masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,892
- 13,192
Hapo sasa!Kweli kukimbia bunge hakusaidii, je yeye kukimbia nchi kumesaidia nini?
Tangu lini mwana ccm akatoa ushauri mzuri na wenye anufaa kwa wapinzani wake kisiasa?huyo slaaa ni ccm na sasa anatafuta gia ya kuingilia bongo baada ya mpunga kumuishiaDr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.
Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.
Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.
Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.
Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"
Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.
Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.
MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.
Mkuu nchi kwanza vyama baadaye.Tangu lini mwana ccm akatoa ushauri mzuri na wenye anufaa kwa wapinzani wake kisiasa?huyo slaaa ni ccm na sasa anatafuta gia ya kuingilia bongo baada ya mpunga kumuishia
Hakuna mwenye leseni ya kuitawala tanzania,hilo lazima likae vichwani mwenu,nchi hii ni yetu soteMkuu nchi kwanza vyama baadaye.
UKAWA wanachofanya ni ubatili.
Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.
Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.
.
Mkuu Ukawa wajiuzulu kabisa ubunge kuonyesha udhati wao kumpinga Dr Ackson.Tangu lini mwana ccm akatoa ushauri mzuri na wenye anufaa kwa wapinzani wake kisiasa?huyo slaaa ni ccm na sasa anatafuta gia ya kuingilia bongo baada ya mpunga kumuishia
Hana chochote alicho kisahau upinzani,yeye na lyatonga pamoja na cheyo lao ni moja tuNa yeye kukimbia kuwakomboa Watanzania kwa tamaa za tumbo lake hajajua ni usaliti unaostahili apigwe mawe mpaka afee???
Huyu babu hana cha kushari upinzani. Aendelee kulelewa na Ccm kama katoto. Tumesha msahau na kumpuuza
Kwani wao walipelekwa bungeni na huyo tulia?sisi wapiga kura ndiyo tuliyo watuma bungeni na hivyo tupo nao na tuna wapongeza kwa wanacho endelea kufanyaMkuu Ukawa wajiuzulu kabisa ubunge kuonyesha udhati wao kumpinga Dr Ackson.
Kwa sasa wanacheza makida makida, mchezo wa kitoto.
Atatulia vipi wakati fungu alilopewa tayari limekatika?Slaa anatoa ushauri akiwa gizani... aje nchini
Kama ameamua kujificha atulize maul lake
UKAWA sikio la kufa halisikii cha mhubiri wala muadhini.UKAWA wa sasa hawajielewi kabisa.
Wanapambana na Spika bungeni
Wanapambana na serikali
wanapambana na polisi
Wanapambana na mahakama
Haya weeeee!!!! Wamejipa kuwa wao ni muhimili wa nne unaojitegemea
Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.