Dr Slaa kuunguruma Temeke Jumapili hii

Dr Slaa kuunguruma Temeke Jumapili hii

Status
Not open for further replies.
Wakuu.

Kuna taarifa imesambazwa kwenye mitandao ya kijamii (Jamiifroums ikiwemo) kuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) atafanya mkutano mkubwa wa hadhara kesho wilaya ya Temeke.

Kwa heshima na taadhima naomba kukanusha na kuweka kumbukumbu sawasawa kwa kusema mambo mawili ya muhimu.

1. Ni kweli kuwa kesho jumapili tarehe 11 Mei, 2014 CHADEMA kitafanya mkutano mkubwa wa hadhara wilaya ya Temeke kama jinsi kinavyo fanya mikutano kwenye maeneo mengine kwa madhumuni ya kujenga na kueneza falsafa, itikadi na sera za chama kwa wanachama, wapenzi, na mashabiki wake maeneo mbalimbali .

2. Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Wilbrod Slaa hatakuwepo kwenye mkutano huo wa Temeke kesho bali watakuwepo viongozi na maafisa wengine wa chama. Dr Slaa kwa sasa pamoja na makatibu wenzake wa vyama vingine (vyama vinavyounda UKAWA) wana majukumu ya UKAWA ambayo anaendelea nayo.

Hivyo ni muhimu kila aliye pata taarifa za uwepo wa nguli za siasa za upinzani Tanzaniza (Dr Slaa) kuwa atakuwepo kwenye mkutano wa hadhara wa kesho unaotarajiwa kufanyika wilaya ya Temeke afahamu kuwa hatakuwepo kama ilivyo tangazwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, lakini nadhibitisha kuwa mkutano huo utakuwepo kama ulivyopangwa.

Tunaomba wanachama na wapenzi wetu wapokee taarifa hii kama taarifa rasmi na tunawapo pole kwa usumbufu wowote ambao utakuwa umejitokeza na nawakaribisha sana kwenye mkutano huo.

kamanda Erythrocyte weka juu hii kitu!
 
Last edited by a moderator:
ni katika viwanja vya NHC , njia panda ya uwanja wa Taifa karibu kabisa na CHUO KIKUU CHA UALIMU - DUCE , kwa mujibu wa matangazo kutoka kwenye gari la matangazo mkutano huo utaanza majira ya saa 8 mchana . wito wangu kwa wana Temeke TUSIKOSE KUHUDHURIA MKUTANO HUU , KUTEMBELEWA NA DR SLAA NI BAHATI KUBWA NA HESHIMA KUBWA SANA KWETU , HUYU NDIYE MKOMBOZI HALISI WA NCHI , KILA MAHALI NCHI HII WANAMLILIA , PIIIPOOOOZZZZZ !!!!!

tafadhali mkuu tunaomba umnong'oneze kuwa hata huku Magu tunamhitaji sana rais wa mioyo ya WaTz wazalendo wa kweli aje atutembelee
 
wakuu.

Kuna taarifa imesambazwa kwenye mitandao ya kijamii (jamiifroums ikiwemo) kuwa katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) atafanya mkutano mkubwa wa hadhara kesho wilaya ya temeke.

Kwa heshima na taadhima naomba kukanusha na kuweka kumbukumbu sawasawa kwa kusema mambo mawili ya muhimu.

1. Ni kweli kuwa kesho jumapili tarehe 11 mei, 2014 chadema kitafanya mkutano mkubwa wa hadhara wilaya ya temeke kama jinsi kinavyo fanya mikutano kwenye maeneo mengine kwa madhumuni ya kujenga na kueneza falsafa, itikadi na sera za chama kwa wanachama, wapenzi, na mashabiki wake maeneo mbalimbali .

2. Katibu mkuu wa chadema, dr wilbrod slaa hatakuwepo kwenye mkutano huo wa temeke kesho bali watakuwepo viongozi na maafisa wengine wa chama. Dr slaa kwa sasa pamoja na makatibu wenzake wa vyama vingine (vyama vinavyounda ukawa) wana majukumu ya ukawa ambayo anaendelea nayo.

Hivyo ni muhimu kila aliye pata taarifa za uwepo wa nguli za siasa za upinzani tanzaniza (dr slaa) kuwa atakuwepo kwenye mkutano wa hadhara wa kesho unaotarajiwa kufanyika wilaya ya temeke afahamu kuwa hatakuwepo kama ilivyo tangazwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, lakini nadhibitisha kuwa mkutano huo utakuwepo kama ulivyopangwa.

Tunaomba wanachama na wapenzi wetu wapokee taarifa hii kama taarifa rasmi na tunawapo pole kwa usumbufu wowote ambao utakuwa umejitokeza na nawakaribisha sana kwenye mkutano huo.

tunakushukuru kamanda kwa ufafanuzi , japo umechelewa .
 
Kama huna cha kuandika humu kojoa ukalale. Kama wewe una tabia zako usitumie wengine kutuelezea uchafu wako.

Uchafu upo wapi!?, kwani babu sio MZINZI!??, Mbona keshazaa na wake za watu wawili ilhali yeye ni Padre!

Au hauna hizi taarifa mkuu???
 
Wakuu.

Kuna taarifa imesambazwa kwenye mitandao ya kijamii (Jamiifroums ikiwemo) kuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) atafanya mkutano mkubwa wa hadhara kesho wilaya ya Temeke.

Kwa heshima na taadhima naomba kukanusha na kuweka kumbukumbu sawasawa kwa kusema mambo mawili ya muhimu.

1. Ni kweli kuwa kesho jumapili tarehe 11 Mei, 2014 CHADEMA kitafanya mkutano mkubwa wa hadhara wilaya ya Temeke kama jinsi kinavyo fanya mikutano kwenye maeneo mengine kwa madhumuni ya kujenga na kueneza falsafa, itikadi na sera za chama kwa wanachama, wapenzi, na mashabiki wake maeneo mbalimbali .

2. Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Wilbrod Slaa hatakuwepo kwenye mkutano huo wa Temeke kesho bali watakuwepo viongozi na maafisa wengine wa chama. Dr Slaa kwa sasa pamoja na makatibu wenzake wa vyama vingine (vyama vinavyounda UKAWA) wana majukumu ya UKAWA ambayo anaendelea nayo.

Hivyo ni muhimu kila aliye pata taarifa za uwepo wa nguli za siasa za upinzani Tanzaniza (Dr Slaa) kuwa atakuwepo kwenye mkutano wa hadhara wa kesho unaotarajiwa kufanyika wilaya ya Temeke afahamu kuwa hatakuwepo kama ilivyo tangazwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, lakini nadhibitisha kuwa mkutano huo utakuwepo kama ulivyopangwa.

Tunaomba wanachama na wapenzi wetu wapokee taarifa hii kama taarifa rasmi na tunawapo pole kwa usumbufu wowote ambao utakuwa umejitokeza na nawakaribisha sana kwenye mkutano huo.

Na bado, mtapoteana sana mwaka huu!
 
Mzinzi ni mama yako aliekudanganya chimpumu ni baba yako.....silly..

Hizi ndo Akili halisi za wanaCHADEMA.

Halafu ndo mnatarajia kushika dola, labda dola kivuli cha CCM.

Watanzania sio wajinga kiasi hicho.

Na CCM itaendelea kutawala mpaka kitukuu cha kitukuu chako!

SHAME ON U!
 
unajiita maalimu wewe mla minyoo ya nguruwe tu hujengi hoja kazi yako kumtukana dr. slaa,tatizo hamtaki shule mnangangania elimu ya madrasa nyambafu wewe
 
Yaani kutembelewa na Babu MZINZI ni bahati!!???. Unamatatizo wewe si bure!

View attachment 157411 SHONZA.jpg
 
Sasa chagadema mnatuchanganya sana na kauli zenu mbili mbili Mara Dr Slaa atakuwepo mwingine anakuja kukanusha kuwa hatokuwepo sasa tumuelewe nani na tuchukuwe lipi?

Hivi earthrocyte na Mtoi nani anacheo ndani ya chagadema? Nani yupo idara ya uenezi? Sasa chagadema kila mtu anaweza kusimama na kueleza jambo Hii siyo Mzuri kabisa kwa afya ya chadema! Ni hatari sana kwani mtakosa Kuaminika siku za Usoni!

Kurugenzi ya habari Ina kazi gani? Yaani kweli chagadema kimekufa kila mmoja anaweza kusema kitu pasi na kufuata utaratibu!
 
ww nimbulula tu,mateka wa kujenga hoja kaa kimya,ama umetoka mombasa?

Kama si "MZINZI" nini kilimtoa kwenye upadri!?
Joyce Mukya na mme wake wa Dubai watakuwepo!? au tayari waishapanda ndege kwenda nyumbani kwao Dubai!
 
Kurugenzi ya habari imepinduliwa na UKAWA akina Erythrocyte maana sasa wao ndio wenye kutoa matamko!

Kweli chadema kimekufa kabisa angalia mikanganyiko ndani ya CDM kwani kila mtu anasema lake!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom