Avatar yako iko sawa na akili zako.Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
katibu mkuu wa chama hicho dr.w slaa .
Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
Dsm watoto wa kiswahili wengi, hawana ufaham, wanasubiria bmkubwa awape mia5 ya vocha, walio bahatika kuwa na wazazi wachapa kazi wanasubiria mshua aweke funguo za gar mezan, waibe gari.. Vijana wa dar, wachache sana ndo wamejaliwa kuwa na akili. Wengi vilaza..Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
<br />Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!<br />
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
Leo wananchi wa monduli walilazimika kusimamisha shughuli zao kufwatia maandamano makubwa yaliofanywa na viongozi wa cdm wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho dr.w slaa na mbunge wa arusha mjini Godbless lema ambapo kwa pamoja walihutubia maelfu ya wakazi wa monduli waliojitokeza katika viwanja hivyo sambamba na kumuombea kura diwani wa cdm bw Mganga Gilbert katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao.
hatuna kilichosajiliwa kinaitwa CDM hapa tanzaniaHahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
ni chadema au chama cha demokrasia na maendeleo usitumie mkuu cdm unatupotezaLeo wananchi wa monduli walilazimika kusimamisha shughuli zao kufwatia maandamano makubwa yaliofanywa na viongozi wa cdm wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho dr.w slaa na mbunge wa arusha mjini Godbless lema ambapo kwa pamoja walihutubia maelfu ya wakazi wa monduli waliojitokeza katika viwanja hivyo sambamba na kumuombea kura diwani wa cdm bw Mganga Gilbert katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao.
Hivi nachingwea ipo tanzania??? Huko pia vilaza wapo wa kumwaga, ila watapata akili siku chadema itakapoikomboa nchi kutoka mikononi mwa mafisadi... Na siku hiyo haipo mbali..Au Nachingwea?