Dr. Slaa: Mfuko wa cement utakuwa Tshs 5,000.. Ni KWELI 100%

Mkuu Mungu ameanza kutenda miujiza na kusikiliza kilio chetu kaanza kuwatoa duniani waliokuwa wanasababisha Ushindi kwa CCM.Si unakumbuka kuna jamaa lilikuwa linaimba manyimbo yanawachanganya watu mpaka wanachukua wanaweka waaaa.Mungu kamtoa kwa ajili ya kuokoa taifa

Acha ulaghai, kwani mtu kufa ni adhabu!! Huo ni wajibu hata wewe siku yako itafika utakufa usitishe watu hapa. By the way, Mungu gani mnayetumia?
 
Dah, huku sisi mfuko mmoja wa simenti ni Tshs. 22, 500/=!!

Tulishazoea kuishi kwenye nyumba za viota vya ndege (nyasi) na vichuguu (matembe)

.....Kigumu Chama cha Majambazi!!

Wote wa kule tuseme.........Kigumuuuuuu........!!
 
Acha ulaghai, kwani mtu kufa ni adhabu!! Huo ni wajibu hata wewe siku yako itafika utakufa usitishe watu hapa. By the way, Mungu gani mnayetumia?
Kwani nani nimemtisha? Mungu aliwaangamiza wazaliwa wa kwanza wa Wamisri sembuse hawa wanaharamu.Mungu ataifanya migumu.mioyo yenu na mwisho atatenda Miujiza yake ili mjuu ukuu wake
 
you are real brialiant,uchambuzi safi kabisa,mbeya cement kiwanda cha songwe Injinia mwandamizi Maro ni alikuwa injinia mkuu toka kiwanda kinajengwa mpaka kinaanza uzalishaji,aliacha kazi kwa ajili ya mzungu asiyejua kazi kulipwa Milioni 13 ili hali yeye akipokea milioni 1.5,alipatwa na uchungu akaacha kazi.meneja mkuu Diyami alimshauri Mkapa kutobinafisisha kiwanda cha Songwe ila mkapa hakusikia,kwa hiyo bei ya saruji ingeweza kuwa nafuu tatizo ni ufisadi toka kwa hawa wageni tuliowapa viwanda kwa bei ya kutupa,lengo ni kupata super profit,so THE MISSION OF CAPITALIST WHEREVER THEY ARE IS EXPLOITATION by any means,hivyo saruji kuuzwa 5000 kama alivyosema Dr slaa ni kweli,kweli tupu.

Ni zaidi ya hapo.

Ongeza misamaha ya Kodi
Ongeza kukwepa Kodi
Ongeza kuwaibia kwakuwalipa kiduchu Wafanyakazi wao pamoja na kuwa Kazi ya Saruji ni hatari kwa Afya kama machimbo ya Madini.


Agenda hii ya Saruji hata Oct.2015 kwenye Kampeni bado ni valid kwa Mgombea wa UKAWA
cc Kurugenzi ya Habari
 
Last edited by a moderator:
Kwani nani nimemtisha? Mungu aliwaangamiza wazaliwa wa kwanza wa Wamisri sembuse hawa wanaharamu.Mungu ataifanya migumu.mioyo yenu na mwisho atatenda Miujiza yake ili mjuu ukuu wake

Kumbe naongea na mgalatia! haya endeleeni na lichama lenu la kilokole.
 
haya mambo yapo mpaka azam,watu wana ki certificate wanalipwa dollar 2000/ eti expatriate,wabongo tunaumizwa sana,tena wanatoka nchi jirani kama kenya hivi,boring sana,wenye degree hapo ana m au laki9 tu,yaani inakera sana
 
Hii ni moja ya ahadi za chadema ambayo ccm wameshindwa kuitekeleza. Nyingine walioikataa kwa nguvu sana na sasa wameahidi kuanza kuitekeleza mwakani ni ile ya kufuta ada za shule!
 
Back
Top Bottom