Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa anaiongoza Sekretariati yake katika vikao maalum vinavyofanyika mkoani Kilimanjaro.
Akihojiwa na Tanzania Daima Dr Slaa amesema lengo la vikao hivyo muhimu ni kukiandaa chama chake kuchukua dola mwaka 2015.
Pia Dr Slaa amesema chama chake kinajadili mkakati maalum wa miaka mitano wa CHADEMA. Mkakati ambao umeanza mwaka 2011 na utamalizika 2016.
Dr Slaa amesema wanaohudhuria vikao hivyo ni wajumbe wote wa Sekretariati pamoja na baadhi ya wabunge wenye nyadhifa maalum.
Kikatiba Dr Slaa ndiye Mwenyekiti wa vikao vyote vya Sekretariati.
Source:Tanzania Daima.