Dr. Slaa hatimaye aibuka

Lowassa atake asitake nitampa kura yangu

Mmejianda kisaikolojia lakini?Uwezekano wa Lowasa kushnda achilia swala la kukabidhiwa dola ni mdogo muno.Mtazimia na wengne mtakufa, shauri yenu.
 
Dr slaa amechelewa sana kuongea. Watu wengi walikuomba uongee lkn hukutaka, sasa chochote utakachoongea kuwa Malini
 
Kumbuka Slaa alibembelezwa na vyombo vya Chadema kugombea Urais mwaka 2010.Yeye alijiandaa kugombea ubunge, kwani alijua ukomavu uliokuwa nao chama cha CHADEMA haungekiruhusu kuingia Ikulu achilıa swala la ushindı.Kilikuwa disorganized na hakikuwa kimejengeka sana kitaasisi kukabidhiwa madaraka ya dola.Walibadilisha kanunı zao kumconvice kuwa hata angeshndwa Urais, nafası aliyokuwa nayo ya katibu mkuu ingempatia maslai ambayo angeyapata km angegombea ubunge.Hili kundi la wavamizi ndanı ya Chadema ndo wamewafunika wenyeji na sasa wanawatusı vıongozı walıojıtoa maisha kukijenga chama.
 

Tarehe 24 tutapona kwa Arsenal?
 
Reactions: jcb
Kuna gazeti moja jina liliandika Dr.Slaa na mkewe wataenda Italy ingawa haijulikani itakuwa ni siku gani na wakati huo huo kuna taarifa za Dr.kuongea na media kuhusu yaliyotokea mpaka yeye kuamua kukaa pembeni.

Nachojiuliza ni je, anapanga kufanya kama alivyofanya Lipumba kwa kuongea na waandishi wa habari na kisha kuelekea Airport?

All in all,atapita kama alivyopita Lipumba.
 

kama hili ndo bao la mkono basi naliunga mkono.
 
Hatutaki unafiki wala umbea tunasubiri kauli yake mwenyewe rasmi hivi mkimwona Dr.Slaa anazindua kampeni za uraisi mtaficha wapi nyuso zenu?

Akizindua kampeni ya ukawa atuambie kwanini aliwahadaa watanzania kwenye mkutano wake wa mwembeyanga.
 
Kwangu mimi slaa si wa muhimu kushinda UKAWA kwanza niliwai hata andika hapa mimi mi mwanachama mwaminifu lakn slaa hana mvuto wa urais, ivo kama hataki aende tu. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
 
Kwa taarifa zaidi unaweza kulipitia gazeti la nipashe
 
NINA MASHAKA SANA FUNGU LILITOLEWA KWA MAKATIBU WAKUU WAWILI (2)
*yule kachomoka kinomanoma!
*huyu anachomoka kiaina!
 

Hiyo ndo demokrasia, wengi wape na wachache kama Dr. wasikilizwe...Hoja ya ufisadi pekee haiwezi na isingeweza kuipeleka chadema/ukawa Ikulu...watanzania wengi hawaoni madhara ya ufisadi katika maisha yao ya kila siku....kwa hiyo tulihitaji mbinu mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…