Dr. Slaa: Mfuko wa cement utakuwa Tshs 5,000.. Ni KWELI 100%

Bei ya mkate ilipanda Malawi,watu walipoandamana ulishuka bei!

Sisi sukari ilipanda kutoka 1200-2200 ,rais alisema,lakini hakukuwa na response,sasa bei ya mafuta imepanda tutegemee zaidi ya 15000 ya cement
 
Hongera sana kwa uchambuzi uliokwenda shule!

Watanzania ni kama hamfikirii,mfuko wa sementi ukiwa elfu tano ni wazi wananchi wengi watajenga,kujengwa kwa nyumba nyingi na imara kutaonyesha tanzania kuwa na maendeleo hivyo kusababisha wahisani kuwanyima misaada.
Hivo magamba yanapandisha sementi ili wananchi washindwe kujenga nyumba na serikali iendelee kupata misaada kupitia umaskini wa watanzania.
 
Super Sub Steve;Usirukeruke kama bisi kwenye kikaango leta ukweli hapa.

kwa VYOVYOTE vile mtu anapochagua kuepuka data zilizopatikana kwa utafiti na kuishia kuzungumzia mtu/watu yaani kuchepuka mada huwa namhofu sana kama anamiliki ubinaadamu.*
 
Yeah! kuuana na vurugu plus matusi ndio sera za chadema, sishangai.

"Tutazichapa bungeni"-LISSU.

Ccm wanatuibia na wanatunyima akiri.Leo fisadi kaiba kesho anatumia hizo kutununua kwenda ikuru.Wadanganyika ni nani aliyetuloga?leo Dr slaa anatutetea wanyonge tunakataa
 
Allah amekupa nguvu kuweza kutambua nini slaa alimanisha. tuzidi kuomba hili hata akipewa mwingine lakin siyo wa ccm bali hatoke kwenye muundo wa ukawa. amen
 
Dr.Slaa anataka kila mwananchi ajenge nyumba yake akili za kimasikini kweli, badala hawaeleze wananchi sera ya Chadema ni ipi kwenye makazi ya raia, duniani kote serikali ndiyo uwa unawajibika kuwajengea wananchi wake nyumba ili waweze kuishi na kulipia kwa bei nafuu.
 
Mkuu yeye halijui hilo, kabaki kubwabwaja tu.
 
Dr.Slaa anataka kila mwananchi ajenge nyumba yake akili za kimasikini kweli, badala hawaeleze wananchi sera ya Chadema ni ipi kwenye makazi ya raia, duniani kote serikali ndiyo uwa unawajibika kuwajengea wananchi wake nyumba ili waweze kuishi na kulipia kwa bei nafuu.

Naona wewe ndio una akili za kimasikini unapoambiwa mfuko wa cementi bei itakuwa chini haina maana kila Tom, Dick and Harry wajenge nyumba wao wenyewe. You need to be able to manage income and value of expenditure. Hao technicians mnaowasamehe kodi wamejaza mifuko yenu na dola ndio sababu mnawakumbatia. Tanzania ikitaka kupiga hatua jambo la kwanza ni kufuta matumizi ya dola ndani ya nchi. Che nkapa na JK tangu wameingia madarakani wameweza kuuza nyumba za serikali na sio kujenga wezi wakubwa.
 
Mungu akulinde sana .
 
oh Ritz,
si useme pia serikali ikijenga nyumba ya @ 22,000/ kwa 50kg cement kila Mtanzania atapata nyumba bora hata kama fulana ni ya njano ya 2010 na chakula moja kwa siku?
 
Back
Top Bottom