Dr Slaa mgeni rasmi Kongamano la Wanafunzi Chuo Kikuu Cha Mzumbe Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa mgeni rasmi Kongamano la Wanafunzi Chuo Kikuu Cha Mzumbe Morogoro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Regia Mtema, May 20, 2011.

 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Wakuu, Habari za Ijumaa.

  Ni mataumaini yangu kuwa mnaendelea salama na shughuli zenu za kila siku.

  Napenda kutumia jukwaa hili kuwataarifu kuwa kesho tarehe 21 Mei 2011 kutakuwa na Kongamano la CHADEMA Chuo Kikuu cha Mzumbe.

  Katika Kongamano hilo Dr Slaa ndiye mgeni rasmi ambapo atazungmza na wanazuoni hao kwa pamoja wakijadili mustakabali wa Taifa la Tanzania. Kongamano hilo linatarajiwa kuanza saa 4 asubuhi katika Ukumbi wa Paradise Mzumbe. Mada mbalimbali zitajadiliwa.

  Pamoja na Dr Slaa, Makamanda wengine wa CHADEMA watakaokuwepo ambao ni Fredy Mpendazoe, John Mrema, Benson Kigaila na Regia Mtema ninayecheza uwanja wa nyumbani.

  Pamoja na kuhudhuria Kongamano la kesho lakini pia leo baadhi yetu tutahudhuria Kongamano la Katiba lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Mzumbe litakalofanyika Chuoni hapo kuanzaia saa 3 asubuhi.

  Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke.

  Aluta Continua

  Kutoka Morogoro Mjini
  Regia E Mtema
  Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

  ================================
  KATIKA PICHA:

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Hakuna kulala tupo pamoja
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Moto ule ule

  God Bless Dr SLaa our heart President
   
 4. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  aksante kwa kutujuza. du, natamani ningepata chance ya kumsiikiliza dr wa ukweli akitema moto hapo. shime wanamoro hii twanga kote kote si ya kukosa!
   
 5. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Asante dada Regia kwa taarifa hiyo. Tunategemea wanazuoni watajadili kwa ufasaha matatizo ya nchi yetu na kuonyesha njia ya ufumbuzi. Mungu isaidie Chadema imuonyeshe mwananchi wa Tanzania njia ya kufikia ukombozi wa kweli.

  Aluta Continua......
   
 6. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hongera sana dk slaa, kazi yako tunaiona tunakupongeza sana hakuna kulala.
   
 7. amanindoyella

  amanindoyella Senior Member

  #7
  May 20, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo kwenye kijani.... kila la heri
   
 8. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #8
  May 20, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Naomba mtusaidie kusambaza habari hii.
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ila Mzumbe CCM wapo wengi zaidi ya chadema!
   
 10. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tuko pamoja Dada Regia.
  Pole kwa kazi nzuri Dr W.P.Slaa
   
 11. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Hata Tanzania kama taifa lilikua na wanachama wengi sana sa CCM Lakina wote ni mashuhuda wa kilichotoket Oct 2010 na kinachoendelea.

  pipoz pawa
   
 12. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Dada Regia,
  Hapa mtakuwa mmefanya la maana sana kwa sababu kati ya Vyuo vya Vikuu vya Kipuuzi vinavyoshabikia CCM nchini ni MZUMBE. Wakati tunafanya mgoma usio na kikoma wa vyuo vikuu nchi nzima mwaka April 2007 vyuo vyote vilituunga mkongo vijana wa UDSM. Ni Mavuvuzela ya Mzumbe University ndiyo yaliendelea kuingia darasani. Nakumbuka mwisho wa ule mgomo ni kwa Profesa Peter Msola kusalimu amri kwa kufukuza wanafuzi wote na kukifunga UDSM na vyuo vyake vyote vishiriki.

  Baadae Moto huu ulisambaa hadi kwenye vyuo binafsi lakini Mzumbe wao waliendelea na masomo utadhani tulikuwa tunayapigania yalikuwa hayawasu.

  Dk Slaa (My President) nenda kawafunde hawa vijana maana ndio tawi pekee la Chipukizi la UVCCM lililobaki nchini.
   
 13. m

  mpingomkavu Member

  #13
  May 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna shaka Mzumbe watabadilika na kuacha kushabikia chama mfuu
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hapo ndipo pazuri ili waweze kupewa kikombe na kujiunga na CDM
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Tukiwa elimisha wasomi juu ya mstakabali wa nchii nirahisi upinzani kutawala nchii!!Kwani tutakuwa tunapingana kwa hoja siyo kwa siasa za maji taka!PEOPLE POWER IS COMING SOON OUR SIDE!STAY TUNED!
   
 16. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ubarikiwe mama. Tuko pamoja. Hakuna kulala mpaka kieleweke
   
 17. M

  MPG JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr slaa moyoni mwetu,kikwete mabangoni,viva chadema......
   
 18. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  muanze mapema ili polisi wasipate sababu
   
 19. n

  nyundo Senior Member

  #19
  May 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2007
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzumbe sidhani kama mmekwenda muda muafaka, mngefanya utfiti kwanza kabla ya kwenda huko
   
 20. Zagazaga

  Zagazaga JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Twanga kote kote baba>>>>>>>>>>>>> mkulu alisoma nyakati akawahi kikombe loliondo vinginevyo ingekua kushnei>>>>
   
Loading...