Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
Na fursa za kisiasa pia mkuu au?
WE NI MBUMBUMBU SANA...
Hivi docta slaa ni mchaga?!
Acha umbumbumbu wewe. Kwani ile ccbrt ni ya kwake? We vipi unaanza kuugua tukuwahishe apolo!. Eti wachaga ndo wanatibiwa wengi mbona hata wakimbizi ni wengr mno wanaotibiwa ccbrt?. We kama huwajui wachaga nyamaza tu, hawa jamaa ni noma wamesoma sana kila idara wapo, jk mwenyewe alisema ukiona sehem mchaga hayupo hapafai kuishi, kama nchi yetu ingekuwa na watu wote kama wachaga tungekuwa mbali. Ebu waangalie 2 kwenye biashara utawajua, NDG YANGU ACHA UMBEA FANYA KAZI ACHANA NA WACHAGA WATAKUUMIZA KICHWA.
Huyu jamaa ni zaidi ya Mpuuzi. Anakuja na Uongo na Majungu yaliyotukuka. Juma lililopita nilikwenda na mzee wangu CCBRT ana tatizo la CATARACT. Tumelipia fast track TShs 70,000(elfu sabini tu) kwa ajili ya kufanyiwa CATARACT SURGERY. Sasa yeye hiyo figure kaipata wapi! Hata kama anatumiwa huenda hata masaburi yake si salama nayo yanatumika tu. Kwa hili ninalolijua nimeshaona amedanganya, je atakuwa amedanganya mangapi kwenye huo upuru wake aliyouweka hapo juu?Sidhani kama haya mapesa yanayotolewa na wafadhili huwa yanafika yote!! Ngoja Dr. Slaa aje atueleweshe!!
Tuhuma zozote,mazungumzo yoyote na fikra zozote zinasikilizwa.Ila sio zote ziko sawa na mzungumzaji hazuiwi kwa namna yoyote ile asiwasilishe katika vyombo vya kijamii.Nimepita katika group moja katika facebook nikakuta kuna post ambayo inazungumzia tuhuma za ufisadi uliofanywa na watu mbalimbali kutoka vyama vya upinzani akiwemo Dr Slaa..,si vibaya tuhuma hizi nikizileta hapa jamvini kwa kuwa Dr Slaa yupo na naamini wapo pia watu wenye uelewa katika haya yaliyozungumzwa wanaweza kuchangia ama kusaidia katika kukanusha ama kusahihisha ama kukiri tuhuma hizi..,
extracted from TANURI LA FIKRA
Kuchukua tuhuma za mwanachama na kuivesha tuhuma hiyo kwa chama ni makosa na hili linafanywa makusudi na wapinzani ili waendelee kichafua CCM.,haiwezekani ufisadi unasibishwe na CCM hali ya kuwa katika kila chama watu wa AINA hiyo wapo; Nikianza moja kwa moja na katibu mkuu na mgombea URAIS wa chadema Bwana WILBROD SLAA ambaye ni kiongozi mkuu wa taasisi ya CCBRT (katibu wa bodi ya wakurugenzi) ambayo inapatiwa ruzuku ya shilingi za kitanzania; 1,000,000,000/= kutoka kwa serikali kila mwaka kwa kuiendeleza taasisi hiyo kwa manufaa ya watanzania wote na taifa kwa ujumla na pia inapata misaada na harambee mbalimbali kutoka kwa watu binafsi na mashirika makubwa ndani na nje ya TANZANIA kama EUROPEAN UNION,IRISH AID, AUSTRARIAN GVT, AusAID, CBM, JOHNSON&JOHNSON nk, ili kuwaendeleza watanzania katika nyanja ya afya,.tofauti na malengo hayo taasisi hii chini ya Dr Slaa imekuwa ikitoa huduma za jamii kwa ubaguzi mkubwa na kukosekana kwa usawa; nitabainisha kama ifuatavyo;
a) Wagonjwa wanaotibiwa kwa mwaka wanakadiriwa kufika 1,080,000 katika hawa zaidi ya nusu ni kutoka katika mikoa ya kasikazini ikiongozwa na moshi na arusha.(branch ya CCBRT iko moshi)
b) Operesheni zilizofanywa kati ya mwaka 2003-2007 ni kama ifuatavyo.,macho 31,200 napo pia zaidi ya nusu ya wagonjwa walitoka maeneo hayo. Mimi sidhani kuwa moshi kuna watu wenye matatizo ya macho zaidi ya Dodoma, Singida na sehemu nyingine za tanzania ya kati.
c) Operesheni za orthopaedic&plastic surgery kati ya 2003-2007 ni 6,520 bado wagonjwa wengi walitokea kaskazini
d) Na waathirika waliokuwa wakihudumiwa na CCBRT kati ya 2003-2007 zaidi ya 60% ni kutoka mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (ripoti ya Tom Varnneste 24 jully 2008)
e) Taasisi hii pia inakadiriwa kuwa na waajiriwa 320 napo hapa ni uchaga, na ukaskazini umetawala, mchakato wa uajiri ukisaidiwa na Jacqueline Kweka(Advocacy Officer) uliona kuwa hakuna watu waliosoma na kustahili kufanya kazi CCBRT ila ni wachaga na watu wa kanda ya kaskazini. Katika utafiti uliosimamiwa na CCBRT, Radar development pamoja na DISABILITY AID ABROAD umeonyesha kuwa ni asilimia 0.7% ya waajiriwa ndio watu wenye ulemavu(CCBRT ikiwemo kwa kutoajiri walemavu ingawa ni taasisi ya kusimamia walemavu nchini)
f) Lakini kama hilo halitoshi gharama za matibabu ni za juu sana katika hospitali zilizo chini ya CCBRT, takwimu zipo; Gharama ya matibabu kwa CCBRT mtu binafsi anatakiwa kulipa kati ya dola 400-714 sawa na 600,000-1,071,000/= gharama hii ni kubwa ajabu kulingana na pato la kawaida la mtanzania na pia ni gharama ya juu hata kuzidi hospitali zingine hapa nchini ambazo hazipati msaada serikali wala mashirika makubwa ya nje na pia hazifanyiwi harambee kama CCBRT.,mfano CATARACT SURGERY HINDU MANDAL 400,000/=, AGA KHAN 315,000/= REGENCY 300,000/= MISSION MIKOCHENI 180,000 WAKATI CCBRT 680,000(Tom Venneste Appendix iii-nov 2008)
Pia CCBRT imekuwa haiko tayari kuwa wawazi juu ya kiasi cha mapato kinachochangiwa kutoka katika taasisi hizi kubwa duniani (dalili kubwa ya kuwepo ufisadi ndani yake)
Ama ukiacha hayo ambayo yanamgusa moja kwa moja Dr Slaa, pia kuna yanayowahusu viongozi wengine wa CHADEMA kama vile DIWANI WA KATA YA SERENGETI,MKOANI MARA KUKAMATWA AKIMILIKI AK47 KINYUME CHA SHERIA kiuhalisia huu pia ni ufisadi na hata yule MBUNGE WA CUF ALIYESHUTUMIWA KUINGIZA NCHINI MAGARI YA WIZI NA KISHA KUKWEPA KODI huu pia ni ufisadi ila inapotokea mambo kama haya yakifanywa na viongozi au wanachama wa CCM yatatangazwa vyombo vyote vya habari na pia suala hilo litabebeshwa kwa chama badala ya mtu binafsi.
Hii ni kweli kabisa... nakubaliana na wewe kwa 100%Chagga people are leading for nepotism and favouritism among African societies, study suggests. Famous research conducted and compiled by the late Zimbabwean professor Julius Mambubwa on 'the effects of nepotism to the economic growth of Africa' documented that 50 percent of the employed Chagga people have had their current jobs through the influence of their fellow Chagga relatives.
Additionally, it went on showing that in nearly each of the public office which is headed by a Chagga, 45 percent of the workers are coming from Chagga tribe apparently getting their employment after someone at the top had pulled strings for them.
..the work of the civil servants and people in the parastatal organizations does require education..it so happened that the Tanzanians who had the opportunity for higher education under the colonialists were mostly Wahaya, Wachagga, and Wanyakyusa. And because most of the education was provided by missionaries, most of these people are also Christians. That was our inheritance. These conditions will change, but they have not changed yet. And for these reasons, when we get rid of the Europeans who were doing responsible jobs, and give these jobs to Tanzanians, the people who get them come mostly from one or other of these three tribes.
Therefore, if you ask me why Wahaya, Wachagga, and Wanyakyusa have most of the jobs which require higher education, the answer is very obvious. They were the ones who received higher education during colonial times. Id say: investigate the position in politics where a man is not asked about his educational qualifications. Look at the Parliament, the National Executive and Central Committee of TANU, and at the Cabinet. How many Wanyakyusa, Wahaya, or Wachagga are members? You will find that perhaps there arent any, or there are one or two. This is the truth
.. if a Mchagga, a Mhaya, or a Mnyakyusa young man were refused work simply because of his tribe when he is capable and there is no other Tanzanian with the qualifications then we would be practising a very stupid and very evil kind of tribalism such as that which caused the establishment of Biafra. I beg you, my brothers, avoid ANYTHING WHICH COULD BRING OUR COUNTRY INTO THIS KIND OF DISGRACE
Kuna watu humu JF wanamwona Slaa kama mungu mtu!
Kuna mijitu humu JF inamwona Slaa kama LuciferKuna watu humu JF wanamwona Slaa kama mungu mtu!
Mbali na hilo la ungoni mimi ni kiongozi wa CCM nipo hapa Lumumba. Nilitaka kuwaonyesha kuwa pale CCBRT hakuna hilo la ukabila wala ukanda na pili hakuna hizo gharama kabisa.Sasa wewe MAPURENDE ni mngoni wa wapi? wangoni ninao wafahamu mimi wapo makini kwenye hoja. Hoja iliyotolewa hapa ni tuhuma sasa haya ya Nape na CCM unayatoa wapi. Usitupotoshe tunahitaji kuujua ukweli kuhusu hizo tuhuma.
Ana element za kichaga....anaendesha chama cha wachaga!!!Kumbe dokta Slaa ni mchaga? Ckuwa najua
he is a loser...hawezi nisumbuaha ha ha.. linakusumbua hilo..?
Lighter consisting of a thin piece of wood or cardboard tipped with combustible chemical; ignites with frictionKuna mijitu humu JF inamwona Slaa kama Lucifer