Dr Slaa katika mkakati Maalum wa kuing'oa CCM madarakani

Dr Slaa katika mkakati Maalum wa kuing'oa CCM madarakani

slaa1.jpg

Mr. President. LOL!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu chama,
Pro-Chadema JF baada ya kushindwa hoja wameamua kuja na vitisho vya kuuwa. Wanataka kila mtu awe mateka wa Chadema. Mitume wa Mungu wenyewe walikuwa wanapigwa sembuse Chadema. Kwa akili yake ya virobo anadhani kajificha.
Mkuu Ritz,huo ndio mkakati wao na imeshakuwa agenda ya moja katika vikao vyao kuwadhibiti wapinzani wao kwenye mitandao.Rejea tuhuma ya Mwigulu Nchemba.
 
Naona pro-magamba wamebaki wawili tu. Wengine wote akina Jeykey et al wameingia mitini. Na bado!
 
Last edited by a moderator:
Yeyote anaeikosoa CHADEMA kwa hoja na kupinga propaganda zao anaitwa msaliti na anawatukana viongozi wao mitume.Hii ni hatari kwa ustawi wa demokrasia.
 
Mungu wa Mbinguni awape hekima na Busara na ulinzi wa Ki Mungu juu yenu ili maamuzi sahihi ya kimkakati ya kuimarisha Chama na kuiondoa CCM ifanikiwe na sisi Watanzania wapenda Mabadiliko tuko tayari kuitekeleza.

AMINA
 
Tutajie basi hao wajumbe sekretarieti naanza wa kwanza wengine malizia
1. Mzee Mtei
2.
3.


Malizia wengine; vipi utakwenda kusaidia kubeba mikoba?

Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz

Mkuu chama,
Naona mkutano unakwenda kufanyikia nyumbani. Kina Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi, marufuku kufika.

Kuna siku nimecheka Mwita Maranya, anajisifia humu JF kuwa chama kinamtambua na ana nafasi kubwa ndani ya chama nikamwambia labda kubeba mikoba ya Dr.Slaa na Mbowe.

Wenye chama ni watu wa kaskazini.
 
Last edited by a moderator:
Yeyote anaeikosoa CDM kwa hoja na kupinga propaganda zao anaitwa msaliti na anawatukana viongozi wao mitume.Hii ni hatari kwa ustawi wa demokrasia.

CCM bwana kwahyo nyie ndo mnastawisha demokrasia? Vp mbona hamtaki tume huru ya uchaguzi? Mbona mnachakachua kura? Mbona mnanunua kadi za wapga kura maskn? Haya kachukue ujira wako maana Dr anawatesa sn mnataman afe kabla ya 2015 wazandiki wakubwa nyie.
 
Hakuna kikao chochote cha maana huko zaidi ya mikakati ya kupiga pesa tu. Ni ulaji wa kutengenezeana tu kikao kinaenda fanyikia Moshi kwenye hoteli ya Mbowe Aichi Machame ina maana kote nchini wamekosa hoteli ya kufanyia kikao chao zaidi ya hotelini kwa Mbowe ambako nakumbuka hata mwaka jana walifanyia kikao hukohuko. Ni ulaji na ukanda tu hakuna jipya huko.
 
Mkuu Kichuli (nimesikia ni Kitoweo)

Hivi elimu yako ni ya darasa la ngapi?

Mkubwa hawa watu wanaoishabikia chadema sijui hawana akili kweli chadema ipewe nchi fujo zote zinafanyika kwenye majimbo yanayo ongozwa na chadema arusha mwanza iringa mbeya singida kote shida tupu afadhali tarime kumepoa maana nako ili kuwa ni shida tupu jamani kweli baado watu wanatoa macho kwamba chadema ndicho chama mbadala wa ccm kweli? Labda watachukua aridhi ya kulima na siyo nchi hii yenye maziwa na asali tuwapatie wachaga tena wacheza disco kama mbowe!!

1. Watu wanaoishabikia CHADEMA ni watu werevu, wema, wenye hekima na wanaoitakia mema nchi hii. Hawa ni watu wa aina yote katika jamii.

2. Naona umeonyesha chuki zako za wazi kwa wachaga na Mh. Mbowe. Hivi baba yake Mbowe, alipokuwa anagombea uhuru na Nyerere au Mzee Mtei alipokuwa Gavana wa Benki au Waziri wa Fedha, mbona babu na baba zenu hawakuwapinga kwa kuwa ni wachaga?

3. Halafu uache uongo. Mauaji yaliyotokea yalisababishwa na CHADEMA? Wao ndiyo wana bunduki? Wao wana mabomu?
Unajua Kata ya Ndago, au Nyololo au Morogoro Mjini zinaongozwa na wabunge wa Chama gani?

4. Unatafuta kupewa maneno makali, halafu uanze kulia lia na Mods. Bahati mbaya kwako, hakuwa mods wenye hekima kama wa hapa JF.

Hakuna watu wabaya kamaviongozi wa chadema wakiongozwa na mbowe na slaa wauaji wakubwa walimuwa chacha wangwe regia mtema wakamkosakosa zitto kwa sababu ya uongozi wamefukuza vijana kwa sababu ya kuhoji kadi ya babu yenu hivi kweli kama slaa ni mzalendo wa kweli wa chadema kadi ya ccm anaifanyia nini hivi mtu akitubu dhambia akasamehewa makosa yake kama alikuwa mchawi ataendelea kutunza madawa kwamba ni kumbukumbu kwamba alikuwa ni mchawi? Nipeni jibu nyinyi vidamba wa slaa.
1. Umetoa shutuma nzito za mauaji. Unaweza ukazitibitisha? Mods - huyu hasidi athibitishe, la sivyo 'ale ban instantly'

2. Suala la kadi mbili ni singo ambayo imechuja; tena kwa muda mfupi sasa. Hakukuwa na kosa lolote, kimsingi na kimantiki, kwa Dkt Wilbrod Peter Slaa, kuwa na uanachama wa TYL, TANU, CCM na kuachana na CCM 1995 na kujiunga na Chadema. Pole sana.

3. Muhimu zaidi, umeshajionyesha dhahiri kuwa unamtumikia nani, that is, kwa kuwashambulia Dkt Slaa na Mh Mbowe na kumsifia Mh Zitto Kabwe.

4. Kwa namna ulivyokesha humu na kuandika pumba za level hii, nachelea kuwa hapa si Jukwaa stahili kwako. Rudi kule FB kwenye mipasho, utuache sisi GTs hapa panapotustahili.


Cc Mwita Maranya, Molemo
 
Last edited by a moderator:
Yeyote anaeikosoa CDM kwa hoja na kupinga propaganda zao anaitwa msaliti na anawatukana viongozi wao mitume.Hii ni hatari kwa ustawi wa demokrasia.

Mkuu Mingoi,
Kuna Pro-Chadema anaitwa MNG, kamtishia Mkuu chama, atamuua kwa kuipinga Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Dr slaa ndiye tatizo chadema maana hashauriki kila kitu anajifanya anajua ndio maana kila anayempinga anaonekana ni adui wa chadema hivyo basi anayetegemea kwamba slaa atapata urais anaota ndoto ya mchana bila kulala usingizi na msimpo muangaria slaa atakiua chadema huku mnangojea kwenda ikuru.
Right now Tanzanians'requrements is good life and not hardship we are facing.To achieve this we need a Dectator with good vision.And this man is Dr Slaa.
 
Mkuu wangu Molemo,
Uchaguzi Mkuu bado maiaka miwili tu. Hivi hawa vijana wenu wa Bavicha wanaweza kulinda kura za Chadema kwa jinsi walivyokuwa na njaa ambao inaonekana wazi kwenye mfuko ws plasitiki.
Tunaamini 2015 CCM,wataachana na tabia yao ya wizi wa kura!
 
building capacity -- safi sana, we all ready for the move 2015.
 
Kama Kagame na Mseveni wamefanikiwa kubadilisha nchi zao kwa misimamo yao. Basi na sisi Dr Slaa ndo anayetufaa siyo mtu wa kuchekacheka tu na kupigiwa vigelegele kama tuko kwenye ngoma. We need serious man to get Tanzania where we belong. Hao wanaoshauriwa ambao wapetufanya tuwe masikini hivi kwa miaka 50 wametusaidia nini. Labda kama akili na upeo wako ni kama Chris Lukosi unaweza kusema tumeendelea
kwani tanzania ni maskini kuliko uganda?hivi kagame na museven ni waumini wa demokrasia?
 
Mkuu wangu Molemo,
Uchaguzi Mkuu bado maiaka miwili tu. Hivi hawa vijana wenu wa Bavicha wanaweza kulinda kura za Chadema kwa jinsi walivyokuwa na njaa ambayo inaonekana wazi kwenye mfuko ws plasitiki.......

Mkianza kuwahonga visenti vyenu tunawawekea huko na akina Ben Saanane kiboko yenu,
na madeal yenu yanabumbuluka" Mtaisoma "
 
Mkuu Molemo
Unafurahisha sana mikakati ya kuing`oa CCM inafanyika Moshi? Hapa ungesema mikakati ya kuwang`oa wanachadema ukanda mwingine ungeeleweka zaidi; vipi Zitto naye kaalikwa? Mwambie babu atang`oka yeye CCM maneno mengine!

Chama
Gongo la mboto DSM
mpaka kikao hicho kinaisha hapo moshi kuna wana chadema wanaoweza kutolewa kafara.maskini chadema!
 
pata picha lema kawa waziri>>>>>>halafu rudi nyuma kidogo fikiria fujo zilizokuwa zikitokea Arusha kabla hajaenda jela. Jiji limewashinda itakuwa nchi

Jiandaeni mahali mlipofikia kwa ufisadi nyinyi mnahitaji kuongozwa na viongozi wenye msimamo
wa ukichaa ili akili zenu ziwe sawa.
 
Dr slaa ndiye tatizo chadema maana hashauriki kila kitu anajifanya anajua ndio maana kila anayempinga anaonekana ni adui wa chadema hivyo basi anayetegemea kwamba slaa atapata urais anaota ndoto ya mchana bila kulala usingizi na msimpo muangalia Slaa atakiua chadema huku mnangojea kwenda ikulu.

Strategically, Sekretarieti y a CHADEMA chini ya Dr. Slaa ipo far beyond other political parties including magamba in terms of preparing Tanzanians to accept political,economical and social changes. Kila kheri CHADEMA,
 
Back
Top Bottom