Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

Status
Not open for further replies.
Kwa kifupi Dr. Muhogo hajabadili msimamo wa mtu. Wale waliokuwa wanamsema vibaya ndo haohao...Kwa kifupi plan imefeli...
 
Tido Mhando angalia tusikupuuze. Kama uko sawa muulize padre kwa nini aliasi upadre na je haoni yanayomtokea ni matokeo ya uasi ?
 
CCM mko busy kunadi mahojiano ya Dr. Slaa kwenye TV badala ya kumnadi mgombea wenu. Kwa taarifa yenu Dr. Slaa hana impact yoyote kwa kura za Lowassa. Tumeisha amua mabadiliko ni lazima na kura zetu kwa kwa Lowassa ziko pale pale. Nyie endelea kuhangaika na huyo Slaa.

Tiba

Wewe usiseme zetu, sema yako... Naona huwajui vzr Watz... Utaja pigwa butwaa na hutaamin matokeo..
 
Anahangaika huyu mzee kweli ukila cha mtu lazima ulipe na nafikiri sasa hivi anajuta kwa nini alikubali maana anatimikishwa tu kama robot
 
Ndugu Watanzania...!

Dr Wilbrod Peter Slaa, ataendelea na harakati zake za kupambana na ufisadi na mafisadi kwa kuzungumza moja kwa moja na watanzania kupitia kituo cha televisheni cha Azam Tv, kesho siku ya jumapili saa tatu asubuhi katika kipindi cha FUNGUKA na kisha kurudiwa tena kesho hiyo hiyo saa moja jioni.

Dhamira yetu katika mapambano dhidi ya wezi, wala rushwa na mafisadi inazidi hofu juu ya UHAI wetu na inazidi tamaa ya raha na utajiri wa kidunia.

Tunatimiza wito wa MUNGU katika kuwatetea na kuwasemea wanyonge wa nchi hii, tumedhamiria kuisimamia kweli na ni KWELI pekee ndio tunayoisimamia.

Sambaza ujumbe huu kwa kila Mzalendo wa nchi hii.

Usikose kuangalia kipindi cha FUNGUKA kesho kupitia AZAM TV.[/

MWENZENU NASHANGAA SANA WANASIASA WA BONGO HIVI KAMA MWENYE DHAMBI AKIKIMBILIA KWA PADRI .PADRI AMKIMBIE MUUMINI HUYO KISA ANA DHAMMBI .? Nimeamini NA KUJIFUNZA KITU WANASIASA MASKINI HAWAFAI KWA GENERATION YA SASA MAANA NASHINDWA KUITAMBUA PhD ya mzee INAMSAIDIAJE KUCHANGANUA CHANGAMOTO ZA KILA SIKU KATIKA ULIMWENGU WA SIASA
SIJAWAHI DHANI KAMA MTU HUYU ANAWEZA KUJA KUTUMIKIA CHUO CHA WEZI KWELI AJIRA TANZANIA NI SHIDA KUBWA MOLA TUPE JICHO LA TATU
 
tatizo wanampatia maswari anajiandaa nayo then anakuja kutujibu...pia atafutwe MTU was pili wa kua wanaulizana papo kwa papo...
 
Wewe usiseme zetu, sema yako... Naona huwajui vzr Watz... Utaja pigwa butwaa na hutaamin matokeo..

Kwa mbinu za kuiba kura sawa, lakini huko nako tumejipanga vizuri, mara hii tutakaba mpaka penalti. Watanzania wa leo sio mazuzu tena wa kuendelea kulishwa ahadi hewa. Tumejipanga kuikataa CCM, period.

Tiba
 
Sorry kama nikieleweka vibaya...huyu mzee namheshimu sana ila anochafanya sasa si faida kwa watanzania..hakuna anachokipigania hapo zaidi ya kutimiza mkataba wake na waliomtuma kufanya anavyofanya. kuzunga vyombo vyote hivyo vya habari ni kutafuta coverage-Moja ya mashart yawaliomtuma. Shame on him....

Anafanya hivyo kwa faida ya nani? Anamtetea nani na iliiweje? Hawezi kuwa rais...siasa kaacha...hana chama.....yote hayo anatafuta nini?

Swali ni je, anasema uongo?? Na je kuna kauli yoyote aliyoibadiri tangu alipoanza kufumua ufisadi wa FISADI mamvi?? We kama unaona hakusaidii kaa kimya na uache wengine nikiwamo mimi tupate elimu vyema juu ya huyo FISADI mamvi... Usidhani kuwa sote tuko ktk kundi la "waliotajwa na Rais mstaafu"
 
mpaka dawa iwaingie kwenye mifupa.

Tatizo ccm bado mnafikiri mna deal na watanzania wa uchaguzi wa 2005, kosa kubwa sana. Mgejua ni kwanini safari hii makundi ya vijana yameamua kujiandikisha kupiga kura msinge hangaika kumtembeza Slaa kwenye vituo vya luninga. Alicho kiongea Serena Hotel watu walimsikiliza kisha wakasema sawa, kaa pembeni sisi tunasonga mbele.
Kifupi watu wameichoka ccm kupita maelezo hata hiyo oct 25 wanaiona ipo mbali kwelikweli.
 
Ni lazima Dr Slaa ahojiwe sana. Ni kiongozi kipenzi nambari wani wa Watanzania wanaochukia rushwa.

Mimi napenda sana watu wenye msimamo. Slaa is the embodiment of that kind of integrity.
 
Tatizo ccm bado mnafikiri mna deal na watanzania wa uchaguzi wa 2005, kosa kubwa sana. Mgejua ni kwanini safari hii makundi ya vijana yameamua kujiandikisha kupiga kura msinge hangaika kumtembeza Slaa kwenye vituo vya luninga. Alicho kiongea Serena Hotel watu walimsikiliza kisha wakasema sawa, kaa pembeni sisi tunasonga mbele.
Kifupi watu wameichoka ccm kupita maelezo hata hiyo oct 25 wanaiona ipo mbali kwelikweli.

Waliolala usiwaamshe... Old tricks mwaka huu zimefulia
 
CCM mko busy kunadi mahojiano ya Dr. Slaa kwenye TV badala ya kumnadi mgombea wenu. Kwa taarifa yenu Dr. Slaa hana impact yoyote kwa kura za Lowassa. Tumeisha amua mabadiliko ni lazima na kura zetu kwa kwa Lowassa ziko pale pale. Nyie endelea kuhangaika na huyo Slaa.

Tiba

Leo nilipita Posta Dar, ee bhana vijana wanakuambia siyo Lowasa tu, hata likiwekwa jiwe watalipigia jiwe ili mradi ni Jiwe la UKAWA. Hivyo Dr Slaa hawezi narudia hawez kubadili msimamo wa Watanzania. Hata alie mavhozi na kutoa kinyesi Watanzania wapenda mabadiliko wako tayari kwa mabadiliko!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom