Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Jiadhari=Jihadhari
Shida siyo ndoto ya urais, shida ni bado mchango wake katika taifa hili bado unahitajika sana.Mnamlinda DR duuu bado mnandoto za yeye kuwa raisi!?
Noted Mod atanisadia
Mnamlinda DR duuu bado mnandoto za yeye kuwa raisi!?
Najuwa wengi wameguswa na msiba huu Mungu aelaze mahali
pema Roho ya Regia Mtema.
Lakini yote kwa yote siasa mchezo mbaya sana hapa maadui wake
wasiomtakia Dr Slaa mafanikio ndo wanapata upenyo hata wa kusalimiana
naye. Kwa mfano mtu ataenda kumpa mkono wa pole huku amejikoki
Polonium110(ni mtazamo lakini)
Kwa mtazamo wangu hii ndo itakuwa furusa nzuri kwa magamba kupenyeza
mamluki katika msiba huu. Dr slaa kuwa makini na msiba huu
kwani ccm wanajali basi? they dont care ili muradi wewe upotee hivyo vinyamkera pembeni yako shauri yao.wana roho mbaya sana hawa jamaaYes, there could be a point; but, why mentioning Polonium of all the poisons?!, unajuwa kuwa polonium ni radio active hivyo mtu yeyote anayeisogelea at an degree ana-stand chances za madhara ya radioactive materials @differing degrees?!