Ndugu Reagan , kwa kiasi uko sahihi ila mawazo yako ni ya jumla mno.Ili tuende vizuri nikuulize swali dogo. Je! Kuna mbunge anaweza kutekeleza ilani ya chama chake ikiwa rais na mawaziri hawatokani na chama chake? mbunge anaweza kuchangia/kusababisha sheria fulani ibadilike hata kama rais hatokani na chama chake? ukiwa na majibu ya maswali haya utapata concept ya wazo langu.
Kadhalika kwa mfano hap juu nimetoa mfano wa suala la ajira.Nikasema kwa mfano Mtemvu amebuni njia ya kupeleka watu uarabuni, wengine ufugaji nyuki n.k Lema, Msigwa N.k kama samples wa CHADEMA, ilifaa waoneshe mfano katika suala hili la ajira tu kwa kuanzia waeleza kwa muhtasari wao wanafanyaje ili kuwapa nafasi watanzania kulinganisha mambo.Sijui kama umenielewa kidogo?
Hivi na nchi zingine zikiwa na maamuzi kama ya Dr Slaa, je kutakuwa na maendeleo kweli? Hakika kibabu kinazeeka vibaya. Mathalan, viwanda vingi vya kusindika ngano vitakufa kwa maana sisi hatulimi ngano za kutosha.
sasa si ndio tulime za kutoshahivi na nchi zingine zikiwa na maamuzi kama ya dr slaa, je kutakuwa na maendeleo kweli? Hakika kibabu kinazeeka vibaya. Mathalan, viwanda vingi vya kusindika ngano vitakufa kwa maana sisi hatulimi ngano za kutosha.
kiukweli jamani , huyu DR SLAA ni kama tunu ya taifa , NINAJIVUNIA SANA HUYU MTU aisee .
Ritz Prof wangu (from Cyprus) wakati ninafanya Masters aliniambia/alituambia kama developing countries msikubali kuuza chochote nje bila ya kuki ADD VALUE! kwa hiyo Dr Slaa yuko sahihi na wachumi wengine! Bidhaa zote mpaka apples toka nje zimesha ongezewa VALUE!!Masuala ya kiuchumi Dr.Slaa ni mtupu sana tupe mfano nchi gani imeendelea kwa mtindo huo.
Masuala ya kiuchumi Dr.Slaa ni mtupu sana tupe mfano nchi gani imeendelea kwa mtindo huo.
Inakuwa kama Harufu inayotoka MSALANI bar nini?nikisikia harufu ya ccm nasikia kichefuchefu.
Nilikuwa nasikia harufu mbaya sana kumbe nipo karibu na MSALANIHizi hoja Chakavu za BABU ndio zinakufanya ujivunie?
mzee anasema tu km vile ni rahisi kiasi hicho, kwani ni nani ambaye ataki tuwe tunatengeneza cheni za dhahabu wenyewe, huyu mzee anazeeka vibaya kweli,
Hoja nyepesi nyepesi hizi. 2015 baada ya uchaguzi lazima awehuke!
Hizi hoja Chakavu za BABU ndio zinakufanya ujivunie?