William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Wala hatuhitaji watu sampuli yako kwenye safari ya ukombo wa taifa letu.Baki huko huko mlikojitoa ufahamu. Mwili mkubwa ubongo wa sisimizi.
- Vipi hoja yangu kwamba kwenda DC Washington kuwahutubia wanachama wanne badala ya kupigania kufungua matawi Songea na Unguja ni dalili za kukosa uwezo wa kufikiri vizuri, unaonaje on that mkuu sana! Sasa niambie nani hasa anakuwa na akili ya sisimizi hapo? ha! ha! ha!
Le Mutuz