habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
Yaani CDM sasa kimekufa rasmi!
ukweli unauma. vumilia.jina lako na unachochangia vinaendena na akili yako imekaa kiabunuas
Hana kitu huyo mnadanganyika. Ndio maana mkakimbilia ukawa. Mwisho ya yote mtakimbilia ccm baada ya kuona hata ukawa hamna mtu anawajali.
ni katika viwanja vya NHC , njia panda ya uwanja wa Taifa karibu kabisa na CHUO KIKUU CHA UALIMU - DUCE , kwa mujibu wa matangazo kutoka kwenye gari la matangazo mkutano huo utaanza majira ya saa 8 mchana . wito wangu kwa wana Temeke TUSIKOSE KUHUDHURIA MKUTANO HUU , KUTEMBELEWA NA DR SLAA NI BAHATI KUBWA NA HESHIMA KUBWA SANA KWETU , HUYU NDIYE MKOMBOZI HALISI WA NCHI , KILA MAHALI NCHI HII WANAMLILIA , PIIIPOOOOZZZZZ !!!!!
Huyu babu mtamuua hana issue tena aturie kama Kingunge Mzee mwenzie halafu aache uzinzi umri umeenda atakuja kufia juu.
Habari za uhakika tulizozipata Usiku huu Babu yupo Hotel Moja Kahama na kimada chake na Junior wakijipumzisha!
Kesho wataendelea na safari Yao ya kwenda BK! Babu yupo busy na dada yangu wa Kanyigo
Si unamuona anavyokauka siku hizi! Babu yupo busy na katerero
Yaani CDM sasa kimekufa rasmi!
ni katika viwanja vya NHC , njia panda ya uwanja wa Taifa karibu kabisa na CHUO KIKUU CHA UALIMU - DUCE , kwa mujibu wa matangazo kutoka kwenye gari la matangazo mkutano huo utaanza majira ya saa 8 mchana . wito wangu kwa wana Temeke TUSIKOSE KUHUDHURIA MKUTANO HUU , KUTEMBELEWA NA DR SLAA NI BAHATI KUBWA NA HESHIMA KUBWA SANA KWETU , HUYU NDIYE MKOMBOZI HALISI WA NCHI , KILA MAHALI NCHI HII WANAMLILIA , PIIIPOOOOZZZZZ !!!!!
Kurugenzi ya habari imepinduliwa na UKAWA akina Erythrocyte maana sasa wao ndio wenye kutoa matamko!
Kweli chadema kimekufa kabisa angalia mikanganyiko ndani ya CDM kwani kila mtu anasema lake!
Si unamuona anavyokauka siku hizi! Babu yupo busy na katerero
katerero ni habari nyingine.. slaa amemganda josephin kama super glue.. babu atakuwa amelishwa limbwata la kihaya maarufu kama SHUNTAMA.
Haya maneno yameshapoteza maana. Ni muda mrefu sana mnaandika hivi. Inaonekana ni matamanio yenu tu mashetani wa lumumba.
Poleni na pumb@vu zenu.
umasikini ulionao hauwezi kwisha kwa matusi mjomba .