Dr. Slaa: Kukimbia bunge hakusaidii

Hakuna mwenye leseni ya kuitawala tanzania,hilo lazima likae vichwani mwenu,nchi hii ni yetu sote
nchi hii ni yetu sote kwel, lakin hatuwezi kumkabidhi fisadi atuongoze, aende akachunge ng'ombe wake huko elkasmet, tena mumwambie awahi kwa maana ugonjwa wa BONDE LA UFA uko karibu kurud, asije shangaa akapoteza hata hao ng'ombe wote.
 
Aaah!!;pole sana hivi unanijua Mimi vizuri wewe Mimi siyo wewe wa LUMUMBA UNAYEISHI KWA KUTEGEMEA BUKU 3!! Mimi Nina kazi yangu ya MAANA hata mshahara wangu huyo mwenykt HD raic wwn hanifikii!!
 
Aaah!!;pole sana hivi unanijua Mimi vizuri wewe Mimi siyo wewe wa LUMUMBA UNAYEISHI KWA KUTEGEMEA BUKU 3!! Mimi Nina kazi yangu ya MAANA hata mshahara wangu huyo mwenykt HD raic wwn hanifikii!!
mkuu kwani nani amekataa kuwa kufagia ofcni kwa makene hapo ufipa kunalipa vizuri kuliko kazi yangu mm hapa lumumba? hongera sana mkuu msalimie boss wako makene but nipigie pande na mm nipate day waka hapo ufipa tuje tusaidiane kupga deki. HIYO OFISI NI KUBWA HUUMII MGONGO?
 
Mpinzani wa kweli asie sahaulika na kila mmoja husibiri kauli zake za hekima!
 
Unatoa Maamuzi yanayohitaji Akidi wAKATI HUNA HUO UWEZO Kweli?
Na kibaya zaidi watu unaotaka wakuunge mkono kutokana na uchache wenu unatengeneza nao BIFF ?
MAAJABU.
 
Muulizeni Dr.Slaa , kwanini aliagiza wabunge wa Bunge la Katiba kutoka ? Mara hii kashasahau ? Ila sitaki kuamini kuwa yeye ndio kaandika haya .........inawezekana Delila ndio kaandika .......
 
Asituletee ya Ulipumba Hapa! Mbona yeye Kipindi Chake Walikuwa Wanatoka?! Nakwataarifa Yako Siye Siyo Kama CUF Hukija tena tunakuchinjia Baharini Nenda Ukawa shauri WALUMUMBA jinsi ya KUWANUNUA Viongozi Wenzako Uchwara Na WAJALI MATUMBO YAO Wa UKAWA
Wewe ni mtoto kifikra umejaa chiki busara zero
 
Kwani nayeye yumo Kwenye nafasi za uDC nauRC,samahani nauliza tu,maana huku kwetu hatuna Radio na TV
 
Hivi Raia Mwema/ Raia Tanzania wana maslahi gani na Dk Slaa kwa habari zinazohusu Ukawa? Katika upeo wao (wahariri) wanadhani Mzee Slaa anaweza kuzungumza kitu positive kwa Ukawa. Inashangaza Raia Mwema wanamkariri Dk Slaa leo aki crash kauli ya Mbowe ya kupambana na serikali ilhali kauli kama hiyo ilikuwa kama kifungua kinywa kwake! Btw nani hajui kama mpinzani wa kweli ni lazima atarajie consequences?
 
Na yeye kukimbia kuwakomboa Watanzania kwa tamaa za tumbo lake hajajua ni usaliti unaostahili apigwe mawe mpaka afee???
Huyu hana cha kushari upinzani. Aendelee kulelewa na Ccm. Tumesha msahau na kumpuuza
Hilo swali kamuulize mbowe alilamba bei gani toka kwa fisadi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…