Mm ni mmoja kati ya familia nyingi zilizo kuwa zimeathirika kwa kukosa maji hapa Kyela Mbugani nyumbani kwangu!Tulikuwa tunaamka saa 8 usiku kwenda kutafuta maji!
CHADEMA ndani ya week maji kila sehemu yapo,naamka saa 1 asubuhi maji yapo na hakuna tena kuamka usiku na giza totoro
Kwa hili walilofanya CHADEMA ndani ya week wanastahili mno pongezi maana CCM liliwashinda kwa miaka
At least sasa tunafaidi ndoa zetu maana "Mama" hatuamki tena usiku wa mnene kutafuta maji tukiwaacha wake zetu vitandani
Nna hakika serikali itazuia hilo lisifanyike, ni fedheha kwao. Mtakuja kuniambia hapa.Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa anatarajiwa kuzindua visima sita vya maji katika jimbo la Kyela.
Akizungumza na wanahabari kiongozi wa Chadema Kyela na Mjumbecwa mkutano mkuu amesema visima hivyo vimefufuliwa na Chadema mara tu baada ya kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa Vijiji na kufanikiwa kuongoza halmashauri ya mji wa Kyela.
Mbunge wa Kyela Harrison Mwakyembe na CCM yenye madiwani wengi walishindwa kufufua visima hivyo kwa madai hamna hela kutokana na ufisadi mkubwa uliopo ndani ya Halmashauri hiyo.
Dr Slaa amealikwa kuzindua visima hivyo kutokana na maombi ya wananchi wa Kyela ambao wana imani kubwa Dr Slaa ndiye atakayekuwa Rais wa awamu ya tano.
Kila raheli wakwetu kyela
Nna hakika serikali itazuia hilo lisifanyike, ni fedheha kwao. Mtakuja kuniambia hapa.
Asante Kamanda Molemo kwa Tarifa nzuri sana hizi, Mungu aendele kumpa nguvu Mzee wetuKatibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa anatarajiwa kuzindua visima sita vya maji katika jimbo la Kyela.
Akizungumza na wanahabari kiongozi wa Chadema Kyela na Mjumbecwa mkutano mkuu amesema visima hivyo vimefufuliwa na Chadema mara tu baada ya kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa Vijiji na kufanikiwa kuongoza halmashauri ya mji wa Kyela.
Mbunge wa Kyela Harrison Mwakyembe na CCM yenye madiwani wengi walishindwa kufufua visima hivyo kwa madai hamna hela kutokana na ufisadi mkubwa uliopo ndani ya Halmashauri hiyo.
Dr Slaa amealikwa kuzindua visima hivyo kutokana na maombi ya wananchi wa Kyela ambao wana imani kubwa Dr Slaa ndiye atakayekuwa Rais wa awamu ya tano.
raheli = La Kheri
Mkuu, hivi Mbowe alibeba fedha zake kwa njia ipi vile?Uzi umeingiliwa na wezi wa Tegeta Escrow,waliobeba pesa ktk benki ya Stanbic kwa lumbesa.
Cc: chooni= msalani