Dr. Slaa in Tunduma (photo)

Dr. Slaa in Tunduma (photo)

msaragambo

Senior Member
Joined
Aug 6, 2008
Posts
127
Reaction score
17
kinamama_tunduma.jpg

Sehemu ya maelfu ya wakazi wa mji wa Tunduma, wakipunga mikono kuashiria kumpokea mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma, ambako alihutubia mkutano wa kampeni

slaa_in_tunduma.jpg

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Tunduma, katika mkutano wake wa kampeni, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma

PICHA ZA JUU kwa msaada wa JF member Mugumu

Dr Slaa Akimnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi CHADEMA kwenye mkutano uliofanyika Tunduma (Border) chini:

slaa_tunduma.jpg

slaa_tunduma1.jpg
 
Huko kikwete iliipata ya moto mpaka akaamua kuondoka bila kuaga...................bye bye bye ccmmmmmmmmm (vhama cha wakulima na wafanyakazi)
 
mwafrika expand picha basi tuenjoy fresh.
Msaragambo asante kwa kutujuza yanayoendelea huko tupe cheche zilizomwagwa huko
 
mwafrika tusaidie kuzikuza bwana tuone, tujipange kuwaibia chadema!
 
Kuanzai kaskazini hadi kusini. Mashariki hadi magharibi. Kumekucha.
 
Dr Slaa Akimnadi Mgombea Ubunge kwa tiketi CHADEMA kwenye mkutano uliofanyika Tunduma(Border)

Mnyufukuzi mkuu uko wapi?

Weka picha vizuri bana!!!! Wengine macho hatuna, duh!!
 
Watasema hawa ni watu kutoka toka pande ile ingine!!!!
 
Mwaka wa ushindi huu....hata chama cha wakulima na wafanyakazi wakiiba kura!!!!
 
Mwaka wa ushindi huu....hata chama cha wakulima na wafanyakazi wakiiba kura!!!!
hahahahah wakulima na wafanyakazi yaaani jembe na nyundo! Hakuna bwana nyinyi wakulima na wafanyakazi hatuwajui kabisaa!! mnaleta mambo ye Nyerere hapa!!!
 
Kaka tunakumbuka enzi zile wakati tukiwa chuo pamoja!! Hongera sana Silinde
 
Naona ata kuchakachua kura za watu wote hao inaitaji ujasiri
 
Ni balaa, Juzi nilipita maeneo hayo nikielekea vijiji vya sumbawanga wimbo pekee uliokuwa unasikika ni slaa slaa Dr :decision:
 
Ni balaa, Juzi nilipita maeneo hayo nikielekea vijiji vya sumbawanga wimbo pekee uliokuwa unasikika ni slaa slaa Dr :decision:
Hapa mwendo ni mdundo kama uliangalia kwa makini Asilimia kubwa ya watu wamevaa Beji za Kuisaport CHADEMA.........Na wameelimika sikuhizi hakuna vurugu........ watu wako Busy na Maisha/kazi zao wanasubiri Tarehe ifike Wamwadhibu Mtu
 
Why not dr. Slaa the president 2010-2015 .people's poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer.
 
Back
Top Bottom