Dr. Slaa kupoteza "connection" na TISS - what really happened?

Status
Not open for further replies.

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
WanaJF,

Naamini wote mtakubaliana na mimi kuwa moja ya mambo ambayo yalimpa jina Dr Slaa ni kuibua kwake mambo ya ufisadi ambayo yalikuwa yakifanywa na vigogo wa serikali.

Kwa kuibua kwake huko taarifa juu ya ufisadi wa baadhi ya maafisa wa serikali na hata mawaziri/manaibu, kulimpa mhe rais fukuto la kulazimika kubadili baraza la maaziri mara kadhaa.

Lakini pia Dr Slaa bila ya hiyana alikuwa akieleza wazi sehemu anayopata taarifa zake kuwa ni kutoka kwa watu wa usalama (TISS). Kama tujuavyo watu wa TISS wanajua mambo yote ya serikali A to Z.

Kitendo cha Dr Slaa kuwa kimya kwa muda mrefu bila ya kuwa na taarifa zozote za yale yanayo endelea serikalini kuna ashiria kuwa "connection" yake na vijana wa TISS itakuwa terminated!

Je, Dr Slaa imekuwaje sasa hata taarifa za kuibiwa kwa chaki mashuleni upewi!?

What happened Dr Slaa!? Jina lako linazidi kusahaulika.
 
Unazungumzia TISS ipi? TISS wazalendo au TISS mafisadi! Kama ni TISS wazalendo ndio kabisaaaaaaaa habari zinaendelea kumfikia kila siku! Tena kipindi hiki cha karibia na uchaguzi ndio kabisaaaaaa ziko za kumwaga! Kinachowaumiza roho mafisadi ni kuwa ni vigumu sana kujua ni yupi TISS fisadi na ni yupi TISS mzalendo. Wacha kabisa kuna watu wamejitolea kumfanya kazi kwa ajili ya Tanzania. Muda ukifika utaona matokeo!
 
Ameshindwa kupata taarifa kuwa mchumba wake Rose Kamili atatekwa na kubakwa huko Kalenga. Hakika Dr Slaa ametumika na sasa wamemdump
 
Unazungumzia TISS ipi? TISS wazalendo au TISS mafisadi! Kama ni TISS wazalendo ndio kabisaaaaaaaa habari zinaendelea kumfikia kila siku! Tena kipindi hiki cha karibia na uchaguzi ndio kabisaaaaaa ziko za kumwaga! Kinachowaumiza roho mafisadi ni kuwa ni vigumu sana kujua ni yupi TISS fisadi na ni yupi TISS mzalendo. Wacha kabisa kuna watu wamejitolea kumfanya kazi kwa ajili ya Tanzania. Muda ukifika utaona matokeo!
Habari gani zinazomfikia Dr Slaaa. Hakikka mnajidanganya sana
 
hivi tiss wa dr.slaa si yericko nyerere na ben saanane?
Ni kweli mkuu. Kuna wakati walikuwa wanajinasibu kuwa CHADEMA AINA INTELLIGENCY UNIT imara kuliko CIA, KGB, MI6, TISS, MOSSAD
 
habari zote za ufisadi wa nchi alikua anapewa na zito . toka chadema wamfukuze zito hakuna tena habar zozote za maana anazopata
 
NUSU YA USALAMA WA TAIFA WANARIPOTI KWANG0_Dr.SLAA.

USALAMA WA TAIFA WAMENIIBIA KURA_DR .SLAA.
 
Mkuu, MACHADEMA hayajui hilo

inteligensia ya chadema inayoongozwa na misukule yericko nyerere na ben saanane ilimdanganya mbowe na slaa wanashinda kalenga, matokeo yake wameangukia pua
 
Mkuu hii ndiyo misukule ambayo ndiyo intelijensia ya CHADEMA. Ona ilivyochoka
image.jpg
 
habari zote za ufisadi wa nchi alikua anapewa na zito . toka chadema wamfukuze zito hakuna tena habar zozote za maana anazopata

Zitto alikiri kwa hati ya kiapo kuwa hajui hata majina na akaunti za Uswisi. (Source: Jaji Werema).
Upo hapo..??
 
Unazungumzia TISS ipi? TISS wazalendo au TISS mafisadi! Kama ni TISS wazalendo ndio kabisaaaaaaaa habari zinaendelea kumfikia kila siku! Tena kipindi hiki cha karibia na uchaguzi ndio kabisaaaaaa ziko za kumwaga! Kinachowaumiza roho mafisadi ni kuwa ni vigumu sana kujua ni yupi TISS fisadi na ni yupi TISS mzalendo. Wacha kabisa kuna watu wamejitolea kumfanya kazi kwa ajili ya Tanzania. Muda ukifika utaona matokeo!

Kwisha kazi yake atabaki na labda.
 
Tehetehetehe. Hapo ndipo unafiki wa Dr Slaa unapobainika

mkuu ebu nikumbushe uchaguzi wa mwaka 2010 inteligensia ya chadema ilimdanganya kuna mkuu wa mkoa amekufa kumbe uzushi tu
 
Huyu mzee muongo tu kama kweli ni mtaalamu wa kutafuta tarifa mkewe asingetekwa kizembe vile lazima angekuwa na tarifa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom