afya yake ya mgogoro hawezi...Kikwete na kundi lake wanajitahidi kufuta kile wanachoita nyayo za Slaa, sasa afuate NYayo hizi vyema, Toka Dar, Lindi , Mtwara , Dodoma, Mbeya na wilaya zake , na kumalizia MKUTANO WA MWISHO PALE KWA MR 2 , SUGU MBEYA MJINI, Aje nyuma, ataliwa na manyigu
mmelipia air time kwenye redio angalau watu wengi waweze kumpata?
Tunasubiri updates mkuu...