Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi


Unapokwenda uwanja wa taifa kuangalia mpira unalipa kiingilio pesa zile zinatumika kwenye shughuli mbalimbali za maendeleo
sasa hebu shughuli kubwa za maendeleo za hii mikutano isiyokwisha zaidi ya kuzuia watu kufanya kazi zao; juzi Lema; kesho Slaa; wiki ijayo itakuwa molemo; hivi watu wa Arusha ni wagumu kuelewa au walimu ndio wenye matatizo ya kueleweka?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama,
Tatizo kubwa la vijana wa Arusha hawana ajira ndio maana kila kukicha wao na maandamano ya Chadema.

Unadhani wangekuwa wamejikita kwenye ajira zao binafsi viwandani au kwenye kilimo kwanza wangekuwa wanaangaika na mikutano isiyoisha pamoja na maandamano ni mradi wa kina Lema na Dr Slaa kugawana posho.

Chadema kwa mwaka wananatumia zaidi ya milioni 800 kwa maandamano tu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna wenyekiti wa chama kimoja yeye licha ya kununuliwa suti na chupi hulipiwa na chumba pia nina wasiwasi nae...

Mkuu wangu chama, chukuwa copy hii ya matusi ya kamanda Crashwise, ambaye anajitapa hana matusi, ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, mbona kafu hawakuacha hizo nyayo! Walikuja na watu wao, wakawahutubia, wakaondoka nao!

Umenifurahisha sana kamanda.Wakati mwingine mwizi akija kuiba nyumbani kwako ukamkurupusha itabidi ufagie kabisa kuondoa zile nyayo za miguu ya huyo kibaka.Ndicho Dr Slaa anakuja kufanya Arusha.
 

Na CHADEMA wakienda mikutanoni wanachanga pesa za kuisupport M4C, vuguvugu ambalo linafanya kazi ya kuhakikisha kwamba 2015 CCM ambayo imeshindwa kulete maendeleo yanayolingana na umri wake madarakani, inaondolewa!
 
Kwani shughuri za chama cha siasa ni zipi?
 
Nasikia CCM wametumia fedha ya mishahara ya watumishi wa serikali na umma kwa ajili ya kutoa rushwa kwenye chaguzi zao za ndani!
 

Mkuu gamba Ritz mimi nimeshuhudia watu wakifunga biashara zao Arusha ili kuhudhuria maandamano na mikutano ya CDM...
Kwa taarifa yako moja ya mikoa ambao watu wake wanachapa kazi kisawa sawa ni Arusha na Kilimanjaro....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…