ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
- Thread starter
-
- #61
Basi mkuu waulize wakatoliki yupo wapi yule Askofu Mtega? Wakikujibu utaielewa 'kazi' ya Padre Slaa na sanaa inayoambatana nayo!
Mbowe awe amepewa bilioni kumi au awe hajapewa Mimi hainihusu, Linalonihusu mimi ni nani wa kumpa kura. ni "fisadi" lowasa wa chama cha mafisadi CHADEMA au "mtakatifu" magufuli wa chama cha wasafi CCM?
Mwacheni Mzee wa watu apumzike.Tena mtuachie kabisa Mzee wetu apumzike ameijenga CDM mpaka leo tunafaidi matunda ya kazi yake.
Biashara imefanyika mmachame kauza chama mmpango mzima mzee wa hapa kazi...
Ha haaaa,duh...! Hii huruma na urafiki kwa Dr.Slaa imeanza lini kwa upande wako!!??
Mbinu ya lipumba imekwaa kisiki, mmebakia kusubiria ya slaa, dah kila jaribio linagonga mwamba
Mkuu JK ni mtuhumiwa kwa miaka 8 sasa, na tuhuma zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku lkn kaendelea kukaa ikulu huku akitetewa.Susuviri Tukiangalia msafi ndio agombee basi kwa Tanzania Hakuna aliye msafi hata wewe sio msafi.
ni heshima kwa mungu kumzomea fisadi kama lowassa by Godbless lemah
Mkuu taratibu usijekuumbuliwa tena na mpinga ufisadi wa muda wote, dr slaaMda sio mrefu nyinyiemu mtaduwazwa kwa umbea wenu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa,
Poleni sana, ipiganieni sana ccm kuliko kulala mlango wazi!
Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini.
Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu.
Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho. Hali hii inamfanya Slaa moja kwa moja kukidhi vigezo vya kuitwa jobless.
Kwa vile Josephine ni mwanamke mpambanaji, anaendelea "kusimamia show" nyumbani katika kipindi hiki ambacho mzee hana kipato.
Ingefaa sana jamii ya watu wanaothamini mchango wa Dr. Slaa wasimame kwa pamoja kumuonyesha kumjali. Kuna njia mbalimbali za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kuchanga sadaka na kumpelekea.
Mpaka sasa alichopigania Slaa ndani ya CHADEMA kimekuwa defeated na matukio ya hivi karibuni yanadhihirisha kuwa Slaa amekubali matokeo. Hata hivyo, jamii ikimpa nguvu anaweza kupata mawazo na mbinu mpya za kusimamia anachoamini. Kwahiyo ni jambo muhimu kwa jamii inayoamini uwezo wa Dr. Slaa kuchukua hatua za haraka kumuonyesha imani yao kwake.
Wako wapi watanzania wanaosimamia haki na usawa?
Ni wazi kuwa Slaa anadhulumiwa, je mmeungana na waliomtosa Slaa?
Kinachomtokea Slaa sasa hivi kinaweza kuwa fundisho kwa wazee wanaofanya kazi zisizo na pension. Jinsi jamii itakavyolichukua jambo hili pia ni fundisho kwa wengine.
Taarifa hii ya mwaka 2013 hatimaye imetimia...
Mkuu, ni kweli kuwa amekijenga chama. Ila ni muhimu kujiuliza, je alikijenga chama ili mwenyekiti akiuze kwa mroho wa madaraka? Je, apumzike kwa vile amechoka au kwa vile ameachwa na muda na mawimbi?
Am not Team Lowassa lakini kama ufisadi hata Magufuli ni yale yale,Mwenyekiti wenu ni yaleyale!!!!!!!!!!!!!!Mko busy kumnanga Lowassa kwa sasa mlitakiwa mjitahidi kujisafisha ili tuweze kuprove myaongeayo.
Lakini mko busy Lowassa anapenda MADARAKA ,wakati humo ndani ya TEAM yenu ya ushindi 90% wametoa rushwa ili kupata nafasi za kugombea,hawana hata moral authority ya kumnyooshea vidole Lowassa.
Mngekuwa na chembe ya akili mngejitahidi kumnadi Huyo Mwizi/Fisadi mwingine kwa jina la Magufuli muone kama anauzika????
In short CCM=CDM wote mmetuletea WACHAFU.
Kwa hiyo?