sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,057
- 722
Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.
Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.
Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.
Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.
Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.
Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.
Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?
Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
naipenda jamii forum sana wazo la kuchangiwa pia ni muhimu ndugu yangu chama now hakina katibu mkuu kwa sasa na mbowe kasimamisha mishahara yote:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Mbona mlipomhujumu kura zake za uraisi 2010 hukujitokeza kumtetea??
Wakati mnam persecute na kumfanyia kilema cha maisha hamkujua kwamba alikuwa anatetea misimamo ya kweli kwa manufaa ya taifa mliloliangamiza? Leo kipi kimetokea hadi mnaona Dr. Slaa ni mzuri sana na anatakiwa kuenziwwa kwa msimamo na mchango wake kwa ukombozi aw taifa? Ccm ni mapunguwani!.
Mnamuenzi vipi Dr. Slaa kwa anayoyaamini na kuyasimamia kama siyo unafiki?
Dr. Slaa anachukia sana unanafiki na ufisadi.
Mmefanya nini dhidi ya mafisadi yaliyokithiri ccm yanayoendelea kufasidi nchi kwa mifumo mbali mbali kuanzia Richmond, Epa, Meremeta, Kagoda, Dowans, Escrow, REA, Mtambo wa Gas, ujenzi wa mabarabara nk?
Dr. Slaa anaamini katika rasimu ya katiba ya Judge Warioba, mnamuenzi vipi katika hili kama kweli mnaukweli ndani yenu?
Dr. Slaa anaamini katika ukombozi kwa njia ya mabadiliko, mnaenzi vipi mabadiliko wanayoyata Watanzania zaidi ya kujiapiza kuongoza nchi kwa udictator na mauaji ya Watanzania wasio na hatia?
Kama unamasikio ya kusikia na macho ya kuona, bila shaka utakumbuka siku ulipozaliwa na siku utakapokufa na hivyo mara moja ninategemea utaanza kuwa binadamu.
Aje mwenyewe Dr. W. Slaa aseme mwenyewe sio kumsemea.
Hakuna haja yoyote ya kuitana ibilisi. Siasa sio chuki ndg.Hata wewe Iblisi, unaweza kusema hivyo. Kuna mbea zaidi yako, au umesahau ulivyo adhirishwa Na Dr Slaa juu ya umbea wako kumhusu yeye. Ama kweli wewe huna haya wala aibu. Stone face
Dr. Slaa kawasemea watanzania kwa muda mrefu, kwanini uone uzito kumsemea pale anapokuwa muhitaji?
Mkuu, kama unajali alichopigania Dr. Slaa stand up and do something about it...
Sometimes unapoandika jambo "USHIRIKISHE UBONGO".Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.
Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.
Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.
Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.
Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.
Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.
Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?
Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
Tusimsemee ya uzushi. Kwa sababu hajasema kama kafukuzwa au kaachia ngazi. Kaamua yeye mwenyewe kwa utashi wake kukaa kimya. Hivyo tumuache na maamuzi yake.
Unaonekana hujaelewa lengo la thread hii. Hatujadili matukio, lengo ni kuhamasisha watu wanaoamini kwenye uwezo wa Dr. Slaa kumpa nguvu ya kunyanyuka. Anyanyuke kwenda wapi? hilo litajibiwa na maarifa na ujuzi wake.
Slaa is defeated. Ameshakubali defeat. Hata hivyo lazima tujiulize, je waliomuunga mkono nao wamekubali defeat? Kama hawajakubali basi waonyeshe kwa vitendo kwa kumnyanyua Slaa aliyeangushwa.
Katika upinzani wa ukweli, mimi namwamini sana Dr Slaa.Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.
Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.
Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.
Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.
Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.
Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.
Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?
Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
Naona hausikii Dr.Slaa alishakukataza usimuhusishe na mambo ya Chadema ukome, naona umerudia tena.Mda sio mrefu nyinyiemu mtaduwazwa kwa umbea wenu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa,
Poleni sana, ipiganieni sana ccm kuliko kulala mlango wazi!
Mkuu, haya ni mambo ambayo wewe unayemkubali Dr. Slaa ulipaswa kusimamia kidete kuhakikisha hadhalilishwi kwa kuendelea kuyapigania. Lugha ile ya Dr. Slaa usikubali ipotee na pia usikubali Dr. Slaa adhalilishwe kwa sababu ya malipo ya posho.
You need to stand up and "fight" for what you believe in. Usikubali kupelekeshwa na waliouza Chama...
Si atakuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni eeh?? Njoo Dr Slaa unogeshe fukuto la siasa nchini.Mda sio mrefu nyinyiemu mtaduwazwa kwa umbea wenu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa,