Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 44
hata kwa waislam. nipe ushahidi?
Huo ni ukweli mtupu! waambie mzeeNI UJINGA SANA NA NI UPUUZI kumuona mtu hafai kugombea kutokana na dini yake. Kama watu hawatamchagua Kikwete kwa kuwa ni muislamu itakuwa ni ujinga na akili finyu. Na kama wakimchagua kwa kuwa ni muislamu utakuwa ni ujinga zaidi. Same applies to Dk Slaa. UDINI ni UJINGA. We are Tanzanians first, baadaye ndio zinakuja dini zetu na makabila yetu. lakini kwanza baada ya kuwa watanzania.
Kama ulikuwa hujajua kuwa ni za siasa basi acha kuchangia kuhusu watu hawa. hawa jamaa Ni wapotoshaji wa nchi hiiBila kumsahau Mzee mwenye hati miliki ya CCM Yusuph Makamba. Mkuu Pasco hii PHD ya JK na Karume ni za nini kweli?
Wewe Kigogo ni jiniasi kabisa kwanini bado upo hapo? ah!kwanza kura yako haitasaidia..bora ukae nayo uendelee kumkampenia kilaza wenu JK
Dr. Slaa naomba kutofautiana na wewe kidogo. Mawazo wanayoandika Malaria sugu na Tumain hapa kwa hakika ni ya kubomoa umoja wa Watanzania. Lengo la JF siyo kuwagawa watanzania kwa misingi ya kidini. Nilishawaomba mara nyingi Mods kuwa mijadala ya kidini ipelekwe sehemu husika yenye mijadala ya kidini, hoja mchanganyiko au ifutwe kabisa JF. Jukwaa la siasa na JF visigeuzwe na Malaria Sugu na Tumain kama majukwaa ya kupandikiza na kuendeleza chuki za kidini. Kwa dhati kabisa nawaomba Mods wafute hapa hoja zote za chuki za kidini. Hatuwezi kuvumilia tabia za watu kuendeleza na kupandikiza chuki za kidini na kuubomoa umoja wa Watanzania. JF sasa inasomwa na Watanzania wengi, vijana ambao bado hawajakomaa kiakili na watu wazima. Ni mafundisho gani ambayo Tumain na Malaria Sugu wanayatoa kwa Watanzania hawa?. Dr Slaa kura ya yeyote ni muhimu, lakini hatuwezi kuvumilia watu kuitumia JF kama jukwaa la kubomoa umoja wa Watanzania. Mods naomba muwafungie wahusika kwa muda kadhaa na kutoa mwongozo mpya JF kukataza hoja za kuwagawa watanzania kwa misingi ya kidini.Wenger,
Nadhani si vema kuikataa kura ya Malaria Sugu. Malaria Sugu kwenye Jamvi hili tunamjua wote kama mchokozi. Na wakati mwingine uchokozi wa aina hiyo ni mzuri. Hatuhitaji kutukanana. Kama yeye hatatoa kura yake hiyo ni haki yake wala tusimlazimishe. Na mimi nadhani hata kura yake tunaihitaji, hakuna kura ya mtanzania tunayoikataa, kura ni kura, kura haina sifa ya ubaya au uzuri bora ni kura halali. Thanksa wote, Thanks Malaria Sugu.
Huko kwenye kanisa anawaongoza kondoo wa kikatoliki wasiohoji chochote kwenye nchi kuna watu watahitaji mahakama ya kadhi na OIC si atawaua wote balaa hilo..
Tangu lini Padre akawa Rais wa NCHI aende kanisani kwao..aache TAMAA na NJAA
mmmm
Huyu jamaa anapotoosha jamii na huyo mwalimu alikuwa nani, halafu mzee wa kusini naye vipi.Wow! Sikuwa na habari hii!!!!!
wewe Unatupotosha, Huyo Mwalimu alikuwa Mwenyekiti wa Jumuiya na BWM naye hukohuko mbona hamna hoja hizo? Lakini mimi najiuliza ivi mawazo kama haya kumbe yapo!Yeye Dr. Siyo kiongozi wa kanisa, ila nchi na ameleta na kuongeza mambo chungu nzima. Hayo yalikuwa ya kanisa. Na pia mbona hatuulizi hayo yanayokuja ya Msikitini kabisa (OIC, Mahakama ya Kadhi) ni lini tena yaliwahi kutokea kama siyo kwa kambayuwayu tu.Huko kwenye kanisa anawaongoza kondoo wa kikatoliki wasiohoji chochote kwenye nchi kuna watu watahitaji mahakama ya kadhi na OIC si atawaua wote balaa hilo..
Tangu lini Padre akawa Rais wa NCHI aende kanisani kwao..aache TAMAA na NJAA
Mimi nitatekeleza wito wako hii debate napeleka tarafa zote tarafa zangu 2 kule kyela nina vijana wangu wa kuzitawanya.Mijadala mingi nimefanya hivyo naomba wachangiaji watoe hoja zenyemaana mizaha ipunguzwe.Nashukuru mungu hata jarida la cheche nilifanya hivyo,wito kwa wanajf tumieni hii printable version kupeleka hii mijadala muhimu vijijini.Kwa kufanya hivyo utakuwa unaelemisha na kushiriki kuondoa fikra mgando kwa wapiga kura.Natoa shukrani za pekee kwa michango ya Mwanakijiji,Fieldmarshal,Invicible na wengine sifa zenu zinafahamika Ipinda na vitongoji vyake.tawanyikeni mukaeleze na kuota elimu kwa watu,
ili wamchague mgombea huyu.
kuna yeyote kati yenu hapa jf bado hajarekebisha kadi yake ya kupigia?
DK SLAA NASHUKURU KWA MAJIBU
LKN NINA KISWALA KIDOGO TU
nasikia baadhi ya magazeti yansema umetumwa na wakatoliki kugombea. na mimi nikiunganisha phd yako na habari hiyo hua nahsi kuna ukweli jee kama muhusika unanitoa wasiwasi gani?
kura yangu haipati mpaka anifanulie hasa udokta wake atautumia vipi wakati yeye ni dokta wa maswala ya dini?
Mkuu labda anaweza kuapply ka Advanced Diploma yake katika utawala wake, ingawa kabobea katika maswala yake ya dini