Dr. Slaa hebu tupe raha, upo kimya sana

Dr. Slaa hebu tupe raha, upo kimya sana

akupe raha? unataka kumpindua Josephine? mwenzio alimpindua rose je wewe utaweza?
kwa hiyo hao wengine akina Prof. Lipumba, Mbatia na Mkaidi ni vivuli tu na ngazi ya kadima kufikia malengo yake?
WITH VERY BIG SHOUT; SAY BIG NO KWA UPUUZI HUU.

Mwaka 2010 ulinifanya nikuheshimu sana maana hata sikujua umetokea wapi?.Nilikuheshimu kwa challenge kubwa uliyotoa kwa CCM.

Sasa Daktari wa ukweli nakuomba sasa utuoneshe kwa ishara na matendo ya kuwa mara hii unataka kuitumikia ofisi kuu ya nchi ukiwa rais wa nchi hii na si vinginevyo.

Umekaa kimya mno,watangazie wananchi sasa ili waone graph yako inavyopanda,kukaa kimya sio poa kisiasa.Ruhusu watu wahoji utendaji wako ili wasiwe na maswali juu yako lakini pia utatusaidia sisi wapiga kura kufanya maamuzi mapema ya kukuchagua.Pia hii itawavutia watu wengi sasa kukufuatilia ambayo ni safi sana kisiasa,do it Sir.

Sema kamanda kwa madaha na kiburi kuwa 2015 unataka kuwa mtumishi mkuu.Natumia kiburi sababu unaungwa mkono sana na utaungwa mkono na nguvu mkubwa sana,usisite tuko nyuma yako.

Mkuu fp yaan feature presdent yupo kwa sasa ana majukumu mazito kwa ajili ya maandalizi ya serikali ya wananchi itakayo ongozwa na ukawa nani anastaili kuwa makamu wa rais nani waziri mkuu nani waziri wa fedha nani waziri wa mambo ya kigeni yaani ki ukweli ana kazi nzito sana yupo na kwa sasa inatakiwa ajitokeze kwa mambo mazito sana ya kitaifa ukichukulia timu ya wasaidizi wake kwa maana ya myika na salum mwalimu yaani kwa sasa fp ana imani kubwa sana na wasaidizi wake subirini mtamuona kipenzi chenu rais ajaye dr wa ukweli slaa Mungu ibariki chadema mungu mbariki mtie nguvu mlinde na kila mipango ovu ya maadui dr slaa.
 
Mwaka 2010 ulinifanya nikuheshimu sana maana hata sikujua umetokea wapi?.Nilikuheshimu kwa challenge kubwa uliyotoa kwa CCM.

Sasa Daktari wa ukweli nakuomba sasa utuoneshe kwa ishara na matendo ya kuwa mara hii unataka kuitumikia ofisi kuu ya nchi ukiwa rais wa nchi hii na si vinginevyo.

Umekaa kimya mno,watangazie wananchi sasa ili waone graph yako inavyopanda,kukaa kimya sio poa kisiasa.Ruhusu watu wahoji utendaji wako ili wasiwe na maswali juu yako lakini pia utatusaidia sisi wapiga kura kufanya maamuzi mapema ya kukuchagua.Pia hii itawavutia watu wengi sasa kukufuatilia ambayo ni safi sana kisiasa,do it Sir.

Sema kamanda kwa madaha na kiburi kuwa 2015 unataka kuwa mtumishi mkuu.Natumia kiburi sababu unaungwa mkono sana na utaungwa mkono na nguvu mkubwa sana,usisite tuko nyuma yako.

Huna taka raha gani tena ww kijana .sisi watutisha huku
 
anatayarisha kitabu,, unajua kuandika kitabu yataka utlivu
 
aliyekuwa akimpa news za ikulu kafa nowday hana tofauti nawe
 
Slaa kiwanda chake cha kutengeneza uwongo kimekufa.
 
dr slaa ni mwana mikakati ataibuka soon!
 
yuko sawa manake ndo Rais aliyechaguliwa na Wananchi kuwa hamu ya kutaka kusikia anasema nn ni haki kabisa 2010 alidai kuhusu orodha ya mafisadi 11aliowataja pale mwembe yanga wanaolitafuna Taifa !sisi tunakumbuka,hivyo tunahitaji ujasiri wake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom