Dr. Slaa kuunguruma Washington D.C. Sept. 22, 2013

Dr. Slaa kuunguruma Washington D.C. Sept. 22, 2013

Dr slaa hii ni safari yake ya ngapi tangia 2010? kuna haja ya wadau kutunza kumbukumbu
 
Anafuatana na mchumba wake JOSEPHINE? Maana huyu mama kila sehemu anayotaka kutembelea iwe shopping au kurelux, sharti gharama zake wabebe CHADEMA. Kweli nimeamini kuwa wajinga ndio waliwao
 
CHADEMA DMV inafaa wakajikita kujibu baadhi ya hoja zinazoibuliwa
 
Mi kiukweli slaa simkubali kugombea Urais,tatizo lake kubwa ana hasira sana,nchi haiwezi.CCM baadhi mafisadi nawachukia,ila wana majembe yana point ambayo hayana kashfa,yakitangaza kugombea yanapita bila kipingamizi.mfano.Mwakyembe,sita,Magufuli n.k.
 
Huo mkutano sitaukosa....lazima niwepo nimuone dr slaa dr wa ukweli!
 
Mi kiukweli slaa simkubali kugombea Urais,tatizo lake kubwa ana hasira sana,nchi haiwezi.CCM baadhi mafisadi nawachukia,ila wana majembe yana point ambayo hayana kashfa,yakitangaza kugombea yanapita bila kipingamizi.mfano.Mwakyembe,sita,Magufuli n.k.

Wewe endelea kuota ndoto za mchana tuu mziki wa chadema na dr slaa magamba mtauweza wapi?
 
Meow.png
 
Anaenda kuonana na washingtoni d.c na pesa ya chama au ya kwake? Je ataongozana na josephine mshumbusi?
Nadhani lile tatizo lake la afya limemrudia tena. Dozi zimemwishia kaona aibu kwenda ujerumani tena.
 
- Masikini wa Mungu badala ya kuhangaika kuanzisha tawi Unguja na Songea, anaenda DC Washington kuhutubia wanachama wanne wa Chadema, atalipwa miposho, atalipwa mihela kibao kisa na mkasa hakuna wa kumwabia kitu huko Chadema, kwa kweli Mungu anipishilie mbali na hicho chama cha vipofu watupu na siasa za makengeza, hivi nyinyi mna nini vichwani mwenu?

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom