Mid-market rates: 2012-06-13 13:43 UTC | ||
1.00 USD | = | 55.5707 INR |
US Dollar | Indian Rupee | |
1 USD = 55.5707 INR | 1 INR = 0.0179951 USD |
Kaka hongera umenena na kuichambua vizuri
Thanx Man umetuelewesha zaidi, tupo tunajipanga.
chichiam ndio mchawi wetuAsante Salma uchambuzi makini. ndo maana najiuliza nani katuloga?
una matatizo sana......SALMA2015
Container la futi 40 kutoka India mpaka hapa ni Dollar 400? nipe hiyo kampuni inayosafirisha kwa bei hii, kila kontena mimi ntakupa wewe commission ya dollar 100. Niko tayari, sasa hivi hata container 200 kuzi reserve meli nzima.
Wacha kudanganya umma.