Dr. Slaa kupoteza "connection" na TISS - what really happened?

Dr. Slaa kupoteza "connection" na TISS - what really happened?

Status
Not open for further replies.
Dr Slaa utamsikia na mabomu makali zaidi tunavyoelekea kwenye chaguzi za serikali za Mitaa na zaidi subirieni mwakani
 
mkuu ebu nikumbushe uchaguzi wa mwaka 2010 inteligensia ya chadema ilimdanganya kuna mkuu wa mkoa amekufa kumbe uzushi tu
Ni kweli mkuu. Intelijensia hiyo ilimdanganya kwamba kuna malori wameyakamata kule Tunduma yakiwa na masanduku feki ya kura
 
mkuu ebu nikumbushe uchaguzi wa mwaka 2010 inteligensia ya chadema ilimdanganya kuna mkuu wa mkoa amekufa kumbe uzushi tu
Slaa alwahi kuwambia watu kapata tarifa kuwa kunakontena tunduma limekuja na kura za bandia hatujaliona mpaka kesho.
 
Dr Slaa utamsikia na mabomu makali zaidi tunavyoelekea kwenye chaguzi za serikali za Mitaa na zaidi subirieni mwakani
Hahahahahaaaaaa! Kwa hiyo mabomu ya mwaka juzi anakuja kuyalipua 2015?
 
ha ha namuona mzee mtei hapo anaongoza kikao cha inteligensia, bila shaka hapo ni shambani kwake tengeru
Kabisa kabisa hiki kikosi cha mtei lazima kiwe kimejikiti kutafuta tarifa zinazohusu migomba na matikiti maji.
 
Unazungumzia TISS ipi? TISS wazalendo au TISS mafisadi! Kama ni TISS wazalendo ndio kabisaaaaaaaa habari zinaendelea kumfikia kila siku! Tena kipindi hiki cha karibia na uchaguzi ndio kabisaaaaaa ziko za kumwaga! Kinachowaumiza roho mafisadi ni kuwa ni vigumu sana kujua ni yupi TISS fisadi na ni yupi TISS mzalendo. Wacha kabisa kuna watu wamejitolea kumfanya kazi kwa ajili ya Tanzania. Muda ukifika utaona matokeo!

Naam hata miye nakumbuka lile container la kura Tunduma ambalo kufungua aibu haikuonekana hata kura 1 intelenjensia ikamuumbua.
 
Tehetehetehe. Hapo ndipo unafiki wa Dr Slaa unapobainika

Hapo kwenye blue.....

Mama zetu wanataabika kwa kukosa pesa za matibabu, yeye anatumia pesa zetu 'kutanua' na akina dada....
!!!

A2Cs9iDCIAAxlbk.jpg:large


Kikwete+na+wanawake.jpg
 
Kabisa kabisa hiki kikosi cha mtei lazima kiwe kimejikiti kutafuta tarifa zinazohusu migomba na matikiti maji.

na hilo pozi walilokaa hapo baada ya kikao cha inteligensia wanajipongeza kwa kupokezana maboora ya mbege
 
NUSU YA USALAMA WA TAIFA WANARIPOTI KWANG0_Dr.SLAA.

USALAMA WA TAIFA WAMENIIBIA KURA_DR .SLAA.

Contradicting statement by slaa. mm labda niseme kwamba CDM imeniangusha maana inaonekana slaa kwa mbowe Hana saut maana kwa ninavo mjua maamzi ya kishenzi yanayofanyika asingekuwa anayafanya.
 
WanaJF,

Naamini wote mtakubaliana na mimi kuwa moja ya mambo ambayo yalimpa jina Dr Slaa ni kuibua kwake mambo ya ufisadi ambayo yalikuwa yakifanywa na vigogo wa serikali.

Kwa kuibua kwake huko taarifa juu ya ufisadi wa baadhi ya maafisa wa serikali na hata mawaziri/manaibu, kulimpa mhe rais fukuto la kulazimika kubadili baraza la maaziri mara kadhaa.

Lakini pia Dr Slaa bila ya hiyana alikuwa akieleza wazi sehemu anayopata taarifa zake kuwa ni kutoka kwa watu wa usalama (TISS). Kama tujuavyo watu wa TISS wanajua mambo yote ya serikali A to Z.

Kitendo cha Dr Slaa kuwa kimya kwa muda mrefu bila ya kuwa na taarifa zozote za yale yanayo endelea serikalini kuna ashiria kuwa "connection" yake na vijana wa TISS itakuwa terminated!

Je, Dr Slaa imekuwaje sasa hata taarifa za kuibiwa kwa chaki mashuleni upewi!?

What happened Dr Slaa!? Jina lako linazidi kusahaulika.

The moles have been assassinated ...and other relocated
 
Hapo kwenye blue.....

Mama zetu wanataabika kwa kukosa pesa za matibabu, yeye anatumia pesa zetu 'kutanua' na akina dada....
!!!

A2Cs9iDCIAAxlbk.jpg:large


Kikwete+na+wanawake.jpg
Natamani ingekuwa inawezekana kumuachia mtu madaraka hata kwa miezi 6 hivi ingetosha. Binadamu tu wanafki sana na huwa tuna midomo mirefu sanaaa tukiwa out of system ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia uicheze. Natamani wangempa mtu kama wewe hata kwa miezi hiyo tukaona unafanya nini usimcheke mamba kabla hujavuka mto. Mpira kwa maneno huwa ni ushindi tu kwa kila timu hata iwe Tanzania Vs Brazil Taifa stars inashinda. Ila kipenga kipigwa afu chronometer ikaanza kusoma mshindi tunamjua. Ni kumuomba Mwenyezi Mungu akupe roho ya kuwatumia watu na kujikana nafsi ni kujikweza tu ili uweze lakini kwa kusuta wenzio hivihivi tu usije ukapewa wewe ikawa bora Angepewa simba mnyama hata
 
Lizaboni,
Wakati Dr Slaa anaanzisha hoja za Ufisadi
1. Masuala ya ufisadi yalikuwa hayajadiliwi nchini. Watu walikuwa na uwoga. Leo kila asubuhi ukisoma gazeti, hutokosa taarifa ya mabilioni yaliyoibiwa hapa au pale. Humhitaji tena Dr Slaa kuibua, hata wewe unaweza kuibua.

2. Hoja 2007 na hasa Ndani ya Bunge na hatimaye Mwembe Yanga, ilikuwa kuwa Elimisha Watanzania jinsi nchi Yao inavyoliwa pamoja na kuwa Rasilimali Kibao. Nchi inaitwa Maskini pamoja na na kuwa na utajiri wa Kutisha. Leo, Miaka 8 Baadaye, hakuna Mtanzania asiyefahamu jinsi nchi Yao inavyotafunwa, hata mtoto mdogo atakuambia jinsi ufisadi ulivyofilisi nchi.

3. Mwaka 2007 Mafisadi walikuwa hawana Hofu ya kupelekwa mahakamani, Leo hakuna asiyejua kuwa, hata Kama wamepindisha mashitaka asiyejua kuwa kuna mawaziri wamefikishwa mahakamani. Vita vya ufisadi, wabadhirifu wa Mali ya umma Leo siyo ya flani tu ndiyo maana wenye viti wa vijiji wanaondolewa na wananchi wao kwa kifisadi Mali ya umma, kwenye Serikali watu wanaandamana kupinga mambo mbalimbali, wananchi wanaandamana kupinga ufisadi katika Ardhi. Kama ni mtu makini hutasubiri kutumbuliwa kwa kilichoitwa wakati ule " Mabomu". elimu imefika mahali pake, kipindi cha sasa siyo ten a cha mabomu kwa kuwa taarifa ya mabomu Leo ipo nje nje, na watu wengi wana uwezo wa kulipia mabomu siyo tu ngazi ya juu Bali hata katika ngazi zao. Ngazi kubwa Leo kwa kina Slaa ni ujenzi wa Chama, ili kuandaa mazingira ya kuingia Serikali ya Kifisadi. Kujua juu ya Ufisadi ni jambo moja, lakini bila kuchukua hatua ya kuing'oa Serikali ya Kifisadi ni kazi bure. Aidha aina ya ufisadi inaendelea kubadilika kila wakati.

4. Ni wazi Mara mmoja mmoja tutatoa taarifa za ufisadi, Kama ambavyo punde tutaanza kupiga kelele jinsi Kulivyo na ufisadi mkubwa katika zoezi la Ubinafsishaji wa Kituo cha Polisi cha Oysterbay. Ni dhahiri nchi imefika pabaya Kama Serikali inaweza kubinafsisha kituo cha Polisi kwa maelezo tu ya uwekezaji.




QUOTE=Lizaboni;9009215]Ni kweli mkuu. Kuna wakati walikuwa wanajinasibu kuwa CHADEMA AINA INTELLIGENCY UNIT imara kuliko CIA, KGB, MI6, TISS, MOSSAD[/QUOTE]
 
Jamaa yuko busy akiwadanganya misukule....

Anajifanya anabeba tofali, kumbe kiukweli anabeba vitu vingine kabisa......

Misukule mpo...????

5d531d1517L.jpg


tusks.jpg
Hawa wamebainika ila wachafuu si wao peke yao. Hata sie huku chini kwetu tunanuka though harufu yetu ni ndogo tunauza mabox ya chalk za shule na kujipa allowance hewa magari ya hao ivory huwa tunaweka kichochoroni tunajinyonyea wese tunanuka hata sie harufu yetu ni kama ka kijambo ka yusuphuuuu ila wao mmmhh choo kilichozibuliwa haaaa haaaa waliopo hatuwatatiki/tumewachoka wanaotaka tuwape hatuwaamini migogoro ya wao kwa wao inatufanya tuhofie uwezo wao kama wataweza tatua migogoro sugu ya hii kata yetu. Ya kwao tu yamewashinda sasa yetu wataweza?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom