Salama mkuu wangu!Weekend vipi?
Tunafatilia ya Mzumbe. Tupo pamoja mkuu.
Salama mkuu wangu!Weekend vipi?
Tunafatilia ya Mzumbe. Tupo pamoja mkuu.
mdahalo saa ngapi,au mmeahirisha?Salama mkuu wangu!Weekend vipi?
mdahalo saa ngapi,au mmeahirisha?
Kongamano limeanza about two hours ago.Dr Azaveli Lwaitama naye ndani ya nyumba.Ndiye anahutubia hivi sana.Amepiga nondo kali sana kwa vijana. Baada ya Kongamnao hili la Wanafunzi tutakwenda kuzindua tawi and the tutakuwa na mkutano wa hadhara.

MZUMBE?? Kweli CDM itashika dola,kwa uzoefu wangu wa uongozi vyuo vikuu ilidhihirika mzumbe ni Ngome ya CCM.
BRAVO CDM
Dada hongera sana leo nimekuona laive! big up madame.Kongamano limeanza about two hours ago.Dr Azaveli Lwaitama naye ndani ya nyumba.Ndiye anahutubia hivi sana.Amepiga nondo kali sana kwa vijana. Baada ya Kongamnao hili la Wanafunzi tutakwenda kuzindua tawi and the tutakuwa na mkutano wa hadhara.