Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
hao wasomi wako unaowahusudu ni kina nani? Chenge na kikwete? weziTafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???
Tafuteni msomi wa elimu dunia bana
hao wasomi wako unaowahusudu ni kina nani? Chenge na kikwete? wezi
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???
Tafuteni msomi wa elimu dunia bana
tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???
Tafuteni msomi wa elimu dunia bana
Prof. Baregu
. Wengi walimshambulia hapa mtoa mada bila kujali maudhui ya hoja zake.
Dr. W. Slaa, Katibu Mkuu wa Chadema
.
Kama Zitto ni msomi kwa nini msimpe cheo cha umufti badala ya kuongozwa na mufti ambaye ameishia darasa la saba? hamuoni huyu mufti Shabaani bin Simba akikaa na Cardinal Pengo inabidi akae kama bubu maana hawezi kuchangia mada yoyote?Mara kumi ya zito MSOMI kuliko slaa!... hivi kwa nini aliacha kulitumikia kanisa... kama alitimuliwa maana yake hawakumuamini tutamuamini vipi na nchi ..?! "ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???
Tafuteni msomi wa elimu dunia bana
wameshaamini kuwa Slaa ndie pekee mwenye hadhi ya ukatibu.
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???
Tafuteni msomi wa elimu dunia bana
unapenda mambo ya udini udini sana huwazi kama anaweza kuhudumia jamii ..loser..
Tuanze na Jakaya Kikwete ni Dr wa nini?Halafu wanamuita Dr.Slaa.Ni bora waseme full ni dokta wa nn!!au ni vizuri zaidi km wakimuita Padri Slaa,mbona na hili ni poa tu
Sasa hapo udini uko wapi..??kwani sio doktari wa canon law
anasitahili kuwa analyst na mshauri wa kwanza wa rais
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???
Tafuteni msomi wa elimu dunia bana
Dr. W. Slaa, Katibu Mkuu wa Chadema
Wiki iliyopita iliwekwa mada hapa kuhusu Dr. Slaa ambaye ni katibu mkuu wa Chadema kuhusu mvao wake kila anapotokea ni magwanda tu hata iwe katika hafla ya kitaifa au shughuli nyingine za umma. Wengi walimshambulia hapa mtoa mada bila kujali maudhui ya hoja zake.
Katika picha hii leo unaweza kuona anapotoa tamko la Chadema kuhusu mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar amebadili mvao, ingawa ni sare ya Chadema, lakini mvao huo umembadili kwa kiasi kikumbwa mwonekano wake tuliozoea kumwona. Hapa anaonekana ni rais mtarajiwa atakavyokuwa anaonekana anapotoa ujumbe mahsusi kwa taifa.
Asante Dr. Slaa kwa kuwa na sikio sikivu, ni dalili nzuri za uongozi wenye kuleta matumaini mapya kwa kizazi cha leo. Tutajitahidi kila inapowezekana kutoa mapendekezo na ushauri wa kufaa kutokana na tabia yako ya kuwa flexable, Thanks again.