Dr. Slaa kuunguruma Washington D.C. Sept. 22, 2013

- Masikini wa Mungu badala ya kuhangaika kuanzisha tawi Unguja na Songea, anaenda DC Washington kuhutubia wanachama wanne wa Chadema, atalipwa miposho, atalipwa mihela kibao kisa na mkasa hakuna wa kumwabia kitu huko Chadema, kwa kweli Mungu anipishilie mbali na hicho chama cha vipofu watupu na siasa za makengeza, hivi nyinyi mna nini vichwani mwenu?

Le Mutuz
Kubwa jinga lingine hapa.
 
safari njema Dr uko uendako Mungu akulinde urudi salama ila pia ikiwezekana mtembelee Gavana Daudi atakusimulia jinsi magamba walivomgeuza mkimbizi kwenye nchi za watu.
 
nilidhani atahutubia UN kumbe kwa waosha vyoo na wasombaji wa taka wa US. itabidi wamcheki vizuri isijekuwa anapeleka mzigo wa M,kiti. maana Tz bana we acha tu.
Mwita
Maranya
, Tumaini Makene,

..nimeona Dr ana tatizo la mkono. It is better awe anatumia a hand free
wireless mic wakati akihutubia.

..hiyo microphone inayoonekana hapo kwenye picha is what
Dr.W.Slaa needs wakati akiwa kwenye mikutano ya
hadhara.
 
Last edited by a moderator:
NAMPONGEZA SANA LENGO LANGU KTK HOTUBA YAKE AJARIBU KUOMBA UN UWEZEKANO WA UN KTK KUWA NA DIRISHA DOGO LITAKALOKUWA LIKIZUNGUMZIA CONSTITUTIONAL MEASURES ON HOW SHOULD BE MADE! hasa ktk nchi nyingi ambazo baadhi za viongozi wamegeuza kama mali yao binafsi
 
- Masikini wa Mungu badala ya kuhangaika kuanzisha tawi Unguja na Songea, anaenda DC Washington kuhutubia wanachama wanne wa Chadema, atalipwa miposho, atalipwa mihela kibao kisa na mkasa hakuna wa kumwabia kitu huko Chadema, kwa kweli Mungu anipishilie mbali na hicho chama cha vipofu watupu na siasa za makengeza, hivi nyinyi mna nini vichwani mwenu?

Le Mutuz

Role Model Wa CCM. Chama Cha Majambazi. Sasa kwa taarifa yako, utashangaa safari ya USA....!!!! Utatamani kulia ngoja shuguli ianze

-Bora watu wanne wasikivu kuliko watoto wa shule wanaosombwa na lori kuudhuria mikitano.
-Bora watu wanne wanaoleweka kuliko mashoga na wauza sembe.

Sijui ushoga ninini lakini hii picha haileti picha nzuri katika jamii.....Ni pozi la kike.......!!!!!!!!!Jamani wanajukwaa nisaidieini. Kama huu siyo ushoga ni nini, ni swali tu
166067_10201278793871101_1773671604_n.jpg
 
nilidhani atahutubia UN kumbe kwa waosha vyoo na wasombaji wa taka wa US. itabidi wamcheki vizuri isijekuwa anapeleka mzigo wa M,kiti. maana Tz bana we acha tu.

Upo ushahidi wa wazi kabisa kuwa mashabiki na wanachama wa ccm ndio wanafanya kazi za kuzibua mitaro ya maji machafu na kuzoa taka huko majuu.

Mfano halisi ni W. J. Malecela alikuwa anafanya kazi ya kuzoa taka kwa muda wa miaka zaidi ya 23 hadi mzazi wake mzee Tingatinga alipomuonea huruma na kuamua kumrudisha nyumbani. Wengi wenu hawana uwezo wa kupata hata nauli tu ya kuwarudisha nyumbani sasa wanaishia kuwa ''vyura''.
 
William ameishi sana Mr. Vernon NY. Ni mtu wa vituko, yasemekana jamaa ni wa jinsia zote, yaani bisexual. Analala wanawake Kwa nadra na yeye pia ulalwa na wanaume, Kwa hiyo anapoitwa shoga, nachelea kukubali.

William alikuwa anafanya kazi ya kuendesha Lori la takataka. Waste chemicals, lakini tabia ambayo hajahacha hadi Leo ni internet pronography. Jestina George majuzi kanisimulia tatizo la Huyu mtu. Ukikutana naye ukampa chupi ansshindwa kufanya shuguli, lakini kwenye Skype ni balaa......Huyu nd iye Lemutuz.. ..

Lemutuz ameanza hizi tabia SA ushoga alipokuwa baharia na karibuni tutawaanikia Mume wake....hiyo picha hapo juu na Albert inatia kinyaa. Mwanamme gani anapiga pose kama hiyo kama siyo shoga ?

Amejaribu kila sehemu apewe hata ukuu wa wilaya, lakini ndani ya ccm wakubwa wamegoma Kwa sababu ya tabia zake SA kulidhalilisha wanawake. Kipindi JK anafanya uteuzi wa wakuu wa wilaya, William aliamini sana angepewa ulaji, lakini viongozi walikataa kata kata huyu mtu asipewe nafasi yoyote kubwa.

Pia mtu kanidokezea hapo Jonanesburg fish market kwamba lemutuz anauza wanawake. Jamaa amedata kabisa. William hafai kabisa
 
Last edited by a moderator:
Role Model Wa CCM. Chama Cha Majambazi. Sasa kwa taarifa yako, utashangaa safari ya USA....!!!! Utatamani kulia ngoja shuguli ianze

-Bora watu wanne wasikivu kuliko watoto wa shule wanaosombwa na lori kuudhuria mikitano.
-Bora watu wanne wanaoleweka kuliko mashoga na wauza sembe.

Sijui ushoga ninini lakini hii picha haileti picha nzuri katika jamii.....Ni pozi la kike.......!!!!!!!!!Jamani wanajukwaa nisaidieini. Kama huu siyo ushoga ni nini, ni swali tu
166067_10201278793871101_1773671604_n.jpg

Halafu jamaa aliyekaa nae ni...,,,sha..Du noma
 
- Masikini wa Mungu badala ya kuhangaika kuanzisha tawi Unguja na Songea, anaenda DC Washington kuhutubia wanachama wanne wa Chadema, atalipwa miposho, atalipwa mihela kibao kisa na mkasa hakuna wa kumwabia kitu huko Chadema, kwa kweli Mungu anipishilie mbali na hicho chama cha vipofu watupu na siasa za makengeza, hivi nyinyi mna nini vichwani mwenu?

Le Mutuz

Haji kuwahutubia CHADEMA; Anakuja "KUONGEA" NA "WATANZANIA." Kwa maana nyingine anakuja "KUBADILISHANA MAWAZO NA WATANZANIA"
 
hahahaaaaaaa unachekesha mjomba naona huijui Ulaya wewe,huo ushahidi wako wa kijinga peleka bilicanas kwa mateja ndio watakuelewa,watu wana maPhd Ulaya wanaswetea kazi sio vicheti vyenu vya kuchonga
Upo ushahidi wa wazi
kabisa kuwa mashabiki na wanachama wa ccm ndio wanafanya kazi za kuzibua
mitaro ya maji machafu na kuzoa taka huko majuu.

Mfano halisi ni W. J. Malecela alikuwa anafanya
kazi ya kuzoa taka kwa muda wa miaka zaidi ya 23 hadi mzazi wake mzee
Tingatinga alipomuonea huruma na kuamua kumrudisha nyumbani. Wengi wenu
hawana uwezo wa kupata hata nauli tu ya kuwarudisha nyumbani sasa
wanaishia kuwa ''vyura''.
 
Last edited by a moderator:
M4c abroad,,,,, big up dr. All the best viva chadema ,, saa ya ukombozi ni sasa
 
Kubwa jinga lingine hapa.

- Nilishakudharau siku nyingi sana miaka 50 majuu hata baiskeli huku bongo hamna, una hata gutts ya kuita binadam mwingine kubwa jinga pole sana, kubwa jinga ni kufikia kufukuzwa kwenye nyumba na mke na watoto kisa huwezi kulipia kodi! Miaka yangu 30 majuu sikuwahi kufikia hilo na huku Bongo pia bado sijafikia, ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
Role Model Wa CCM. Chama Cha Majambazi. Sasa kwa taarifa yako, utashangaa safari ya USA....!!!! Utatamani kulia ngoja shuguli ianze

-Bora watu wanne wasikivu kuliko watoto wa shule wanaosombwa na lori kuudhuria mikitano.
-Bora watu wanne wanaoleweka kuliko mashoga na wauza sembe.

Sijui ushoga ninini lakini hii picha haileti picha nzuri katika jamii.....Ni pozi la kike.......!!!!!!!!!Jamani wanajukwaa nisaidieini. Kama huu siyo ushoga ni nini, ni swali tu
166067_10201278793871101_1773671604_n.jpg

- Ha! ha! ha! kumbe unafuatilia habari na picha zangu saafi sana, hapa tulikuwa tunakula good times Jumamosi at Golden Tulip na My Super Friend Mr. Albert Makoye Mkurugenzi wa Itifaki wa Miss Tanzania, pole sana mtu asipokuwa na mawazo mgando kama yako basi ni shoga! ha! ha! ha! ha! ndio maana ninakichukia sana hicho chama maana kimejaza mburulazzz kama wewe Dr. Slaa mwenyewe ame-like na hakujibu unajua why cause anajua nilichosema ni ukweli mtupu kwamba,

- Huwezi kwenda kuhangaika na Wanachama Wanne DC Washington, ukaacha kuhangaika kuanzisha Tawi Unguja na Songea ambako ni wapiga kura DC Washington hakuna wapiga kura ni simply commonsense wala huhitaji kua na PhD, inaelekea huko kwenye chama cheni kuna mashoga wengi sana maana kila kukicha asiyekubali mawazo yenu ya mgando ni shoga, poleni sana na mashoga huko Chadema u know!!

Le Mutuz
 
Upo ushahidi wa wazi kabisa kuwa mashabiki na wanachama wa ccm ndio wanafanya kazi za kuzibua mitaro ya maji machafu na kuzoa taka huko majuu.

Mfano halisi ni W. J. Malecela alikuwa anafanya kazi ya kuzoa taka kwa muda wa miaka zaidi ya 23 hadi mzazi wake mzee Tingatinga alipomuonea huruma na kuamua kumrudisha nyumbani. Wengi wenu hawana uwezo wa kupata hata nauli tu ya kuwarudisha nyumbani sasa wanaishia kuwa ''vyura''.

- Kwa hiyo unasema kwamba Chadema hamuwataki wananchi wazoa taka maana sio watu, ha! ha! ha! Siasa za kujifun za ukubwani na JF wala hujui maneno ya kuongea mbele ya wananchi, halafu hebu kubalianeni ni kwa nini nilirudi Nyumbani maana mara nimerudishwa na mzazi wangu, mara Malecela sio mzazi wangu, mara nimekimbia mke na watoto I mean which is which? ha! ha! ha!

Le Big Shoow
 
Tutaona kama mabwabwa wanapewa nafasi ndani ya CCM. Itakuwa chama cha mashoga, wauza sembe mafisadi na wauaji..............

Wewe kwa akili yako, mwanaume gani anabinua kifua huku mwanaume mwenzake amekaa nyuma yake? Hatutaki mashoga tanzania
 
Slaa kadri watu wanavyozidi kumfahamu ndivyo jinsi wanavyojionea wenyewe kuwa HANA MPYA. Wadau wa DC jiandae kusikiliza hadithi zilezile kutoka kwa mtu yuleyule mwenye malengo yaleyale.

By the way, 5 hours mtu wa DC akae anasikiliza porojo za kisiasa?!!!
 
Back
Top Bottom