Dr. Slaa kutogombea Igunga

Dr. Slaa kutogombea Igunga

Naunga mkono hoja kwa 110%. Dr. jenga chama kwa nchi siyo ubanwe tena na ubunge

slaa asilimia 26 ya kura mrema asilimia 28. hata taahira anaweza kuona tofauti hiyo.

hapa cha kujiuliza 28% ya watz mwaka 1995 ni kidogo mno ukilinganisha na 26% za mwaka 2010 wakati huo CDM WALIIBIWA KURA KIBAO

slaa hakubaliki kwa watanzania bali kwa wafuasi wa mtandao wa .,,......,..,sa.

Kastuka! kaona huko ni kwenda kujiadhirisha, hakubaliki na sababu ziko wazi kabisa.
Weka sababu ueleweke vizuri, kumbuka Common sense is not common to all. Au tatizo lake kubwa ni kutokuvaa barakashia?? (Nafikiria tu)

hata akigombea atashindwa. Dume la mbegu alikuwa mrema tu mwenye uwezo wa kushinda popote.

Mrema alikuwa kiboko. Akaenda kugombea kule kwa mafundamentalists temeke na bado kaibuka kidedea.

Slaa hayawezi ya baba mrema. Aendelee kuchakachua ruzuku makao makuu na kukwepa kulipa kodi.
sasa hayo ya mrema yametoka wapi watanzania kuwen makin mnapotaka kuchangia mada tunaongelea kuhusu simba wa tanzania ujui ulipotoka wala unapokwenda anakubalika kote mbona kaachia urais kaenda mp kaona ile ndo saiz yake jina lako zuriiii hila mgumu wa kuelewa na pia mwepes wa kusahau

hata akigombea atashindwa. dume la mbegu alikuwa mrema tu mwenye uwezo wa kushinda popote.

mrema alikuwa kiboko. .

mbegu zipi labda kama alikupa wewe!

Agombee asigombee, ccm wana hali ngumu igunga. Wanatakiwa wafanye kazi ya ziada.

ukiona libaba lizima linaanza kutukana jua hoja zimemwishia kwenye bichwa. kalale usituonyeshe utupu wako.

ukiona limama lizima linamsifia mwanaume ujue alishapitiwa.au anamtamani.

sasa hayo ya mrema yametoka wapi watanzania kuwen makin mnapotaka kuchangia mada tunaongelea kuhusu simba wa tanzania ujui ulipotoka wala unapokwenda anakubalika kote mbona kaachia urais kaenda mp kaona ile ndo saiz yake jina lako zuriiii hila mgumu wa kuelewa na pia mwepes wa kusahau

acha uongo simba wa tanzania wapo mikumi, serengeti na mbuga zote za tz, acha kumpa sifa mtu asiyokuwa nazo!

Back
Top Bottom