Dr. Slaa Kashamaliza bado sisi...................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa Kashamaliza bado sisi......................

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Xuma, Jan 15, 2011.

 1. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wapendwa ndugu WanaJF!
  Kwanza poleni na majukumu popote mlipo.
  Nafikiri sasa umefika mda tusome alama za nyakati na tuact kama intellectual wa kitanzania. Kutokana na research niliyoifanya kwa miezi minne sasa nimegundua kuwa watanzania wengi kama vile wasomi, wafanyakazi sekta binafisi na serikalini, wanafunzi wa sekondari na vyuo vikuu na watanzania wote wengineo wote wenye upeo wa juu bila kujali tofauti za kidini, kijinsia, kielimu, umri kabila na eneo la kuzaliwa wanatambua kuwa Jakaya Mrisho Kikwete sio mtu amabaye anatoa uongozi wa maana kwa nchi yetu badala yake yuko pale kulinda maslahi yake na familia yake, rafiki zake (mafisadi) na kutafuta sifa tu. Na wanatambua kuwa mtanzania pekee kwa sasa anayeweza kuwaunganisha na kusababisha umoja mshikamanao na man[endeleo kwa wantanzani wote ni DR. WILBROAD SLAA tu, japokuwa wapo wengi tu ila hawajitokeza isipokuwa Slaa (PhD).

  Wito wangu kwa wanaJF:
  tujitokeze na sio kubaki nyuma ya pazia la jf tukinadi sera kificho bali tutoke hapa tuwe live na kuwaongoza wote kudai mabadiliko nakutoa mawazo ya direct kusapoti na kushauri kwa Dr. Slaa.

  MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARKI TANZANIA.
   
 2. M

  Mnyagundu Senior Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa huyu ambae hata maisha yake binafsi anashindwa kujisimamia ndio atuunganishe watanzania? Umri alio nao wa miaka 60 bado hajaoa ana hawala ila anamwita mchumba! Padre huyu ameleta aibu kwa kutuvunjia hadhi sisi wakatoliki kwa kuwarubuni viongozi wa kanisa letu! Mungu tuepushie huyu Mzinzi asije iangamiza Tanzania!
   
 3. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Yan kweli we boya,hv kuna kiongozi mzinzi na malaya kma kikwete??kuoa sio kigezo cha kutokua mzinzi,mkwele ni malaya wa kutupa sizan kma slaa anamfikia hta japo kwa nukta
   
 4. Innobwoy

  Innobwoy JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 980
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 60
  Mnyangudu,hivi tukisema tutumie hili jukwaa kwa kutoa maisha binafsi ya serikali ya kikwete tutafika??mbona unaleta udini??ukweli ni kwamba huu ni mda wa mabadiriko bila kujali dini, kabila wala rangi...tafakari chukua hatua,cheki Tunisia ndo utaelewa nini kitatokea Tanzania mda si mrefu.
   
 5. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ww ****** kweli, unawaza ngono tu, nothing in ur brain like the one you support,
  au ulikuwa na dada yako anatafuta mume ulitaka Dr. Slaa amuoe? shiit, pig ww, watu wanongelea maendeleo, ww unaongelea NGONO, prostitute
   
 6. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo unalia kwa sababu hajaoa au kwa sababu hajakuchumbia wewe?
   
 7. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Watu wanazungumzia uongozi wa nchi wewe uzungumzia uchi na chupi! una akili timamu? soma vizuri mawazo ya mwenzako halafu uchangie kadiri ya muktadha siyo unakurupuka tu. Isije siku nyingine watu wakualike kwenda kwenye msiba wewe ukajiandaa kwa sherehe.
   
 8. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Achaneni na huyo mpuuzi asitupotezee focus ya maada yetu
   
 9. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  asanteeeee
   
 10. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli watu wengi hatuelewi kabisa. Serilikali ya kikwete inatupeleka wapi? Kuongelea masuala ya mtu binafsi badala ya kutoa mawazo ya jinsi gani tutatoka na janga hili tulilonalo ni sawa na kuwa na mawazo ya nguruwe tu ambaye hajui siku ya kesho itakuwaje.
   
 11. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hajui atendalo huyo msameheni.................
   
 12. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mada nzuri,let us unity and support Slaa,,,time for changes,,,let us be part of changes,,,,
   
 13. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Tukianza kuchuja sifa za Watu kutokana na kigezo cha namna watumiavyo nyuchi zao sioni wa kubaki akiongoza serikali ya Tanzania.
  Ndugu yangu tafuta kigezo kingine. Viongozi wa CCM wameoza wananuka katika masula ya ngono japo wameoa na wengine wana mke zaidi ya mmoja. Hata ile Ze utamu ilifutwa baada ya kuanza kuigusa Ikulu.
  Kuna mawaziri na Hawalali na wake zao kitanda kimoja ndoa zao ni boya. Kuna akina makamba wano tumia dhakari zao kama silaka ya kemikali. Hata Prez Kikwete mwenyewe hajui kuchomekea macho mbele ya totoz pamoja na tetesi kwamba ana miwaya inamsumbua kwa sana.
  Uzuri wa viongozi wa CCM ni sura tu viunoni wameoza wananuka.
   
 14. V

  Victor malisa Member

  #14
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hahaaa,hapo kweli kabsa kuhusu wakubwa wa SISIEMU
   
 15. czar

  czar JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ama! sasa mbona Mnyagundu umenyamaza? Jibu hoja za watu usikimbie kama coward. Au ulikuwa unatest zali nn, umeona moto unawaka ukasepa.JF chibooko.
   
 16. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,859
  Trophy Points: 280
  Madela wa Madilu, mkuu hapo umepiga kwa silaha za maangamizi. Hawa wadwanzi hayo ndio majibu yanayowafaa. Usipotee sana mkuu jamvini, maana wako wengi wa aina hii na hawapati majibu yanayowastahili.
   
 17. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kafie mbali na hoja zako mfilisi na kaa kiando na Dr. Kuunganisha watanzania haina maana au lazima na wewe lazima uwepo. Kila familia ina vichaa wake wasiokubaliana na kila kitu kwenye familia. Wewe kama hukubaliani na Dr. wako wanaokubaliana naye. Na wengi wanaokubaliana naye huwezi kuwashawishi ndiyo democrasia.

  Kinachonisikitisha juu ya mchango wako ni kuwa umejikita kwenye ambacho wewe unaona ni udhaifu wa Dr. Mbaya zaidi unajipachika ukatoliki kuwa wewe ni zaidi ya Pope kuamua Mambo ya kikatoliki yanayomhusu Dr. Slaa.

  Be bold weka dukuduku lako la kweli hadharani unaweza ukapata msaada mzuri wa mawazo ya kukiusaidia jamvini.
   
 18. B

  Bull JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwete achievements;

  Uchumi unakuwa 6.9%

  Inflation down 5.5%

  Credti facilities imeongezeka

  Budget tunajitegemea zaidi ya 67.%

  Freedom of expression

  Revenue increased to 22.Bl per mnth

  Political stability

  FDI and investment up


  Hivi mchungaji aliwai ku-achieve nini ?

  Uchungaji umemshinda
  Ukatibu wa wakotiliki katimliwa
  Wana CCM walimfukuza

  Mchungaji Slaa ni mtaalam wa nini ????
   
 19. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umelogwa wewe. Kwa heri...........:car:
   
 20. M

  Mwera JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tehtehtehteh! Kaaazi kwel kwel !
   
Loading...