Utaenda na mkeo? Uwe makiniKaribu dr slaa
Kama huna cha kuandika humu kojoa ukalale. Kama wewe una tabia zako usitumie wengine kutuelezea uchafu wako.Yaani kutembelewa na Babu MZINZI ni bahati!!???. Unamatatizo wewe si bure!
Ziwezi kuwa na muda mtanisamehe kesho takuwa nyumbani nikaangalia EPL na La Liga.
Angalia sana usiende na mke wako utakuja kujuta kama Mshumbushi.Ee mungu asante kwa kutuletea mwana mfalme na mwokozi wa wanyonge hapa kwetu.chadema tulianza na mungu na tutamaliza na mungu.Amen
KapuyaAngalia sana usiende na mke wako utakuja kujuta kama Mshumbushi.
Ukimchukia Dr slaa ni sawa na kumwaga sukari baharini haikolei ng'ooo!
ifwero bure kabisa. umedharauliwa bado hukomi saa zote kuandika ujinga tu
Atakuwa kachagua siku mbaya huyu.
ni katika viwanja vya NHC , njia panda ya uwanja wa Taifa karibu kabisa na CHUO KIKUU CHA UALIMU - DUCE , kwa mujibu wa matangazo kutoka kwenye gari la matangazo mkutano huo utaanza majira ya saa 8 mchana . wito wangu kwa wana Temeke TUSIKOSE KUHUDHURIA MKUTANO HUU , KUTEMBELEWA NA DR SLAA NI BAHATI KUBWA NA HESHIMA KUBWA SANA KWETU , HUYU NDIYE MKOMBOZI HALISI WA NCHI , KILA MAHALI NCHI HII WANAMLILIA , PIIIPOOOOZZZZZ !!!!!
Unamshukuru Mungu gani tena wakati kesho Dr.Slaa hawezi kuwepo Temeke.Ee mungu asante kwa kutuletea mwana mfalme na mwokozi wa wanyonge hapa kwetu.chadema tulianza na mungu na tutamaliza na mungu.Amen
Yaani kutembelewa na Babu MZINZI ni bahati!!???. Unamatatizo wewe si bure!
Siwezi kuwa na muda mtanisamehe kesho takuwa nyumbani nikaangalia EPL na La Liga.
Unamshukuru Mungu gani tena wakati kesho Dr.Slaa hawezi kuwepo Temeke.
Siwezi kuwa na muda mtanisamehe kesho takuwa nyumbani nikaangalia EPL na La Liga.