CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,481
Kosa lipi walilokiri?
Kwa vile akina Kabwe and Co. LTD wamekili makosa yao, wasamehe. Muanze ukurasa mpya. Hata Baba wa Taifa alimsamehe Bibi Titi (RIP) alipotaka kumpindua! Wageuzie na shavu la pili kujenga CHADEMA! Wamejifunza, inatosha.
Hizi hofu zenu zote ni kwa kuwa wote mnakiri uwezo mkubwa wa ZZK, na mnajua ukweli unaokuja kuwapata. Kama mnadhani alikuwa anakisaliti chama chenu kwa faida ya maccm basi jueni kuwa mmejiroga wenyewe kwani maamuzi yatawagharimu sana sana
Hizi hofu zenu zote ni kwa kuwa wote mnakiri uwezo mkubwa wa ZZK, na mnajua ukweli unaokuja kuwapata. Kama mnadhani alikuwa anakisaliti chama chenu kwa faida ya maccm basi jueni kuwa mmejiroga wenyewe kwani maamuzi yatawagharimu sana sana
Laiti kama wangekuwa na hatia kweli aminmi nakuambia, wangevuliwa uanachama siku ile ile kama walivyovuliwa akina Mwampamba.Kwamba waliandika waraka wa kukigawa chama/kikihujumu! Kutenda mambo nje ya katiba, sheria na miongozo ya chama wakiwa katika Top management!
Jahazi la chadema linaenda mlama.
wewe huna akili kabisa zinduka acha kushikiwa akili kwa hiyo zzk akifa cdm immekufa/au slaa/au mbowe>>Acha kukarii mambo utachelewa maisha..MAKALIO YA SUFURIA HAYAOGOPI MOTO....
Kwamba waliandika waraka wa kukigawa chama/kikihujumu! Kutenda mambo nje ya katiba, sheria na miongozo ya chama wakiwa katika Top management!
Pumbaf xana ina maana mnaleta mambo ya kizamani?? M2 akifanya kosa aadhibiwe.
ushauri mzuri mi naomba tuukubali tunaambiwa mchawi mkabizi mtoto amlee hataweza kumdhuru
Siamini ninachokisoma hapa. Hii ni dalili ya woga. Jiulizeni kwanini mnapatwa woga sasa hivi? Haya mawazo mbona sikuyaona wakati ule na badala yake mlikuwa mnashabikia kuwa wasaliti wote watolewe ndani ya chama. Ninachokiona hapa ni kuwa mmeanza kuuona ukweli kuhusu tuhuma anazo pewa ZZK, Pamoja na nguvu aliyonayo kukisambaratisha chama hata Kama ni asilimia 15 tu. Msiposimamia NGO Irudi kuwa chama hata nyie mtanyolewa tu. Ombeni MUNGU muendelee kubaki ndani ya kiza, Siku mkaona mwanga tu, you are the nextushauri mzuri mi naomba tuukubali tunaambiwa mchawi mkabizi mtoto amlee hataweza kumdhuru