Dr Slaa kutikisa Same Jumanne

Tunaomba rais wa mioyo ya watanzania Dr Slaa utumie huo muda kutembele vijiji vya same hali zao mbaya sana hakuna maji.
 
]

kwani J.mushumbushi ana madaraka gani ya kitaifa CDM?

Jaim,

nimepeleka makala kwa josephine ili kuongeza chances za ujumbe wangu kumfikia Dr. kwa maana kwamba kama Dr asipopita basi mama anaweza akawa amepita akamfikishia ujumbe. ningekuwa nawajua spouses wa Zitto, Nnauye, Mnyika, na wengineo, ningepeleka ujumbe kwa wote,baba na mama mwenye nyumba.
 

Mkuu bangusule wahusika wamekusoma watayafanyia kazi.
 
Last edited by a moderator:
Mmm, wengine wanaimba mgogoro, wengine wanapeta. Mambo hayo, 2015 tutajua mgogoro ni nini?

Mkuu Communist watu wanaoimba migogoro na makundi ni mawakala wa Magamba wanaotumwa hapa JF kuchochea mambo ambayo hayapo.

Nimeshangaa kuna mtu mmoja anajiita mwanachadema anaitwa Tuko kaanza kuleta mambo ya CCM hapa eti Chadema ina makundi.

Wao wakipika majungu mtandaoni Dr Slaa yuko busy kuimarisha chama vijijini.

C.c Mwita Maranya, SEBM, Shardcole, Crashwise, Mungi, Ben Saanane.
 
Last edited by a moderator:
All the best kwa makamanda...
 
Crashwise,Hakika ni kweli Dr Slaa anaonekana ana mkakati mzito mwaka huu.Mkakati ambao ni wazi huenda ukakizika chama cha Mapinduzi.

Huwa ninajiuliza mbona Dr Slaa hachuji kisiasa? Ana bahati gani au ni Siri gani iliyoko nyuma ya mvuto wake.?

hapo masalia wapo wanachungulia, wazee wa posho lumumba hawasogei huu uzi,. Kumchafua slaa sawa na kumpiga teke churaaa,. Nyota ya mwenye heri slaa ni hatareee
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kamanda Molemo twende tu hivyo hivyo tutafika tu. Bahati nzuri Mungu anazidi kutujalia uwezo wa kuwatambua waliovaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu.

Kiongozi wetu anazunguka mikoani, wilayani na kwenye kata kujenga na kuimarisha chama kuna watu wanajiita wanachadema wanashabikia operation chaos iliyoanzishwa na inaendelea kuendeshwa na ccm. Tukiwaonya kwamba kwa mienendo yao wanaonyesha si wenzetu wanakimbilia kulialia kwamba tunawachukia, namimi nawaambia tena kwamba wakijenga chama tutawaunga mkono lakini wakileta chokochoko za kuvuriga chama hatutapepesa macho tutawaambia ukweli hata kama hawaupendi kwakuwa huo ndio wajibu wetu.

Chadema kwanza personalities baadae!!
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana Kamanda Mwita Maranya.
 
Last edited by a moderator:
 
 
Songa mbele Jembeeezzzzz!! eti sasa hivi wanaombea uzeeke haraka, ustaafu!
 
Safi sana! Kwa hili lazima magamba waitishe kikao cha dharura huko Same ili wapange mikakati ya kuwarubuni wananchi kutojitokeza kwa wingi kwa kuwahonga lakini hawataweza kufanikiwa maana haya ni mapambano baina ya Mungu na Shetani na hakika lazima Mungu ashinde. Chezea nguvu ya UMMA weweee!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Songa mbele Jembeeezzzzz!! eti sasa hivi wanaombea uzeeke haraka, ustaafu!

...na wameanzisha kitengo cha utabiri kwenye chama chao..."oooh Chadema itasambaratika 2012,Chadema itakufa kabla ya 2015"...aaa wapi!...BINADAMU WA KIKUSHUSHA MUNGU ANAKUINUA...watabiri wote watakufa,Chadema itabaki na itasonga-mbele kuwakombo watanzania...
 

Mkuu Sabung'ori umesema kweli.
 
Last edited by a moderator:

Huwa ninafurahi sana ninapowasoma makamanda Exaud Mamuya na Ben Saanane.Nyie historia haitawasahau na siku moja mtaenziwa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…