kwa hali ilivyo sasa hapa nchini, kuna viongozi kadha kwenye jamii zetu wameishiwa kabisa mawazo na hawana jipya kabisa, kutokana na hali hiyo wamebaki kujitutumua kwa kusikilizia matukio ili na wao waonekane bado wamo kumbe ni mfa maji haishi kutapatapa.
Viongozi hawa wanakaa kutwa nzima kuombea matukio kama haya ya kuatarisha amani ili tu na wao wajizolee umaarufu wa kisiasa na waonekane wapo upande wa wananchi, katika kutimiza azma yao hiyo wana hakikisha wana jenga chuki kati ya wananchi na viongozi wao.
Dr Slaa juzi hapa kwenye sakata la gesi huko Mtwara, badala ya kutoa kauli kama kiongozi tena wa chama kikubwa cha ushindani, ndio kwanza ana rudia ile kauli yake ya nchi haita tawalika. Huyu babu amedhihirisha kuishiwa mawazo mapya na anabaki kukukuruka tu kwa vitamko vyake visivyo na tija kwa taifa.
Dr Slaa kwenye sakata la gesi ukae kimya na uiache serikali iliyopo madarakani ambayo kimsingi ndio imeingia mkataba wa kulinda usalama wa wananchi na mali zao iweze kufanya kazi yake hiyo. Serikali hii ndio yenye jukumu la kusimamia raslimali za nchi na kuhakikisha zinafaidisha raia wote nchi hii.
Binafsi sikubaliani na dhana ya wananchi kupuuzwa na kwenda kuharibu mali za wenzao ambao kuzipata kwao ni kwa kuunga unga na kuua watu wengine. DR. Slaa pia anahusika kutokana na kauli zake na za chama chake katika kutia utambi wananchi, lazima akumbuke nchi ni ya watu wote na atabeba dhamana katika kila jambo linalotokea leo. Kama watu wanabifu na JK basi wawaambie wakachome nyumba zake na si za raia wasio na hatia.
Dr. Slaa na baadhi ya wabunge wa chama chake hawahubiri amani na kuona vurugu ndio mtaji wao kisiasa, lazima wakumbuke wanaweza chukua nchi bila chokochoko wanazozileta wao na washirika wao. Tunawaona na kukiona mnachokifanya mkumbuke na nyinyi hamtokuwa salama pia kikichafuka.
Kama hausiki alipaswa kuyasema hayo hakiwa Mtwara na sio kwao huko wanapopikia mizengwe kila mara.
Ukiiba tegemea mikosi,jk aliiba kura kinachotokea ni laana ya wizi.
Kwa hali ilivyo sasa hapa nchini, kuna viongozi kadha kwenye jamii zetu wameishiwa kabisa mawazo na hawana jipya kabisa, kutokana na hali hiyo wamebaki kujitutumua kwa kusikilizia matukio ili na wao waonekane bado wamo kumbe ni mfa maji haishi kutapatapa.
Viongozi hawa wanakaa kutwa nzima kuombea matukio kama haya ya kuatarisha amani ili tu na wao wajizolee umaarufu wa kisiasa na waonekane wapo upande wa wananchi, katika kutimiza azma yao hiyo wana hakikisha wana jenga chuki kati ya wananchi na viongozi wao.
Dr Slaa juzi hapa kwenye sakata la gesi huko Mtwara, badala ya kutoa kauli kama kiongozi tena wa chama kikubwa cha ushindani, ndio kwanza ana rudia ile kauli yake ya nchi haita tawalika. Huyu babu amedhihirisha kuishiwa mawazo mapya na anabaki kukukuruka tu kwa vitamko vyake visivyo na tija kwa taifa.
Dr Slaa kwenye sakata la gesi ukae kimya na uiache serikali iliyopo madarakani ambayo kimsingi ndio imeingia mkataba wa kulinda usalama wa wananchi na mali zao iweze kufanya kazi yake hiyo. Serikali hii ndio yenye jukumu la kusimamia raslimali za nchi na kuhakikisha zinafaidisha raia wote nchi hii.
Natamani ningekuwa na uwezo wa kufungua mioyo ya watu nione kama wasemalo ndilo lililo mioyoni mwao.
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.
Huu ni mtihani mwingine wa kifikra kwa slaa, hivi anadhani ataendelea kuwahadaa wananchi kupitia matatizo yao hadi lini??? Kwa hiyo anashangilia vifo vya askari na mali za umma zilizoharibiwa???
Huyu mzee kauli zake huwa ni kuongeza tatizo badala ya kutatua, kweli laana ya kuiba wake za watu ni mbaya sana
Hiyo ya kusimama dakika moja ni mbwembwe ya kisiasa tu, wizi mtupu....unatoa kauli tata na za kichochezi halafu unawahadaa watu eti wasimame dakika moja, mbona umeliasi kanisa??? Weka mbali na wake za watu
Huyu naye apunguze unafki kidogo,lakini ndiko kwenye siasa panamfaa, maana dini ilimshinda pinda alikwenda mtwara akaa nao na kufikia muafaka na rais ali adress issue hii kwa public through speech yake ya mwezi,sasa tunataka wafanye nini zaidi? Jk alisema kama kunakuwapuuza watu wa mtwara basi yeye atakuwa mtz wa mwisho kufanya hvyo. Huyu slaa aangalie sana kauli zake maana ikitokea bahati mbaya wakaingia ikulu watu wanataraji mabomba ya maziwa
Tatizo nyie vijana wa Bavicha mnapenda kuropoka sana kama kiongozi wenu Dr Slaa.Watu wanachoma nyumba za makazi ofisi magari polisi kuwadhibiti Dr Slaa unasema wamepuuzwa lakini watanzania wapenda amani wameishakushtukia toka aseme watahakikisha nchi aitatawalika tena.
hivi anayelindwa na majini na aliyeacha upadre, nani aliyejitenga na mungu?huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
uchochezi ni kuwapa watanzania elimu ya uraia, wa kukamatwa ili bidi kikwete kwa kuwarubuni wananchi wa mtwara kwa kuwahaidi maisha bora, na baadaye kuwapelekea polis wana mtwara kwenda kuwabaka wake zao na kuwaibia mali zao! Kikwete ni janga kwa taifa letu na ccm yake!kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.
Wala huitaji kufungua mioyo yao. Unaweza kuwajua tuu kwa kuangalia threads wanazochangia.
Alichosema Dkt Slaa hakina tofauti na tunachohoji hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kwete-muhongo-na-bunge-mnayakumbuka-haya.html
Mfano angalia posts kama hizi kwenye hii thread. Utanote wengi wameanza maneno "Huyu, Huu, Hiyo." In writing language this means a lot.
Lakini waliondika haya hawajakanyaga kwenye hii thread: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kwete-muhongo-na-bunge-mnayakumbuka-haya.html
Unafikiri ni kwa nini? Wengi watakuambia eti hizo ni thread za magriti thinka. Wao wanapenda zile nyepesi nyepesi za "huyu", "huyo", "yule", "nyie", na siyo "why", au "how".
Huitaji kisu wala shoka kupasua mioyo yao, ili kujua yaliyo mioyoni mwao. Their writing language tells everything.
Kama hujui kutumia writing language ya mtu kujua kama anachokisema ndicho anachokiami, inabidi uende kozi.
aliye haribu mtwara ni jk kwa kuwatuma polis kwenda kufanya ubakaji mtwara, na kuiba mali za wananchi! Kikwete ameshindwa kuongoza tanzania!Huu ni mtihani mwingine wa kifikra kwa slaa, hivi anadhani ataendelea kuwahadaa wananchi kupitia matatizo yao hadi lini??? Kwa hiyo anashangilia vifo vya askari na mali za umma zilizoharibiwa???
Pasco na wewe una maneno mengi..Naona kwenye hii ID ya HAMY-D unajitahidi sana kumponda Dr Slaa na CHADEMA,Kwenye ID yako ya Pasco unabance mambo ya Chadema.Bado sijaelewa unawatumikia je wale maadui ,Six na EL.Tunakufatilia nyendo zako