Dr. Slaa kutogombea Igunga

Dr Slaa, tunakuomba ukagombee Igunga tutakufanyia kampeni ushinde ubunge, ili tuwe tunakuja Igunga kununua Saruji, Sh500 kwa mfuko mmoja
Na Igunga italisha Tanzania nzima kutokana na mazao watakayo kuwa nayo.

Dr Slaa, tunakuomba ukagombee Igunga tutakufanyia kampeni ushinde ubunge, ili tuwe tunakuja Igunga kununua Saruji, Sh500 kwa mfuko moja

Haya bana!mfuko mmoja wa saruji sh. mia tano?are you serious?Hkwani siku hizi wabunge wanakusanya kodi.

Congratulations kwa kufuzu kozi ya vibaraka wa sisiem, hili sio eneo lako rudi wakakuelekeze upya.

Dr Slaa, tunakuomba ukagombee Igunga tutakufanyia kampeni ushinde ubunge, ili tuwe tunakuja Igunga kununua Saruji, Sh500 kwa mfuko mmoja

hahahahahaha jamani fitna hii....

Kwani ni lini alisema atagombea? kwa nini wasimuulize Makamba kama atagombea huko au Batilda buriani? au Ibrahimu Lipumba ambae ndio anatoka mkoa huo? huu unaitwa unafki.

KWELI MKUU NAKUUNGA MKONO

Mtu mwenye akili timamu hawezi kumfananisha Dr Slaa na Mrema!

Mrema unaweza kumfananisha na Makamba sr!

Kwa sasa utakuwa sahihi ila kwa miaka ya tisini mrema alikua zaidi ya mpayukaji makamba

Haya bana!mfuko mmoja wa saruji sh. mia tano?are you serious?Hkwani siku hizi wabunge wanakusanya kodi.
Mkuu, hilo swali ukiniuliza mimi utakuwa unanionea bure! Mbona ukumuuliza Lema wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, alisema wana Arusha mkinichagua kuwa mbunge wenu tajenga Machinga Complex mbili, na nitajenga Skyover sijui alikuwa anamahanisha nini

afanyae kazi ya kanisa hula vya kanisani.
Huyo Nape mwajiliwa wa ccm kama ya ni mwadilifu kwanini asionyeshe pay slip yake kabla ya kumnyooshe kidole Slaa kama kweli na yeye huwa analipa kodi?
Anataka kutudanganya watanzania, anafikiri watz ni wale wa enzi za ticha.

hapana asigombee huko.

Bravo Dr. Slaa nakubaliana nawe. Umeonyesha ueledi wa kisiasa kwa hali ya juu kupitiliza. Ushauri: CDM iangalie na kupima upepo unakoelekea msilamishe na kujikuta mnapoteza resources zenu mwisho wa siku. Kama wapinzani wznu CUF wanakubalika wachieni.

Hata akigombea hatashinda. tena kwa huu mfarakano unaoendelea ambao yeye ndo muasisi. he did a wise decision.

Hivi wewe unafikiria kwa medula au chini ya kitovu! Inabidi kuelewa kuwa Temeke ni cosmopolitan region a.k.a heterogeneous region! kuna watu wa mataifa mbalimbali from Tz tofauti na Igunga...ilikuwa rahisi kwaa Mrema kushinda..tofauti na Igunga, majority ni Wanyamwezi..pia lazima awe mtu wa kwao kushinda hapo..aza wayzi uwe unakubalika kweli kweli. Hakuna cha kusema mrema kidume wala nini..ni upungufu wa kufikiri na kuelewa nature ya eneo husika...

Kastuka! kaona huko ni kwenda kujiadhirisha, hakubaliki na sababu ziko wazi kabisa.

<br / wananch tumemwomba asigombee ingungaasubiri kdg tu atakuwa rais kwani kikwete hn mda mrefu madarakani wl haitofika 2015 ktkn na anavyoendesha nch kihuni, kwa HIYARI YAKE ATAJIVUA GAMBA

slaa asilimia 26 ya kura mrema asilimia 28. hata taahira anaweza kuona tofauti hiyo.
Hizo asilimia ni za tume yenu magamba sio kura zilizopigwa! Slaa ni rais wa moyoni hachafuki

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…