Dr. Slaa: Kukimbia bunge hakusaidii

Ila kukimbia uchaguzi ndio kulisaidia demokrasia?! Akili za ukimbizi wa uzeeni ni shida.
 
Alishakula pesa akasaliti mabadiliko basi akae kimya,upinzani haumuhusu tena!
 
Dr Slaa kasema kweli,kwa sababu hatua hiyo haisaidii lolote kwa wapiga kura wao pia halona tija
 
Alishakula pesa akasaliti mabadiliko basi akae kimya,upinzani haumuhusu tena!
Ukiona hivyo fungu alilosepa nalo canada ndio limekwisha hivyo anatafuta gia ya kuingilia bongo,si umemuona lipumba?
 
Tumsifu Yesu Kristo Padri Slaa, nakushauri achana na mambo ya siasa, ulishayakimbia, ni bora sasa UKAWA unajishughulisha na uandishi wa vitabu vya kiroho au vya maendeleo ya jamii.
 
ujinga wao wanataka kuongoza serikali wakati wao ni wapinzani.
 
Mkuu Ukawa wajiuzulu kabisa ubunge kuonyesha udhati wao kumpinga Dr Ackson.
Kwa sasa wanacheza makida makida, mchezo wa kitoto.
Wewe ukikuwa mmoja wao, umejitoa lini? Aaah kumbe wewe cdm masalia! Huyo slaa ni kati ya wanafiki10 bora duniani na ni mfuasi wa Yuda Isiariot aliyemsaliti Yesu. Dua za uliowasakiti itamchafua daima. Amewafanya wasomi watengwe na kutoaminiwa tena na jamii. Aibu yake na huyo anayemzuzua. Kama kweli kidume arudi ayaseme haya anayotumwa na ccm wenzake apime upepo wa wataka demokrasia utakavyompulizia mbali.
 
Ukiona kitu kinaongelewa kwa ubaya sana basi ujue kinakubalika! Ukawa ndio habari inayotawala kila Thread hapa JF
 
Hana chochote alicho kisahau upinzani,yeye na lyatonga pamoja na cheyo lao ni moja tu
kimsingi UKAWA wanamgomea nani? Ikiwa wanadai bunge ni chombo huru, sasa ni nani wakuja kutatua huo mzozo wa kitoto! poor CDM, Poor UKAWA! poor KUB!
 
Asituletee ya Ulipumba Hapa! Mbona yeye Kipindi Chake Walikuwa Wanatoka?! Nakwataarifa Yako Siye Siyo Kama CUF Hukija tena tunakuchinjia Baharini Nenda Ukawa shauri WALUMUMBA jinsi ya KUWANUNUA Viongozi Wenzako Uchwara Na WAJALI MATUMBO YAO Wa UKAWA
hebu muwe mnahifadhi maneno yenu . dr slaa anaweza kurudi hata kesho chadema na still akawa na cheo kikubwa chamani, haraf akakukuta ww na kile cheo chako cha kufagia ofisi ya makene kwa maana ww hapo ufipa huna hata hadhi ya kufagia ofisi ya mbowe. muwe mnatunza maneno wafipa. jifunzeni kwa wenzenu cuf waliyemwita msaliti amerudi na anataka kiti chake na keshokutwa anakabidhiwa kiti.
 
Tangu lini mwana ccm akatoa ushauri mzuri na wenye anufaa kwa wapinzani wake kisiasa?huyo slaaa ni ccm na sasa anatafuta gia ya kuingilia bongo baada ya mpunga kumuishia
kwani huyo lowaxa anayewapa ushauri nan kakwambia si mwana ccm?
 
Wenye Chadema hawawezi kumsema vibaya Dr. Slaa hawa kama ulivyowaita Wafagiaji ni MAVUVUZELA tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…