Dr. Slaa kupoteza "connection" na TISS - what really happened?

Status
Not open for further replies.
Huwezi kutumia silaha Nzito kwa kuua Mende ama Chura Kila taarifa ina mahali pake pa kusemewa.

Tiss imegawanyika makundi matatu.

a.Waliowaaminifu -Watoa taarifa kwa CHADEMA.

b.Walio uapnde wa CCM-Wanakula na Mafisadi.

c.watiifu kwa Lowassa-Wanajiandaa kupa ulaji 2015.

Sasa hapo utasema kusiri ya kufichwa kweli!
 
Simiyu na Kundi lako,
Naona mnalirudia sana swala la hili Kontainer. Mbona hamtaki kujibu maswali yangu. Niliuliza kama mnafikiri ninuwongo:-
1. Ipo wapi kesi waliyowafungulia viongozi wa Chadema Tunduma/ Mbozi waliotuhumiwa kutoa Taarifa ya uwongo kuhusiana na Container Hilo? Mbona kesi hiyo ilifutwa kabla hata haijasikilizwa Mara tu baada ya uchaguzi? Tumia akili ya kuzaliwa, huhitaji kwenda shule kuelewa kilichotokea.

2. Aliyetoa Tamko la Container kuingizwa nchini na kutaka Namba ya gari lililoleta Karatasi za kura toka Afrika Kusini na kufaulishwa kwenye Gari la Kampuni moja ya Tanzania na Namba ya Gari nilitoa, kwanini wakamate viongozi wadogo wa Chadema badala ya Dr Slaa aliyetoa Tamko Hilo? Huoni kuwa hapo kuna jambo limefichwa? Au inahusika katika njama hiyo mbona mnalivalia njuga lakini hamtaki kujibu maswali ya msingi?

3. Simiyu, unaeleza vipi, siku baada ya Tamko la Dr Slaa Maofisa wa Forodha na uhamiaji kuigwa Dar na inasemekana walihamishwa? Siyo mbinu ya Serikali unayoitetea kuficha ufisadi huo mkubwa?

QUOTE=Simiyu Yetu;9009345]Slaa alwahi kuwambia watu kapata tarifa kuwa kunakontena tunduma limekuja na kura za bandia hatujaliona mpaka kesho.[/QUOTE]
 
Natamani ingekuwa inawezekana kumuachia mtu madaraka hata kwa miezi 6 hivi ingetosha. Binadamu tu wanafki sana na huwa tuna midomo mirefu sanaaa tukiwa out of system ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia uicheze. Natamani wangempa mtu kama wewe hata kwa miezi hiyo tukaona unafanya nini usimcheke mamba kabla hujavuka mto. Mpira kwa maneno huwa ni ushindi tu kwa kila timu hata iwe Tanzania Vs Brazil Taifa stars inashinda. Ila kipenga kipigwa afu chronometer ikaanza kusoma mshindi tunamjua. Ni kumuomba Mwenyezi Mungu akupe roho ya kuwatumia watu na kujikana nafsi ni kujikweza tu ili uweze lakini kwa kusuta wenzio hivihivi tu usije ukapewa wewe ikawa bora Angepewa simba mnyama hata

Toa uharo wako hapa
 
Huwezi kutumia silaha Nzito kwa kuua Mende ama Chura Kila taarifa ina mahali pake pa kusemewa.

Tiss imegawanyika makundi matatu.

a.Waliowaaminifu -Watoa taarifa kwa CHADEMA.

b.Walio uapnde wa CCM-Wanakula na Mafisadi.

c.watiifu kwa Lowassa-Wanajiandaa kupa ulaji 2015.

Sasa hapo utasema kusiri ya kufichwa kweli!
Mkuu, hayo ni mawazo yako na umefikiri kimsukule sukule tu. mie siamini kama TISS ipo kwa ajili ya kuwatumikia wana siasa.
 
Simiyu na Kundi lako,
Naona mnalirudia sana swala la hili Kontainer. Mbona hamtaki kujibu maswali yangu. Niliuliza kama mnafikiri ninuwongo:-
1. Ipo wapi kesi waliyowafungulia viongozi wa Chadema Tunduma/ Mbozi waliotuhumiwa kutoa Taarifa ya uwongo kuhusiana na Container Hilo? Mbona kesi hiyo ilifutwa kabla hata haijasikilizwa Mara tu baada ya uchaguzi? Tumia akili ya kuzaliwa, huhitaji kwenda shule kuelewa kilichotokea.

2. Aliyetoa Tamko la Container kuingizwa nchini na kutaka Namba ya gari lililoleta Karatasi za kura toka Afrika Kusini na kufaulishwa kwenye Gari la Kampuni moja ya Tanzania na Namba ya Gari nilitoa, kwanini wakamate viongozi wadogo wa Chadema badala ya Dr Slaa aliyetoa Tamko Hilo? Huoni kuwa hapo kuna jambo limefichwa? Au inahusika katika njama hiyo mbona mnalivalia njuga lakini hamtaki kujibu maswali ya msingi?

3. Simiyu, unaeleza vipi, siku baada ya Tamko la Dr Slaa Maofisa wa Forodha na uhamiaji kuigwa Dar na inasemekana walihamishwa? Siyo mbinu ya Serikali unayoitetea kuficha ufisadi huo mkubwa?

QUOTE=Simiyu Yetu;9009345]Slaa alwahi kuwambia watu kapata tarifa kuwa kunakontena tunduma limekuja na kura za bandia hatujaliona mpaka kesho.
[/QUOTE]
Dr Slaa, kwanza napenda nikushukuru kujitokeza humu kujibu hoja ya container ya Tunduma yenye kura Bandia. Kwa mtu mwenye akili, naamini kuwa ni vigumu kumshawishi kuamini hoja hiyo. Kuhusu kuendelea na kesi hiyo, nawashukuru mahakama kuifuta kesi hiyo kwani ilikuwa ni ya kisiasa zaidi. Kwani ni wazi kuwa hakukuwa na ushahidi wowote na kuendelea kusikiliza kesi hiyo ni kupoteza muda.

dr Slaa, kama uliweza kudanganya kuwa kwenye katiba zenu zote, hakuna nakala ambayo imeonesha ukomo wa madaraka, wakati kariba ya mwaka 2004 imeonesha hivyo, je nani atakuamini tena kwa sasa? Ukweli ni kwamba ulijaribu kutumia mbinu chafu kushinda uchaguzi. Na hata uliposhindwa kihalali, bado ulionesha ushetani wako kwa kupinga matokeo na kutoa matamko kuwa nchi haitatawalika. Baada ya hapo, tumeshuhudia matukio mengi ambayo kwa hakika huwezi kujivua uhusika wako. Tukio la tindikali kule Igunga, tukio la Dr Ulimboka, Tukio la Kibanda, Tukio la Kujiteka na mengine mengi. Uhusika wako umedhihiri. Hakika wewe ni aina ya wanasiasa ambao kwao uongo ni mtaji kwao kisiasa. Hakika usipobadilika, ni wazi kuwa utapotea kabisa kisiasa
 
Simiyu na Kundi lako,
Naona mnalirudia sana swala la hili Kontainer. Mbona hamtaki kujibu maswali yangu. Niliuliza kama mnafikiri ninuwongo:-
1. Ipo wapi kesi waliyowafungulia viongozi wa Chadema Tunduma/ Mbozi waliotuhumiwa kutoa Taarifa ya uwongo kuhusiana na Container Hilo? Mbona kesi hiyo ilifutwa kabla hata haijasikilizwa Mara tu baada ya uchaguzi? Tumia akili ya kuzaliwa, huhitaji kwenda shule kuelewa kilichotokea.

2. Aliyetoa Tamko la Container kuingizwa nchini na kutaka Namba ya gari lililoleta Karatasi za kura toka Afrika Kusini na kufaulishwa kwenye Gari la Kampuni moja ya Tanzania na Namba ya Gari nilitoa, kwanini wakamate viongozi wadogo wa Chadema badala ya Dr Slaa aliyetoa Tamko Hilo? Huoni kuwa hapo kuna jambo limefichwa? Au inahusika katika njama hiyo mbona mnalivalia njuga lakini hamtaki kujibu maswali ya msingi?

3. Simiyu, unaeleza vipi, siku baada ya Tamko la Dr Slaa Maofisa wa Forodha na uhamiaji kuigwa Dar na inasemekana walihamishwa? Siyo mbinu ya Serikali unayoitetea kuficha ufisadi huo mkubwa?

QUOTE=Simiyu Yetu;9009345]Slaa alwahi kuwambia watu kapata tarifa kuwa kunakontena tunduma limekuja na kura za bandia hatujaliona mpaka kesho.
[/QUOTE]
Karibu sana mzee wetu hapa jf na pole na maswahibu ya kalenga.

Ni wazi pasipo shaka kuwa tarifa yako ilikuwa ya kutunga make hata vyombo vya dola kuchunguza ilikuwa ni uzushi mtupu hakuna uthibitisho wowote kwenye madai uliyodai.

Lakinimpia kuhusu maafisa wa forodha kuhamishwa ni hoja ya uongo kwanza unatumia neno kusemekana kwenye sheria na ushahidi hakuna neno kusemekana kwa hadhi yako wewe hutakiwi kutumia ushahidi wa kusemekana unatupa mashaka na uelewa wa mambo.

Naomba nikukumbushe kuwa uongo kwako siyo jambo geni sana umekuwa ukitoa tuhuma nyingi za kutunga ambazo hazina ushahidi,unakumbuka uliwahi kusema umefuatiliwa na gari ya maafisa usalama wa taifa toka iringa hadi dar? Swali ni kwamba unashindwa kweli kutaja hata namba ya gari ambalo limekufuatilia toka iringa hadi dar?

uliwahi kutwambia kuwa mmepata waraka au nyaraka ambayo inaonesha mawasiliano ya zitto na tiss lakini zitto alipokuandikia ujibu ukaukana waraka huo kam huujui wakati mwanzo ulisema umetoka makao makuu ya chadema,kwa mazingira kama haya kwa nini usibatizwe kwa mara ya pili na kupewa jina linaloendana na mambo unayofanya?
 
Simiyu na Kundi lako,
Naona mnalirudia sana swala la hili Kontainer. Mbona hamtaki kujibu maswali yangu. Niliuliza kama mnafikiri ninuwongo:-
1. Ipo wapi kesi waliyowafungulia viongozi wa Chadema Tunduma/ Mbozi waliotuhumiwa kutoa Taarifa ya uwongo kuhusiana na Container Hilo? Mbona kesi hiyo ilifutwa kabla hata haijasikilizwa Mara tu baada ya uchaguzi? Tumia akili ya kuzaliwa, huhitaji kwenda shule kuelewa kilichotokea.

2. Aliyetoa Tamko la Container kuingizwa nchini na kutaka Namba ya gari lililoleta Karatasi za kura toka Afrika Kusini na kufaulishwa kwenye Gari la Kampuni moja ya Tanzania na Namba ya Gari nilitoa, kwanini wakamate viongozi wadogo wa Chadema badala ya Dr Slaa aliyetoa Tamko Hilo? Huoni kuwa hapo kuna jambo limefichwa? Au inahusika katika njama hiyo mbona mnalivalia njuga lakini hamtaki kujibu maswali ya msingi?

3. Simiyu, unaeleza vipi, siku baada ya Tamko la Dr Slaa Maofisa wa Forodha na uhamiaji kuigwa Dar na inasemekana walihamishwa? Siyo mbinu ya Serikali unayoitetea kuficha ufisadi huo mkubwa?

QUOTE=Simiyu Yetu;9009345]Slaa alwahi kuwambia watu kapata tarifa kuwa kunakontena tunduma limekuja na kura za bandia hatujaliona mpaka kesho.
[/QUOTE]
Kunamwakati uliwahi kusema kuwa nusu ya usalama wa taifa wanaripoti kwako baada ya mda tena ukaja na jipya eti usalama wa taifa wamekuibia kura,sasa inakuwaje watu wanaripoti kwako halafu tena waje wakuibie kura?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom