Dr. Slaa Kashamaliza bado sisi...

Dr. Slaa Kashamaliza bado sisi...

ww ****** kweli, unawaza ngono tu, nothing in ur brain like the one you support,
au ulikuwa na dada yako anatafuta mume ulitaka Dr. Slaa amuoe? shiit, pig ww, watu wanongelea maendeleo, ww unaongelea NGONO, prostitute
taratibu mkuu,hapa jf ni jukwaa la waungwana,wewe unaporomosha mitusi namna hii??
 
Wapendwa ndugu WanaJF!
Kwanza poleni na majukumu popote mlipo.
Nafikiri sasa umefika mda tusome alama za nyakati na tuact kama intellectual wa kitanzania. Kutokana na research niliyoifanya kwa miezi minne sasa nimegundua kuwa watanzania wengi kama vile wasomi, wafanyakazi sekta binafisi na serikalini, wanafunzi wa sekondari na vyuo vikuu na watanzania wote wengineo wote wenye upeo wa juu bila kujali tofauti za kidini, kijinsia, kielimu, umri kabila na eneo la kuzaliwa wanatambua kuwa Jakaya Mrisho Kikwete sio mtu amabaye anatoa uongozi wa maana kwa nchi yetu badala yake yuko pale kulinda maslahi yake na familia yake, rafiki zake (mafisadi) na kutafuta sifa tu. Na wanatambua kuwa mtanzania pekee kwa sasa anayeweza kuwaunganisha na kusababisha umoja mshikamanao na man[endeleo kwa wantanzani wote ni DR. WILBROAD SLAA tu, japokuwa wapo wengi tu ila hawajitokeza isipokuwa Slaa (PhD).

Wito wangu kwa wanaJF:
tujitokeze na sio kubaki nyuma ya pazia la jf tukinadi sera kificho bali tutoke hapa tuwe live na kuwaongoza wote kudai mabadiliko nakutoa mawazo ya direct kusapoti na kushauri kwa Dr. Slaa.

MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARKI TANZANIA.
ha ha ha ha ajikomboe na uzinzi kwanza mtu hata mke hana atatuongoza vipi,,,,chuki binafsi kwa JK ZITAWAUA WENGI KWA BP MWAKA HUU
 
Kikwete achievements;

Uchumi unakuwa 6.9%

Inflation down 5.5%

Credti facilities imeongezeka

Budget tunajitegemea zaidi ya 67.%

Freedom of expression

Revenue increased to 22.Bl per mnth

Political stability

FDI and investment up


Hivi mchungaji aliwai ku-achieve nini ?

Uchungaji umemshinda
Ukatibu wa wakotiliki katimliwa
Wana CCM walimfukuza

Mchungaji Slaa ni mtaalam wa nini ????

Something is terribly wrong! where did you get your dodgy datas??
 
Something is terribly wrong! where did you get your dodgy datas??



We lete data ambazo zitapinga kwamba chini ya kikwete uchumi wetu hauja kuwa na inflation imeshuka na pia bajeti tegemezi imepungua, hizi data ziko all over the reputable economy institutions
 
**** kunogile Kesi ya Dowans itakapulipwa tuu na matokeoa ya Katiba Mpya Bungeni ndio kutakua patamu hakuna mfano wake viziki vya dhuluma kung'ooka vyenyewe.
 
We lete data ambazo zitapinga kwamba chini ya kikwete uchumi wetu hauja kuwa na inflation imeshuka na pia bajeti tegemezi imepungua, hizi data ziko all over the reputable economy institutions



e.g??
 
We lete data ambazo zitapinga kwamba chini ya kikwete uchumi wetu hauja kuwa na inflation imeshuka na pia bajeti tegemezi imepungua, hizi data ziko all over the reputable economy institutions

Bull check this out! to get a clue!

Tanzania faces new debt crisis ...AS NATIONAL DEBT SOARS TO MORE THAN $10 BILLION

By ThisDay Reporter

25th October 2010
TANZANIA is facing a new debt crisis as budget crunches in rich countries are bringing cuts in aid spending, forcing the government to seek loans to meet budget deficits.

During the year ending July 2010, the national debt stock soared by more than $1.185 billion to a staggering $10.1 billion, according to Bank of Tanzania figures.

At the end of December 2006, the country's national debt stood at around $7 billion.

This means that the national debt has increased by a whopping $3 billion since President Jakaya Kikwete's government came into office towards the end of 2005.

Analysts have warned that the nation's debt could balloon further in the coming years, following a decision by development partners to cut aid to poor countries, including Tanzania.

The government's current budget reflects a reduction in foreign aid from $840 million in 2009/10 to $534m this year, a figure that still represents 25 percent of the country's projected takings.

Experts say an overall cut in bilateral aid is only one worrying aspect of Africa's financing equation, according to a Reuters report.

Just as alarming is the potential for donors to inflate their aid figures by switching assistance from grants, which are in effect a gift, to concessionary loans, which have to be repaid, albeit at cheap rates.

"You've got the double whammy of African countries struggling because of the crisis, and then donors potentially switching more to loans than to grants," said Daniel Coppard, an aid analyst at Britain's Development Initiatives in an interview with Reuters.

The implications of such a switch by other donors would be dire, burying many African states under the same mountain of obligations that triggered the 2005 Heavily Indebted Poor Countries debt forgiveness initiative of the IMF and World Bank.

For example, if all its overseas grants became loans tomorrow, Tanzania would be running a budget deficit of a staggering 25 percent of gross domestic product (GDP).

The signs that donors' austere response to their own financial problems may end up exacerbating Africa's are already there.

According to a study by the International Monetary Fund (IMF), total public debt for low-income countries like Tanzania rose to 35 percent of GDP in 2010 from 30 percent in 2008.

The government has already shown a growing appetite for borrowing following the decision of donor countries to cut aid.

The government announced earlier this year it had revived plans to issue its first eurobond, worth $500 million to raise funds for infrastructure projects.

The Bank of Tanzania has also been borrowing more money from the private sector by issuing government securities.

A recent analysis by Dar es Salaam based civil society organization, Uwazi, shows that at present for every 1 shilling it collects as tax revenue, the Tanzanian government spends 1.9 shillings.

The difference between the two is borrowed money and foreign budgetary grants.

"If Tanzania's existing debt was apportioned equally to every living Tanzanian, each Tanzanian owes lenders 332,000 shillings in public debt," says part of the report.

"Of this, 264,354 shillings (80%) is owed to foreign lenders. With the borrowing planned in 2010/11, each Tanzanian will add 54,300 shillings to their debt obligation.
 
Wewe ni ***** wala husaidiki wewe!huna tofauti na msichana ambaye anampenda mwanaume kisa tu anavutia kisura basi anataka aolewe naye huku kuna mwanaume ambaye anamfuata huyu binti na anataka kumwoa binti anamkataa kisa yule handsome tu bila kuangalia vigezo vingine.Anaolewa na huyo handsome na baada ya miezi mitano maisha yanakuwa magumu na binti anakimbia.Wewe acha kuzunguka mbuyu sema tu kama una maslahi binafsi au umetumwa kupiga debe.
 
Dr Slaa huyu ambae hata maisha yake binafsi anashindwa kujisimamia ndio atuunganishe watanzania? Umri alio nao wa miaka 60 bado hajaoa ana hawala ila anamwita mchumba! Padre huyu ameleta aibu kwa kutuvunjia hadhi sisi wakatoliki kwa kuwarubuni viongozi wa kanisa letu! Mungu tuepushie huyu Mzinzi asije iangamiza Tanzania!

huyo wa kwako ana umri gani? ana wake wangapi? kila kona ya dunia kuna wife. na ndo maana akijisikia tu ni trip marekani, uingereza na tena kwa gharama zako wee mwenzangu na mie. ngoja na gesi ifike hata laki tuwaone mtaishije na uzuzu wa kupenda watu kwa dini zao hata kama hawana uwezo yawaishe.
 
kikwete achievements;

uchumi unakuwa 6.9%

inflation down 5.5%

credti facilities imeongezeka

budget tunajitegemea zaidi ya 67.%

freedom of expression

revenue increased to 22.bl per mnth

political stability

fdi and investment up


hivi mchungaji aliwai ku-achieve nini ?

uchungaji umemshinda
ukatibu wa wakotiliki katimliwa
wana ccm walimfukuza

mchungaji slaa ni mtaalam wa nini ????

udini ni tatizo. Naamini oajua haya malalamiko ya watu yanaukweli. Hizo data zote ulizotoa ni za uongo. Za kutengeneza kwenye computer kwani haziendani na hali halisi na hazina ukweli. Wadanganyeni vijijini msoga na siyo jf. Nyie mnasukumwa na udini zaidi na sisi tunasukumwa na reality na ndo maana term ya kwanza huyu bwana alipata asilimia themanini na support kubwa but alivyoanza kuchemsha then watu wakweli hawatakuwa nae. Ila nyie hamkatazwi kuwa nae na ndiyo demokrasia. Ila udini wekeni pembeni na mtafute vigezo vingine kwani siku ikifika ni shida kwa wote. Au ndo zile silaha zilikamatwa loliondo kwa mwarabu zikiwa handakini zilikuwa kwa ajiri yenu na ndo maana kiburi kinawafika? Maana hata kaka yenu hakosagi huko. Nahisi mna ajenda ya siri nyie watu.
 
Dr Slaa huyu ambae hata maisha yake binafsi anashindwa kujisimamia ndio atuunganishe watanzania? Umri alio nao wa miaka 60 bado hajaoa ana hawala ila anamwita mchumba! Padre huyu ameleta aibu kwa kutuvunjia hadhi sisi wakatoliki kwa kuwarubuni viongozi wa kanisa letu! Mungu tuepushie huyu Mzinzi asije iangamiza Tanzania!
Hao viongozi waliooa wametufikisha wapi tangu uhuru . Dr ana upeo na ndio tunaohuitaji sio mahusiano yake ya kijamii. Ian Khama wa Botswana hajaoa na ni kiongozi mzuri kwa wananchi wake kuliko yeyote Afrika ya Mashariki na kati.
 
ww ****** kweli, unawaza ngono tu, nothing in ur brain like the one you support,
au ulikuwa na dada yako anatafuta mume ulitaka Dr. Slaa amuoe? shiit, pig ww, watu wanongelea maendeleo, ww unaongelea NGONO, prostitute

This is a misuse of the forum. hata Dr. Slaa one day was on line akashauri tuitumie kwa busara! Matusi ya nini? mshinde kwa hoja tu. Mr. Che Guevara we understand you love to Dr. Slaa lakini Matusi ya rangi hiyo haya saidii. keep cool and be yourself!
 
Dr Slaa huyu ambae hata maisha yake binafsi anashindwa kujisimamia ndio atuunganishe watanzania? Umri alio nao wa miaka 60 bado hajaoa ana hawala ila anamwita mchumba! Padre huyu ameleta aibu kwa kutuvunjia hadhi sisi wakatoliki kwa kuwarubuni viongozi wa kanisa letu! Mungu tuepushie huyu Mzinzi asije iangamiza Tanzania!

Acha hizo mkubwa, sisi tunachotaka ni maisha bora hatujali kama kaoa au hajaoa au ana mchumba! Mbona raisi wa Botswana hana mke, ona Berlusconi wa Italy, kwanza maisha bora, hayo ya mchúmba ya kwake!
 
Kikwete achievements;

Uchumi unakuwa 6.9%

Inflation down 5.5%

Credti facilities imeongezeka

Budget tunajitegemea zaidi ya 67.%

Freedom of expression

Revenue increased to 22.Bl per mnth

Political stability

FDI and investment up


Hivi mchungaji aliwai ku-achieve nini ?

Uchungaji umemshinda
Ukatibu wa wakotiliki katimliwa
Wana CCM walimfukuza

Mchungaji Slaa ni mtaalam wa nini ????

Bull....t
 
nashauri jamani watu wenye mawazo mgando wanapoleta utumbo tusijibu watakata tamaa. kweli tuwaunge mkono akina dr slaa, sitta, mwakyembe na wengine. taifa ni letu sote kama mtu ana nia njema na taifa tumpe moyo
 
Ukitazama post zote kwa umakini utagundua kuwa uchaguzi mkuu wa 2010 umeiacha nchi katika mparaganyiko mkubwa, katika sura na makundi tofautitofauti. Ari ya kujiletea maedeleo kama taifa moja imepungua sana, upendo miongoni mwetu umepoa sana. Hali ya amani na utulivu imevia mno, nuru ya matumaini inafifia, ishara ya kutoweka kwa uzalendo i wazi sasa. Uhai wa taifa uko mashakani. Kwa hiyo basi awe mimi, wewe, Dr. Kikwete, Dr.Slaa, CCM,CUF,CDM...tuzisome alama za nyakati kwa umakini sana. Vurugu haziko mbali. Mungu tuepushe na hili.
 
Dr Slaa huyu ambae hata maisha yake binafsi anashindwa kujisimamia ndio atuunganishe watanzania? Umri alio nao wa miaka 60 bado hajaoa ana hawala ila anamwita mchumba! Padre huyu ameleta aibu kwa kutuvunjia hadhi sisi wakatoliki kwa kuwarubuni viongozi wa kanisa letu! Mungu tuepushie huyu Mzinzi asije iangamiza Tanzania!
Aiseeeeeeee,halafu ndo kawa Balozi
 
Back
Top Bottom