Dr. Slaa kuunguruma Washington D.C. Sept. 22, 2013

Dr. Slaa kuunguruma Washington D.C. Sept. 22, 2013

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
480
Reaction score
644
Dr. Slaa Wshington D.C12.jpg

Mkutano na Dr. Willibrod Slaa Jijini Washington DC


Viongozi na wanachama wa CHADEMA DMV wanapenda kuwakaribisha Watanzania

wote Kuhudhuria mkutano na Dr. Willibrod Slaa utakaofanyika Siku ya Jumapili

September 22, 2013 Mida ya 1😛m Mchana hadi 6😛m


Adress: 1401 Unirvesty Blvd. Langley Park. Md 20783 (Mirage Hall)


Karibuni tuje tujadiliane kuhusu maendeleo ya nchi yetu.


Maelezo zaidi wasiliana na Liberatus "Libe" Mwang'ombe (240) 423-3331 Baby Mgaza (202) 200-5031,
Hussein Kauzela (614) 653 - 1137
waTanzania wote mnakaribishwa

Source: CHADEMA DIASPORA : Dr. Slaa kuunguruma Washington D.C. Sept. 22, 2013
 

Attachments

  • Dr. Slaa Washington DC.jpg
    Dr. Slaa Washington DC.jpg
    107.3 KB · Views: 3,442
Mimi CCM damu, ila napenda huyu mzee achukue nchi kutoka kwa manyang'au yetu ya CCM wauza sembe. Nachoka kweli na hizi kashfa za kijinga ndani ya CCM. Kila la kheri CCM ziara yako marekani

Kuhusu hilo la kuongoza Taifa letu halikwepeki.
 
Wakati anaungurumia DC huku kwetu kuna mijitu haitapata usingizi...

Aungurumapo Dr Slaa mcheza nani???
 
Mwita Maranya, Tumaini Makene,

..nimeona Dr ana tatizo la mkono. It is better awe anatumia a hand free wireless mic wakati akihutubia.

..hiyo microphone inayoonekana hapo kwenye picha is what Dr.W.Slaa needs wakati akiwa kwenye mikutano ya hadhara.
 
Last edited by a moderator:
Mbona Ritz amekua 'mkali' sana siku hizi mbili-tatu ??
Au sababu ni kupungua kwa 'mafao' ....

meli.jpg
 
Mwita Maranya, Tumaini Makene,

..nimeona Dr ana tatizo la mkono. It is better awe anatumia a hand free wireless mic wakati akihutubia.

..hiyo microphone inayoonekana hapo kwenye picha is what Dr.W.Slaa needs wakati akiwa kwenye mikutano ya hadhara.

Mkuu, ule mkono umetokana na uzembe wake mwenyewe wa kupenda michezo ya watoto wa kiume wanapokuwa boarding. alianguka bafuni huyooo
 
Ni simba asiyetetereka wa tanzania mwenye machungu na watoto wake (raia) kwa jinsi manyangau wanavyoliibia taifa hahahaahaha:target::target::target:

Tehetehetehe. Huku akijikopesha mamilioni ya fedha za ruzuku
 
Dr Slaa ameona bora afanye safari za nje baada ya kuona perdiem alizopata kwa kuruka na chopa nchini hazijatosha
 
Back
Top Bottom