Chadema Diaspora
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 480
- 644
Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013
Dr. Wilbroad Slaa amealikwa kwa mahojiano na WPFW Radio ya Washington, D.C. U.S.A. siku ya Jumatano October 9, 2013. Saa saba mchana saa za Amerika ya mashariki (1pm U.S Eastern time)/ Saa mbili usiku saa za Afrika mashariki (8pm East Africa time).
Kumefanyika jitihada za kuushirikisha ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kushiriki mahojiano haya bila kuwa na mafanikio. Bado jitihada za kuushirikisha ubalozi zinafanyika mpaka hivi sasa.
Baadhi ya mambo yatakayo jadiliwa ni hali ya siasa Tanzania, hali ya kijamii, hali ya kiuchumi, amani na usalama wa Tanzania na mengineo.
Bofya hapa kusikiliza WPFW radio live WPFW Radio
Kadhalika, Dr. Slaa atasikika katika WIBC FM 93.1 ya Indianapolis. Greg Garrisson Show ndiyo moja ya Vipindi maarufu nchini Marekani. Hiki kipindi kinasikika nchi nzima. Tune in saa 3 Asubuhi (Tatu asubuhi). EST. Monday, October 7 - Garrison | Indy's News Center - 93.1 WIBC Indianapolis - Live. Local. First.
View attachment 115748
Source: CHADEMA DIASPORA : Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM., Jumatano, Oct 9, 2013
Mahojiano; Dr. Slaa na Greg Garrison 93.1 WIBC; Pia Dr. Slaa na Pacifica satation WPFW Washington. D. C. Haya hapa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Willbrod Slaa ambaye yupo kwenye ziara ya "VISION TANZANIA" nchini Marekani,. leo amefanya mahojiano na vituo viwili vya radio hapa nchini kueleza mambo mbalimbali kuihusu Tanzania.
Saa tatu asubuhi kwa saa za Marekani ya Mashariki, Dr. Slaa alikuwa katika studio za 93.1 WIBC Indiannapolis kwenye Garrison Show....Bonyeza link hapa chini kusikiliza mahojiano hayo
[video]https://soundcloud.com/jamii-production/mahojiano-ya-dr-willbrod-slaa[/video]
Mchana wa leo (saa saba mchana kwa Marekani ya Mashariki), Dr Slaa alifanya mahojiano kwa nia ya simu na WPFW Radio ya Washington, D.C....Bonyeza link hapa chini kusikiliza mahojiano hayo
[video]https://soundcloud.com/jamii-production/dr-slaa-afanya-mahojiano-na[/video]
Source: CHADEMA DIASPORA : Mahojiano; Dr. Slaa na Greg Garrison 93.1 WIBC; Pia Dr. Slaa na Pacifica satation WPFW Washington. D. C.