Dr. Slaa maliza honeymoon urudi kazini

Mkuu kama ni kweli basi naomba MOD wabadili heading kwa jinsi watakavyoona inafaa.Sikuljua hilo Pili hata kama hayuko honeymoon, ila kwenye jamii hatumsikii yeye na viongozi wenzie. hapa JF wote wamekimbia hata Tumaini Makene naye kapotea pia. Nadhani hofu hii sio ya wangu peke yangu. tafadhali waje watutoe hofu hii

Dr slaa sio makamba wala nape kubwabwaja kila siku bila kufanya research. We nae ka Anna kilango!
 
Msijifanye machizi, ndoa haikufungwa kwa sababu ya zuio la mahakama! Rose anadai kulikuwa na ndoa ya kimila baina yao! Hakuna hata gazeti moja limeripoti ndoa hii hata Tanzania Daima! Josephine thibitisha!

Wanaendelea kuzini hadi hapo kesi itakapoamuliwa ndo wahalalishe.
 
JF usanii umezidi. mimi sikuleta uzi ili tujadl ndoa ya Dr Slaa. Tumezoea chama kuwa kinatoa matamko hasa pale panapokuwa na mikanganyiko. Sasa naona kila mtu anajadili juu ya ndoa na madai ya Rose Kamili, wengine eti njaa inanisumbua. nikiwaendekeza naweza toa tusi then nipigwe ban Muhimu ilikuwa ni contents zangu. Jukwaa la siasa now limejaa thread za Zitto na Chadema, wote tunachangia kwa mitazam yetu ila hakuna kiongozi yeyote mkuu alisema lolote. Dr Slaa being mtendaji mkuu wa Chama haya mambo yanamhusu sana na wala sikumaanisha kuwa chama kinaendeshwa na mtu mmoja
 
Unaweza kulindwa na sheria kufanya uovu. Lakini sheria haifuti dhambi ulioifanya wala haibatilishi kosa lako mbele ya Mungu wala adhabu yake. Slaa kama mtu anayefahamu ukweli juu ya Mungu aachwe ajitetee juu ya hili kwani anajua ukweli wake na consequences zake.
 
Back
Top Bottom