Dr. Slaa kuunguruma Washington D.C. Sept. 22, 2013

- ha! ha! ha! Unguja
na Songea hamna Matawi, lakini mnakimbilia DC Washington kwenye
wanachama wanne ni dalili za matatizo kwenye kufikiri, na kila asiye na
mawazo mgando kama yenu ni muuza unga au shoga, ha! ha! ha! lazima hicho
ni chama cha Mashoga so mnadhani kila mtu ni shoga, jibu hoja mkuu! ha!
ha! ha! ha!

Le Mutuz

Wewe jamaa ni mbaya sana
 
Attachments

  • 1016423_581842208540414_1446446676_n.jpg
    1016423_581842208540414_1446446676_n.jpg
    8.6 KB · Views: 381
Dr. Slaa jiandae majibu ya hoja hii " Kwanini ulitelekeza Mke na watoto wako kwa Mwanamke mwingine"? Je hauoni hiyo ni sifa na mfano mbaya kwa viongozi mbele ya watu wenye tabia kama hiyo?
 
Watu kule hawazungumzii watu binafsi. Kama ni watu binafsi wewe zungumzia Kinana msomali daktari wa kung'oa meno ya tembo wa Tanzania.
 
Alikutelekeza kwa sababu ulibweteka ukawa hujali ndoa,humjali mumeo,kumbuka mwanamke -------- huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe,hukuijali ndoa yako ndio maana mumeo akaondoka,ukiolewa tena na mume mwingine jitahidi kumjali mama.....!
 
Naona hii thread ni ya malumbano tu.Nashindwa kubaini -------- ni yupi.Jaribuni kutumia hekima zaidi katika kujenga hoja.Wengine umri wenu haufanani na majibishano yenu.Punguzeni ushabiki ,huu si mpira,ni mustakabali wa future ya watanzania.
 
Watu kule hawazungumzii watu binafsi. Kama ni watu binafsi wewe zungumzia Kinana msomali daktari wa kung'oa meno ya tembo wa Tanzania.
Wasingemuuliza Obama his Birth certificate, Soma siasa acha mambo ya kudandia. Uongozi wa jamii lazima uangalie mambo yanayo husu Umma. Kumtelekeza Mke na watoto hilo ni tatizo kubwa katika jamii.
 
Alikutelekeza kwa sababu ulibweteka ukawa hujali ndoa,humjali mumeo,kumbuka mwanamke -------- huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe,hukuijali ndoa yako ndio maana mumeo akaondoka,ukiolewa tena na mume mwingine jitahidi kumjali mama.....!
Acha dharau kwa wanawake, kutelekeza watoto ni kosa kubwa sana hapa Bongo. Tuna watoto wa mitahani ambao wametokana na vidume kama wewe ambao mmekuwa sperm donner badala ya kuwa Baba.
 
Dr. Slaa jiandae majibu ya hoja hii " Kwanini ulitelekeza Mke na watoto wako kwa Mwanamke mwingine"? Je hauoni hiyo ni sifa na mfano mbaya kwa viongozi mbele ya watu wenye tabia kama hiyo?

Alitaka kukuoa wewe,.
 
Wasingemuuliza Obama his Birth certificate, Soma siasa acha mambo ya kudandia. Uongozi wa jamii lazima uangalie mambo yanayo husu Umma. Kumtelekeza Mke na watoto hilo ni tatizo kubwa katika jamii.

Haya tupe wasifu wako ingawaje ---
 
View attachment 111242

Mkutano na Dr. Willibrod Slaa Jijini Washington DC

Viongozi na wanachama wa CHADEMA DMV wanapenda kuwakaribisha Watanzania

wote Kuhudhuria mkutano na Dr. Willibrod Slaa utakaofanyika Siku ya Jumapili

September 22, 2013 Mida ya 1😛m Mchana hadi 6😛m

Adress: 1401 Unirvesty Blvd. Langley Park. Md 20783 (Mirage Hall)

Karibuni tuje tujadiliane kuhusu maendeleo ya nchi yetu.

Maelezo zaidi wasiliana na Liberatus "Libe" Mwang'ombe (240) 423-3331 Baby Mgaza (202) 200-5031,
Hussein Kauzela (614) 653 - 1137
waTanzania wote mnakaribishwa

Source: CHADEMA DIASPORA : Dr. Slaa kuunguruma Washington D.C. Sept. 22, 2013

Kamata uwanja mheshimiwa sana, wewe u jembe. Matumaini ya Watanzania yapo mikononi mwako
 
Nadhani huo utakuwa mwaliko wa kina Jasusi,

mwaliko wa mbunge wa viti maalum wa Chadema anayeishi washington DC.

nafikiri amekwenda kujibu mapigo kwa last week Kikwete alikuwa hapo hapo kumwaga sumu.
 
Back
Top Bottom