Dr Slaa Live on Startv - March 31, 2014

Dr Slaa Live on Startv - March 31, 2014

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
16,975
Reaction score
9,580
Leo saa 3:45 usiku Dr Slaa atakuwa Star Tv na Dotto Bulendu.........

Stay tuned!!

========
UPDATES:
Katiba; wananchi wanawaambia waatawala tunataka tuongozwe hivi, si watawala kuwaambia wananchi.

Katiba haitungwi na watawala wala si maelekezo ya serikali kwa wananchi.

Kaburungu na Rugaijamu

Kuna haja gani ya kujibizana na watu ambao mnajua wamekuja hapa makusudi kuwaondoa kwenye mjadala.

Daktari anaendelea kushusha nondo za ukuu wa katiba.
Naona jamaa wa Dar naye yuko sawasawa anassanasema CCM haiko katika misingi ya haki. Anasema kiuhalisia serikali tatu zimekuwepo siku zote.

Huyu Mzee hapa anapiga nondo. Anasema wananchi wameshirikishwa kinadharia. Anamshangaa Rais kwenda kutoa hotuba kupingana na maoni ya wananchi. Tena kwa kuelekeza. Mwananchi Solomon anakubaliana na Daktari Slaa kuwa katiba inapaswa kutokana na wananchi na kwamba hotuba ya Kikwete ilichanganya wananchi.
Maridhiano yatawezekana tu endapo Luna utashi wa kisiasa. CCM inalazimisha mambo yake kuwekwa kwenye katiba.

Kwa suala la katiba yuko tayari hata kuamushwa usiku wa manane kuzungumzia masuala ya watu.

Muda umekuwa mchache mno.Dr Slaa anaweza kuzungumza hata masaa matano na watu wakamsikiliza bila kuchoka.Rais wa Watu.
 
Katibu Mkuu atatumia fursa hiyo kuweka sawa masuala mbalimbali na kumbukumbu sahihi juu ya ukuu wa Katiba na umuhimu wake kwa maendelo na maisha ya watu.

Let's all be tuned.
 
chadema tuunde serikali yetu ya tanganyika bana,,ccm wanatuzingua sana
 
Njelu naye Yukon ITV do 45, Ana msimamo tofauti kabisa na JK! Anamkosoa JK Kwa kukiri kwamba anawarudishia wanzibar Gesi na Mafuta Kama vile Bara walivyo na almasi Mwadui nk, hivyo kukubaliana kwamba ipo nchi nyingine jina lake Tanzania Bara!

"Zanzibar ikitunisha musuli, muungano umeanguka" anasema
 
Katiba; wananchi wanawaambia waatawala tunataka tuongozwe hivi, si watawala kuwaambia wananchi.

Katiba haitungwi na watawala wala si maelekezo ya serikali kwa wananchi.
 
Dr Slaa ndani ya kipindi cha ajenda 2015
Mada: Rasimu ya katiba na makundi yaliyoibuka
 
Dr Slaa hana tena mvuto wa kisiasa kwa Watanzania; Dr Slaa kwa sasa hata udiwani akigombea kura hapati.

Mtu wa aina hiyo ambae Watanzania hawana habari nae unadhani atakuwa na umuhimu gani kwenye jamii?

Habari ya mjini kwa sasa ni Lissu tu huko CHADEMA.
 
Akili mbovu kabisa, hujamasikiliza nini anasema unakuja na upuuzi wako eti hana mvuto pathetic!!! nenda MMU.

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Dr Slaa hana tena mvuto wa kisiasa kwa Watanzania; Dr Slaa kwa sasa hata udiwani akigombea kura hapati.

Mtu wa aina hiyo ambae Watanzania hawana habari nae unadhani atakuwa na umuhimu gani kwenye jamii?

Habari ya mjini kwa sasa ni Lissu tu huko CHADEMA.

Sio bure wewe kuna kitu umefanywa huko uliko....Unadhani ndo utafanikiwa lengo lako!
 
Wana jamvi dr slaa yupo live star tv sasa hivi na anaichana vibaya serikali ya magamba kwa kuteka suara zima la mchakato wa katiba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom