dr.slaa ajiandae kutubu
Kaishapewa fungu lake maaana huyu padre kwa pesa balaaa.
Kaishapewa fungu lake maaana huyu padre kwa pesa balaaa.
Vipi, shetani kawa malaika?
Huyu mzee tangu aliposusa mimi namuona ni mnafiki balaa.......hata awepo au asiwepo mabadiliko ni lazima ndani ya nchi hii......
Vipi, shetani kawa malaika?
Nafsi yangu inaenda kutulia punde.
Dr Slaa anaenda kuzindua rasmi kampeni za uchaguzi.
CCM kwaheri
Kikwete kwaheri
Magufuli kwaheri
Mfumo fisadi kwaheri
Tunaenda kusimika utawala wa kujali haki za kiraia na binadam
Tunaenda kung'oa mifumo ya kinyonyaji na kiungu-mtu
Karibu Dr Slaa,the legend of political transformation in Tz
Source.JJ Mnyika,front page Nipashe
Vipi, shetani kawa malaika?