Tundapori
JF-Expert Member
- Aug 12, 2007
- 645
- 260
Point nzuri sana hii na mimi nakubaliana na wewe asilimia mia kuwa kura za ushindi zinapatikanika vijijini zaidi na siyo mijini.THE GREAT MISTAKE OF BONGO POLITICS..........mi huwa nasema SIASA ZA MJINI.......kuwa na watu wengi,kutangaza sana,mikutano,semina,vipeperushi ....vyote hivi hufanyika mijini hali wakiacha sehemu nyingine za nchi....YOU CANT BE A PRESIDENT OF DAR-ES-SALAAM ONLY.....! kosa walilofanya CUF ndo kosa CHADEMA wanalifanya.....CUF ilikuwa mbagala,mtoni na temeke kwa ujumla....wakienda fanya mkutano hata kibaha FUSO zinatoka mbagala kupeleka watu kibaha...hatimaye CHALI KIFO CHA MENDE.........! SO DO CHADEMA
Huko vijijini wameshiba chumvi, sukari na vijisenti kidogo na kuwabadilisha kimawazo na fikra ni vigumu sana. Anakopita huyu Dr. ni mijini, labda tusibiri kampeni ikiinza rasmi. Inatakiwa kuchochea kuni nyingi vijijini maana ndo waliko wapiga kura waliozea chama kimoja hata kama wako kwenye umaskini wa kutupwa na rasilimali ya nchi inafaidiwa na wachache.