Dr. Slaa hebu tupe raha, upo kimya sana

Dr. Slaa hebu tupe raha, upo kimya sana

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Mwaka 2010 ulinifanya nikuheshimu sana maana hata sikujua umetokea wapi?.Nilikuheshimu kwa challenge kubwa uliyotoa kwa CCM.

Sasa Daktari wa ukweli nakuomba sasa utuoneshe kwa ishara na matendo ya kuwa mara hii unataka kuitumikia ofisi kuu ya nchi ukiwa rais wa nchi hii na si vinginevyo.

Umekaa kimya mno,watangazie wananchi sasa ili waone graph yako inavyopanda,kukaa kimya sio poa kisiasa.Ruhusu watu wahoji utendaji wako ili wasiwe na maswali juu yako lakini pia utatusaidia sisi wapiga kura kufanya maamuzi mapema ya kukuchagua.Pia hii itawavutia watu wengi sasa kukufuatilia ambayo ni safi sana kisiasa,do it Sir.

Sema kamanda kwa madaha na kiburi kuwa 2015 unataka kuwa mtumishi mkuu.Natumia kiburi sababu unaungwa mkono sana na utaungwa mkono na nguvu mkubwa sana,usisite tuko nyuma yako.

Wewe Jaluo wa Kenya nenda kwenu kamshabikie Odinga
 
Dr. ametulia anafanya mambo kimkakati siyo unavotaka wewe.
Ng'ang'ana na Dr. wenu wa picha na profs wa kichina(unknown and unproven profesa +Dr )
Nikirudi nitakwambia vipi mlivo kuwa wezi wa escrow funds.
 
Slaa ameshakuwa mtu mzima sasa;
Hata kama ni upinzani sasa waweke mtu anayekubalika na atapewa kilicho chake tu.
 
DR. Slaa ndiye anayefaa sb ya rekodi yake,ufahamu,busara na hekima...kwa mfano mtu asiye na hekima anaweza kusema atawakamata hawa wezi wote miccm but kinachotakiwa hapa ni kuundwa kwa tume ya ukweli na maridhiano ili wote hawa hakina jk tuwasikie wakisema oohooo niliiba epa,richmund...........busara hiyo anayo Dr. wa ukweli.
 
Kweli watu mmeharibika unataka akupe raha? Tafuteni mda wenu huko mkapeane raha siyo humu jukwaani.
 
DR. Slaa ndiye anayefaa sb ya rekodi yake,ufahamu,busara na hekima...kwa mfano mtu asiye na hekima anaweza kusema atawakamata hawa wezi wote miccm but kinachotakiwa hapa ni kuundwa kwa tume ya ukweli na maridhiano ili wote hawa hakina jk tuwasikie wakisema oohooo niliiba epa,richmund...........busara hiyo anayo Dr. wa ukweli.
Mkuu unachekesha kweli record ya slaa ipi ambayo unazungumzia ya kufukuzwa kanisani au kupora mke wa mtu?
 
kweli watu mmeharibika unataka akupe raha? Tafuteni mda wenu huko mkapeane raha siyo humu jukwaani.
nasikitikia sana nchi hii ambayo watu kama wewe mnaacha mada na kupost udaku.....mnachelewa sana...twende kwa speed 180!talk issues
 
Mkuu unachekesha kweli record ya slaa ipi ambayo unazungumzia ya kufukuzwa kanisani au kupora mke wa mtu?

Unahangaika bure,Dr Slaa hachafuliwi kwa taarabu zenu hizo za kikomba! Usimfananishe Dr wa ukweli na huyo profesa wa kichina anayeliibia taifa kupitia PAP. UNA HABARI KUWA FAMILIA YAKE NI WAMILIKI WENZA WA PAP INAYOTUIBIA KUPITIA TEGETA ESCROW?
 
unahangaika bure,dr slaa hachafuliwi kwa taarabu zenu hizo za kikomba! Usimfananishe dr wa ukweli na huyo profesa wa kichina anayeliibia taifa kupitia pap. Una habari kuwa familia yake ni wamiliki wenza wa pap inayotuibia kupitia tegeta escrow?
.ipo siku ccm watajificha tu..
 
Mwaka 2010 ulinifanya nikuheshimu sana maana hata sikujua umetokea wapi?.Nilikuheshimu kwa challenge kubwa uliyotoa kwa CCM.

Sasa Daktari wa ukweli nakuomba sasa utuoneshe kwa ishara na matendo ya kuwa mara hii unataka kuitumikia ofisi kuu ya nchi ukiwa rais wa nchi hii na si vinginevyo.

Umekaa kimya mno,watangazie wananchi sasa ili waone graph yako inavyopanda,kukaa kimya sio poa kisiasa.Ruhusu watu wahoji utendaji wako ili wasiwe na maswali juu yako lakini pia utatusaidia sisi wapiga kura kufanya maamuzi mapema ya kukuchagua.Pia hii itawavutia watu wengi sasa kukufuatilia ambayo ni safi sana kisiasa,do it Sir.

Sema kamanda kwa madaha na kiburi kuwa 2015 unataka kuwa mtumishi mkuu.Natumia kiburi sababu unaungwa mkono sana na utaungwa mkono na nguvu mkubwa sana,usisite tuko nyuma yako.

No! Mwache tu akae kimya ana sababu nami namuunga mkono kukaa kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom